chato

El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

    Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara. Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
  2. BARD AI

    Baraza la Madiwani ladai Kifo cha Hayati Magufuli kimekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Chato

    BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli. Kauli hiyo imetolewa na...
  3. chiembe

    Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti. Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi. Busara ya kawaida tu...
  4. Nigrastratatract nerve

    Wajumbe wa kamati ya LAAC wafika Chato kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stanslaus Mabula wamefika Chato nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe na kufanya maombi mafupi katika kaburi lake.
  5. Stephano Mgendanyi

    UVCCM Wilaya ya Chato watakiwa kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuchapa kazi

    CDE. REUBEN SAGAYIKA AWATAKA UVCCM CHATO KUMUENZI MAGUFULI KWA KUCHAPA KAZI Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chato wametakiwa kumuenzi Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John Magufuli kwa kuchapa kazi na kuiishi slogan yake ya Hapa Kazi Tu. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa...
  6. Stephano Mgendanyi

    Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    "Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
  7. SYLLOGIST!

    Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

    Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
  8. Nigrastratatract nerve

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Wilayani Chato

    KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI WILAYANI CHATO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Stanslaus Nyongo leo tarehe 16 Machi, 2024 wamezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
  9. M

    Chato: Wananchi wafurahia DC Katwale kuhamishwa. Wadai alijikita kufanya kampeni za ubunge kuliko kutatua kero zao

    Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari. Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani. Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa. Yeye kikubwa...
  10. M

    Wakazi wa Muganza, Chato tunaomba TAKUKURU imchunguze Hakimu Mfawadhi Makama ya Wilaya Chato

    Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa. Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi haramu kisiwa cha Rubondo na kisha kuombwa rushwa. Malalamiko yapo ofisi za PCCB wilaya ya Chato lakini...
  11. B

    Ujenzi wa barabara Bugene - Burigi Chato urefu kilometa 60

    Mlima Nyaishozi changamoto yake kubwa kuwa historia Ujenzi Barabara ya kiwango cha lami ya kutoka Bugene hadi Bugiri Chato mkoa wa Kagera urefu wa kilometa 60 kuifikia CHATO NATIONAL PARK unaendelea https://m.youtube.com/watch?v=GkkKS4c16Rg SERIKALI imetoa Sh bilioni 92.84 kwa ajili ya...
  12. Mwizukulu mgikuru

    Nataka niende Chato nikaiombe msamaha familia ya Hayati Magufuli

    Wakuu mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao tulijitahidi kuipata elimu huku tukiamini kupata ajira aidha sekta binafsi au serikalini, lakini mambo yakawa tofauti ni miaka saba sasa imepita na wengine tumeshaanza kusahau hata tulichokisomea kwa sababu tuliamua kufanya mambo mengine nje...
  13. chiembe

    Dk. Kalemani: Serikali imetoa mabilioni kujenga maktaba kubwa kabisa ya hadhi ya Kanda ya Afrika Mashariki Chato

    Kama bado hujasema basi utasema, wanachato wanajengewa maktaba kubwa kabisa kama Ile ya makao makuu Dar es salaam. Serikali imeshaanza kumwaga mabilioni. Hayo yamesemwa na mbunge wa Chato dk Kalemani wakati akitoa neno katika mkutano wa hadhara wa Makonda. Kalemani ameeleza kwamba, baada Rais...
  14. A

    Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa

    Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima. --- Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Mikoa...
  15. R

    Mnaoiua Chato kwa kuelekeza hata majengo ya umma yasitumike mnamkomoa JPM au mnawakomoa Watanzania?

    Ofisi Nyingi za serikali zilizokamilika hazina watumishi badala yake watumishi wamerundikana kwenye ofisi zao za zamani wakisubiri hadi waelekezwe kuhamia. Taasisi za fedha zimehamisha watendaji huku hospitali ikitelekezwa kwa kukosa wataalam . Uwanja wa ndege unaoweza kuhudumia abiria wa...
  16. chiembe

    Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

    Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato. Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa. Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia...
  17. M

    Pamoja na ziwa kuwa karibu kama Km 1 tu Chato maji hayatoki kwenye mabomba. Mkuu wa wilaya na Mbunge wapo kimya.

    Mdau mmoja kanipigia simu. Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani. Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu. Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada . Huu ni uzembe mkubwa sana.
  18. GENTAMYCINE

    Haya tumeshamalizana na Chato Dhahabu Nyota FC, hivyo Jumamosi 'anakufa' kati ya Goli 4 hadi 6 pale Sukuma City

    Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu...
  19. Idugunde

    Chato yaandaa Tamasha la utalii

    MKUU wa Wilaya ya Chato, Deusdedith Katwale amesema wanatarajia kufanya tamasha la utalii kwa lengo la kutangaza vivutio na fursa mbalimbali za utalii zilizoko katika ukanda huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Dar es Salaam, Katwale, amesema tamasha hilo linatarajiwa kufanyika...
Back
Top Bottom