Nawashauri sana viongozi wa serikali, mimi ninaishi Songea, ninasoma mitandao ya kijamii lakini nasikiliza maoni ya watu mitaani, vijiweni na hata kwenye viwanja vya mpira.
Paul Makonda anapendwa sana kwa namna anavyotumia kipawa chake kutatua kero za wananchi, kwa namna anavyosikiliza na...
Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo.
1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi.
2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi huo ujinga ungefutuliwa mbali
Hii inamfanya mkuu wa mkoa ajione yeye ni mungu maana anaweza fanya...
Tanzania ni moja ya wazalisahi wa Pamba hapa Africa ikiwa sambamba na chi kama Benin, Ivory coast, Burkina Faso, Cameroon, Sudan, Mali, na Nigeria na South Africa.Tanzania inatajwa kuazlisha tani 26,000 mwaka 2023 kutoka tani 16,000 mwaka 2021/2022.
Ukilinganisha na miaka ya nyuma, kilimo cha...
Kutokana na sakata la mafuriko linaloendelea nchini tanzania mfano Manyara, Kagera pamoja na sehemu nyingine sijajua kama kamati za maafa zinajurikana na kwenye bajeti ya serikali sjui kama wanaweka kipaumbele kuhusu suala hili.
Tanzania kwenye preperation tukoje? au tunasblia maafa yatokee ndo...
Mikoa ya Arusha na Manyara imetajwa kuwa na Kiwango kikubwa cha Ukeketaji nchini Tanzania ikiwa na Wastani wa 43% ya Vitendo hivyo ikifuatiwa na Mikoa ya Mara 28%, Singida 20% na Tanga 19%
Mikoa mingine Dodoma (18%), Iringa (12%), Morogoro (10%), Kilimanjaro (9%), Njombe (7%) Pwani (5%) na...
Kiwango cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango nchini hadi kufikia Machi 2024
Vipandikizi - 38.3%
Sindano - 23.1%
Vidonge - 11.3%
Njia za Asili - 11.1%
Kondomu - 10.4%
Vitanzi - 4.6%
Kufunga Kizazi - 0.4%
Mikoa yenye Kiwango Kikubwa cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania
Mara -...
Imekuwa kawaida sana kusikia vijana wanauliwa na polisi kwenye migodi ya mkoa wa Mara wilaya ya Tarime.
Kwanini hatusikii haya migodi ya Geita, Chunya, Kahama, n.k.
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama
Biashara
1. Dar es Salaam
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
Biashara ina points 9...
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya sana.
Wajuzi
Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa? Kwenu wahusika
Pia, soma
Wana Kigoma embu jengeni kwenu
Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?
Tuonyeshe round about za mahali ulipo. Mimi naipenda sana ile ya Msamvu Moro yenye bibi na bwana na ile ya Singida yenye kuku na alizeti nyingine ndo hii ya mjusi wa Tendeguria Lindi panaitwa fisi.
Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na kufanyiwa usahili.
Anasema mfumo wa sasa hauna uwazi kwani Rai hawezi kusoma CV za watu wote wanofaa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi.
Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John...
Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo.
Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli katika zoezi la usaili lakini tumeona "potential" ndani yako, fahamu kuwa bado waonekana una uwezo...
Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia...
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais Samia kumteua mkuu wa mkoa wa Arusha kuongoza wananchi wenye akili nyingi na wapambanaji wasiokata tamaa na wanaojua hatma ya nchi. Ameyasema hayo kwenye kumbukizi ya waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine iliyofanyika mjini Arusha.
Makonda...
Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa Pwani.
Tahadhari za awali ni pamoja na kuwaondoa wakazi wa mabondeni, misaada iwe standby Rufiji, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.