wamasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hivi kwa nini Rais Samia anawafanyia wamasai haya mateso? Kwanini anauza Tanganyika yetu?

    Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu. CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS...
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kama muda wa kuandika Katiba mpya hautoshi, mbona wa kuuza Bandari na kufukuza wamasai ulitosha?

    Ninawasanua makada wenzangu wa chama chetu CCM, hebu tujaribu kulijibu hilo swali kimantiki!! Hoja za lissu tumeshindwa kujibu na hilo swali tunaweza kulijibu? Ifikie hatua tuache kujibu mipasho masuala mtambuka ya kitaifa na nchi yetu Kwa ujumla. Mzee Warioba ni mwanaccm na anaitaka Katiba...
  3. Replica

    Wamasai waliohama Ngorongoro walalamika zoezi hilo kuzungukwa na udanganyifu, wasema watarudi

    Kiongozi wa wamasai waliohamia Ngorongoro wamelalamikia Serikali kutotimiza ahadi zake huku wananchi hao wakiwa wamevunja maboma yao Ngorongoro na kuhamia Msomera. Wananchi hao 136 wamesema zoezi hilo limezungukwa na udanganyifu, wamemtaka Rais Samia kufuatilia zoezi hilo kwa kuna watendaji...
  4. Lycaon pictus

    Vita kali kati ya Wamasai na Wachaga, 1820,s

    Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...
  5. Nahman

    Kuna wamasai wazuri wakuu

    Mbele yangu nnatuzamana na mwanamke wa kimasai... Ni mrembo jamani Yuko natural Mtoto mrefu kama ngusoo Shingo yake ina mistari na kama mafuta hivi Kwa hakika muumba anaumba 🙌🏻 Macho yake yameingia ndani kidogo Alafu ana kama weusi hivi machoni Nnashindwa tu kumpiga picha kutokana na angle...
  6. LAZIMA NISEME

    Uleigwanan wa Lowassa wadaiwa kugombaniwa na wawili wa familia moja ya Ole Shangai

    Ni Emmanuel Ole Shangai na Joseph Ole Shangai. Wamasai wamkataa Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai kutaka kujiapisha kuwa Leigwanan. Bonyeza link chini kusikiliza SAUTI ZA WAMAASAI WAKIPINGA EMMENUEL OLE SHANGAI KUJIAPISHA ULEIGWANAN https://www.youtube.com/watch?v=Bx2TDkYrLUc Na...
  7. LAZIMA NISEME

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha kuwa Laigwanan wa jamii ya kimaasai

    Mbunge wa Ngorongoro Mhe. Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha mwenyewe kuwa Laigwanan, Uapisho uliohudhuriwa na watu takribani ishirini wa familia yake katika sherehe ndogo iliyofanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Enduleni kata ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro. Baadhi ya viongozi...
  8. VUTA-NKUVUTE

    Nani anatoa 'kitita' cha kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro? Tunapata faida gani kama Taifa?

    Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja. Kabla ya jana, nilioneshwa...
  9. matunduizi

    Kwanini hizi mila za kutembea na silaha (wamasai na wakurya) zisiwe halali maporini na sio mijini?

    Makabila haya mawili licha ya uzuri wao huws yanakitu kinaitwa Mori. Ukiwachokoza nje ya uvumilivu wao wanapanda mori wanakuwa kama wanyama. Akili zinakuwa hazipo anafanya chochote. Kwa bahati mbaya licha ya kuwa na sifa hii hatarishi ambayo makabira mengine mengi hayana bado ndio wanaoongoza...
  10. Mr mutuu

    Wamasai kuweni makini Zanzibar, mmewekewa chambo mnavutwa mnavutika tu bila kujitambua

    Politics. Hakuna watu wanajua ku manipulate watu kama wanasiasa, wakitaka jambo lao hua hawakurupuki waanzia mbali tu mpaka lengo lao litimie, miaka ya karibuni tumeona wingi wa wamasai kufurika Zanzibar kwenda kutafuta maisha, wameshakua wengi sana, na tuwe tu wakweli fanya yote ila Zanzibar...
  11. Mjanja M1

    Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

    Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi. Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu? Written by Mjanja M1 ✍️
  12. Mjanja M1

    Video: Masai achukizwa na uonevu unaofanyika Zanzibar

    Mtu mmoja mwenye asili ya Masai ameonyesha kuchukizwa na uonevu unaoendelea huko Zanzibar dhidi ya Wamasai. Akiongea kwenye video Masai huyo amesema "walichofanya polisi ni uonevu kwakuwa hawakuwa na kibali cha kuwakamata wamasai kule Zanzibar". ANGALIA HAPA VIDEO Nini maoni yako? Written...
  13. Lyetu

    Je tamaduni za wamasai na wahadzabe ziko juu ya sheria?

    Mama wa watoto kadhaa anahukumiwa zaidi ya miaka 20 kwa kukutwa na nyamapori kilomoja, ila kuna kundi la watu linafanya uwindaji haramu kwa kuua mamia ya wanyamapori kwa kisingizio cha tamaduni. Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji umekuwa kama uharifu nchini kwa asilimia kubwa ya wafugaji, mifugo...
  14. H

    Ukitaka kuwanyang'anya silaha wamasai basi ubadilishe kabisa utamaduni wao hata nguo wasivae nguo zao zinazopepea

    Twendeni kwenye mada baada ya Salam. Yaani mmasai atembee na nguo yake ile inayoopepea pepea bila kuwa na rungu ,sime au fimbo ni ngumu sana. Yaani hapo unachotakiwa kufanya ni overall nzima ya utamaduni wake yaani kuanzia sasa waache kuvaa mashuka na waanze kuvaa majeans na macadet na waanze...
  15. Mjanja M1

    Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

    Mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Fatma Karume, ameunga mkono suala la Wamasai kukatazwa kutembea na Silaha huko Zanzibar. Kupitia ukurasa wake wa "X" Fatma amesema, "Ukibeba silaha Zanzibar unavunja Sheria za Jinai, Utamaduni si sababu ya kuvunja sheria. Wazenji...
  16. U

    Wamasai wameshindikana Zanzibar, lipelekwe Jeshi kuwapora marungu, fimbo na sime

    Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano. Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili. Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano
  17. R

    Masai wakatazwa kutembea na fimbo Zanzibar; Je, Wamasai wamewakosea nini kila sehemu mnawakataa?

    Masai ni jadi yake kutembea na fimbo miaka yote. Hakuna siku tumewahi kuiona fimbo ya Masai kama silaha. Kinachoendelea Zanzibar ni mwendelezo wakupambana na kabila hili kutokana na ukweli kwamba wamejaa Zanzibar na wanaongea vibaya kuhusu ngorongoro. Ukiwakuta wakiwa na wazungu wanajadili mada...
  18. S

    Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    Kutembea na sime kwa wamasai haijaanzia leo ni jadi yao na wamasai hawana ugomvi na mtu. Kuna ajenda fichika juu ya operesheni inayoendelea Zanzibar dhidi ya wamasai wenye sime. Wazanzibari wamekuwa na ubaguzi sana dhidi ya watu toka bara. Wamasai wanatokea bara na wanazidi kuongezeka huko...
  19. Mjanja M1

    Video: Wamasai wazichapa na Walinzi wa kawaida

    Hii ni video inayombaa kwa kasi mitandaoni ikiwaonyesha Wamasai wakipigana na Walinzi wa kampuni binafsi. Inasemekana kuwa hili tukio limetokea Zanzibar, lakini sababu ya ugomvi kati yao bado haijajulikana. Written by Mjanja M1 ✍️
  20. Analogia Malenga

    Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
Back
Top Bottom