ukeketaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Mikoa ya Arusha na Manyara inaongoza kwa Ukeketaji Tanzania

    Mikoa ya Arusha na Manyara imetajwa kuwa na Kiwango kikubwa cha Ukeketaji nchini Tanzania ikiwa na Wastani wa 43% ya Vitendo hivyo ikifuatiwa na Mikoa ya Mara 28%, Singida 20% na Tanga 19% Mikoa mingine Dodoma (18%), Iringa (12%), Morogoro (10%), Kilimanjaro (9%), Njombe (7%) Pwani (5%) na...
  2. Lady Whistledown

    UNICEF: Wanawake milioni 230 ni manusura wa ukeketaji

    Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la UNICEF inaonyesha kuwa zaidi ya wanawake milioni 230 duniani kote ni manusura wa ukeketaji. Ongezeko hilo limechangiwa na ukuaji wa idadi ya watu katika nchi fulani. Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la UNICEF inaonyesha kuwa zaidi ya wanawake milioni 230...
  3. comte

    Polisi waonya watakaojihusisha na ukeketaji Mara

    Jeshi la Polisi mkoani Mara limesema halitasita kuwachukulia hatua kali wote watakaojihusisha na vitendo vya ukeketaji katika mkoa huo wakati wa likizo ya mwisho wa mwaka. Musoma. Jeshi la Polisi mkoani Mara limetoa onyo kwa yeyote atakayejihusisha na vitendo vya ukeketaji wakati wa likizo ya...
  4. The Evil Genius

    Mangariba wawili maarufu kwa ukeketaji vichanga huko Moshi Kilimanjaro watangaza kustaafu

    Mangariba wawili mashuhuri mkoani Kilimanjaro, wanaosifika kwa kukeketa vichanga na wasichana, wamesalimu amri na kutangaza kuachana na kazi hiyo, baada ya kubanwa na Kamati ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) katika Kijiji cha Mawala, Wilaya ya...
  5. J

    SoC03 Kwanini katika jamii ya wamasai hakuna watu wenye ulemavu? Serikali inatakiwa kufanya nini ili kukabiliana na jambo hili kupitia utawala bora

    Wamasai ni miongoni mwa makabila maarufu katika manila takribani 150 yanayopatikana nchi Tanzania katika kanda za mikoa ya kanda za juu kusini hususani mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, jamii ya kimasai ni jamii maarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutokana na sifa ya kipekee ya...
  6. JanguKamaJangu

    Mpango wa kutokomeza ukeketaji waendelea kushikiwa bango

    Viongozi wa mila wa jamii za kifugaji, kwa kushirikiana na Mangariba Wilayani Kiteto, mkoani Manyara, wameanza kutekeleza mpango wa kitaifa wa kutomokeza ukeketaji, kwa kupiga marufuku mila hiyo Kwa umoja wao wamewataka Mangariba kusalimisha zana zao kama njia mojawapo ya kutokomeza vitendo...
  7. G

    SoC02 Ukeketaji wa wanawake Tanzania

    Hodi! Hodi! Hodi! nilibisha mara tatu pasipo na jibu. Mlango ulikuwa wazi na kimya kilitawala nilijongea ndani taratibu nikijua huenda bado wamelala. Au wamehama? nilijiuliza kimoyomoyo, nilikaribishwa na utandu wa buibui, wadudu waliojitengenezea nyumba zao sakafuni na panya waliokimbia huku na...
  8. C

    SoC02 Jinsi mila zilizopitwa na wakati zinavyochangia tatizo la ndoa katika umri mdogo na ukeketaji katika mkoa wa Mara

    Picha kwa hisani ya Haki Elimu 1. UTANGULIZI Elimu ni moja ya sekta za kipaumbele zilizoainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, na katika Sera ya Mafunzo ya Elimu (ETP, 2014) ambayo Serikali imejitolea kutoa miaka 11 ya elimumsingi bila malipo kwa wote kuanzia elimu ya awali hadi...
  9. dubu

    Tanzania: Mikoa inayoongoza kwa Ukeketaji ni Manyara, Dodoma, Arusha, Mara na Singida

    Salaam Wakuu, UKEKETAJI NI NINI? Ukeketaji ni ukataji wa sehemu za siri za mwanamke. Ukataji huo unahusisha maeneo nyeti. Au ni kitendo chochote kinachojeruhi uke kutokana na sababu ambazo sio za kimatibabu. Ukeketaji unaumiza wanawake na wasichana kimaungo na kiakili na hakuna faida yoyote...
  10. Suley2019

    Askari Polisi wahusishwa matukio ya ukeketaji Mara

    Baadhi ya askari wa polisi wa Kanda Maalum ya Tarime/Rorya wanadaiwa kuwa kikwazo katika mapambano dhidi ya ukeketaji kwa kuwalinda watuhumiwa kutokana na ushawishi wa rushwa. Tuhuma hizo zimeibuliwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon...
  11. beth

    #COVID19 COVID-19 yatishia jitihada za kukomesha vitendo vya ukeketaji

    Mataifa ambayo tayari yanakabiliwa na ongezeko la umasikini, ukosefu wa usawa na migogoro yanashuhudia janga la #COVID19 likitishia zaidi miaka ya maendeleo ya kukomesha ukeketaji Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto (UNICEF) linasema hata kabla ya COVID-19, Wasichana Milioni 68...
  12. beth

    TAMWA: Vitendo vya ukeketaji vikemewe hadharani

    TAMWA inatoa wito kwa viongozi mbalimbali wa serikali kuanzia ngazi ya kata hadi wizara kukemea hadharani vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike, huku tukiwashirikisha wanaume katika mchakato mzima wa kupinga ukeketaji dhidi ya watoto. Ukeketaji licha ya kuvunja haki za binadamu pia unaleta...
  13. beth

    TAMWA: Jamii inahitaji elimu zaidi kutambua aina za ukatili wa kijinsia

    TAMWA inatambua kuwa ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura mbalimbali kuanzia ukatili wa majumbani unaohusisha vipigo na matusi, usafirishaji wa binadamu, ukatili wa kingono kwa njia ya mtandao, ndoa za utotoni, ukeketaji na hata mauaji ya vikongwe. Jamii inahitaji elimu kwa kina kuzifahamu...
  14. D

    SoC01 Tuutokomeze Ukeketaji: Tubadili mbinu za kuutokomeza katika umri mdogo

    Februari 6 kila mwaka, dunia nzima huadhimisha siku ya kupinga Ukeketaji wa wanawake baada ya Baraza la Umoja wa Mataifa kuipitisha mnamo mwaka 2003. Je, ukeketaji ni nini? Ni kitendo cha kukata na kuondoa sehemu ya nje ya viungo vya uzazi wa mwanamke haswa kinembe. Kitendo hiki hufanyika na...
  15. Analogia Malenga

    Mangariba wabuni aina mpya ya ukeketaji

    Aina mpya ya ukeketaji imeibuka nchini ambao wahusika hufanya huwasugua maumbile ya siri ya watoto wachanga kwa kutumia jiwe. Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Angela Kiama alisema hayo katika mafunzo ya siku mbili ya waandishi wa habari kuhusu ukeketaji kwa...
  16. Mema Tanzania

    Ukeketaji dhidi ya wanawake na mabinti

    Kila mwaka ifikapo tarehe 6, Februari dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji. Je, unatambua wanawake na mabinti takribani milioni 7.9 wamepitia ukeketaji Tanzania? Licha ya serikali na wadau mbalimbali kupambana vilivyo na ukeketaji, kuna maeneo bado ukeketaji dhidi ya...
Back
Top Bottom