watoto njiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Dakika 40 chumba cha wanaozaliwa kabla ya wakati

    Novemba 17, 2023, Dunia iliadhimisha siku ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati, siku moja kabla, nilibahatika kufika katika Wodi maalumu kwenye mojawapo ya vyumba vya kutunza Watoto hao katika Hospitali ya Benjamin Mkapa na kujenga msingi wa simulizi hii. Ni kijichuchumba kidogo chenye nafasi...
  2. benzemah

    Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini

    SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
  3. JanguKamaJangu

    Watoto njiti zaidi ya laki mbili Nchini huzaliwa kwa mwaka

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amebainisha kuwa takriban watoto laki Mbili mpaka laki Tatu kwa Mwaka huzaliwa kabla ya muda (watoto njiti) Tanzania. Waziri Ummy amesema hayo katika ofisi ndogo za Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuelekea awamu ya pili ya ugawaji wa vifaa...
  4. benzemah

    Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

    Mwanamke mmoja mkazi wa Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Mariam Mwakabungu (25) amejitolea kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na wanaotelekezwa na mama zao katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana. Mariam ambaye ni mke na mama wa watoto wawili, alianza kutoa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zaytun Swai Aitaka Serikali Kuongeza Kasi Kupunguza Vifo vya Watoto Njiti Mkoa wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AITAKA SERIKALI KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NJITI MKOA WA ARUSHA "Je, Serikali ina mpango wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya mwaka 0 - 1" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka Mipango...
  6. Sildenafil Citrate

    Faida za lishe Bora kwa Watoto Njiti

    Mtoto aliyezaliwa kabla ya kufikisha wik 37 za ujauzito huitwa Njiti. Lishe bora ni muhimu sana kwa watoto njiti kwa sababu inachangia moja kwa moja katika ukuaji wao na maendeleo ya kimwili na kiakili. Hapa kuna umuhimu wa lishe bora kwa watoto njiti: Kuchochea Ukuaji wa Kimsingi: Watoto njiti...
  7. Stephano Mgendanyi

    Waajiri watakiwa kuwa na Ubinadamu kwa Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti

    Waajiri watakiwa kuongozwa na ubinadamu wa Mamlaka waliyopewa kwa kuwaongezea likizo Wazazi wa watoto Njiti ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kwa mtoto ikiwemo kifo kwa kukosa uangalizi wa karibu wa mama yake. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
  8. Lady Whistledown

    Novemba 17, Siku ya Watoto Njiti Duniani

    Tangu mwaka 2011, Novemba 17 imetambuliwa kama Siku ya Watoto wanaozaliwa Kabla ya Wakati Duniani ili kuongeza ufahamu na uelewa wa tatizo hili, pamoja na mahitaji na haki za watoto wachanga na familia zao. Pia kuongeza uelewa wa umuhimu wa uzoefu na huduma za mfumo wa Afya na hivyo, kuendeleza...
Back
Top Bottom