Habari ndugu zanguni,
Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa sasa. Jana nimeona watoto Watatu wa Form 3 wamefariki Dunia baada ya mwalimu kuwachukua watoto sita...
Kuna hii barabara ambayo inatokea Pasiansi sokoni kupitia Taqwa Sekodari Lumala kwenda Kiseke yenye urefu usiozidi km 1.5 lakini muhimu sana kwa matumizi maana ni eneo lenye wakazi wengi.
Barabara imeharibika sana na ina msongamano mkubwa wa magari hasa mabasi ya wanafunzi ambayo yanawahisha...
Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya?
Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito?
Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji uchunguzi wa haraka kubaini ni nini chanzo cha vifo hivi kwa sasa?
Mh waziri wa Afya, Embu tunaomba...
SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi.
Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
Wamasai ni miongoni mwa makabila maarufu katika manila takribani 150 yanayopatikana nchi Tanzania katika kanda za mikoa ya kanda za juu kusini hususani mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, jamii ya kimasai ni jamii maarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutokana na sifa ya kipekee ya...
MHE. ZAYTUN SWAI AITAKA SERIKALI KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NJITI MKOA WA ARUSHA
"Je, Serikali ina mpango wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya mwaka 0 - 1" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha
"Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka Mipango...
Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000 waliozaliwa hai ilivyokuwa kwenye Utafiti uliofanyika mwaka 2015/2016.
Hayo yamesema Februari 7, 2023 na...
Mwanamke mwenye kundi lolote la damu ambalo ni negative (A-, B-, AB- na O-) akipata ujauzito kutoka kwa mwanamme mwenye kundi la damu ambalo ni positive (A+, B+, AB+ au O+) mwili wake unaweza kutengeneza kinga mwili ambazo huwa ni hatari kwa ujauzito unaofuata.
Athari za kinga mwili hizi huanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.