Mko salama wapendwa? imekuwa kitambo sana jamani leo nikasema nimepata kaupenyo kidogo wacha niwajulie hali😉😉
Nimewakumbuka sana marafiki wangu wa JF😍
Nikipata tena upenyo nitakuja kuleta uzi wa kutafuta mume💃💃💃
Kisses and hugs from this side to yours, wakuu🥰
Niaje wazee,
Ipo magic iliyojificha katika kuanza na positive vibes siku inapoanza kutoka kwa wapenzi wetu au hata watu tunaowapenda.
Mpenzi wako ana uwezo wa kuifanya siku yako kuwa ya furaha, kujituma na kufanikiwa. Kinyume chake kuanza na migogoro asubuhi na mpenzi wako kunaweza kuharibia...
Katika jamii yetu ya kitanzania, kwa siku za hivi karibuni kumeibuka janga la taifa.
Nalo si jingine ni janga la upungufu wa nguvu za kiume, NGUVU ZA KIUME NI NINI? huu ni uwezo alionao mwanaume wa kushiriki ipasavyo tendo la ndoa, na kuweza kumpa mimba yule mwandani wake.
HEBU TUANGALIE JE...
Siamini eti ni mihemuko ya kihisia ndio inatufanya tu babaike na urembo wa mwanamke maana hata mwanamke mrembo anatamaniwa hadi na mwanamke mwenzake.
Tangu hii dunia ianze tumeona jinsi mwanamke mrembo alivyowadondosha watu wazito na mataifa mazito. Hakuna mwanamke mrembo masikini hapa...
Serikali imekuwa ikiboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Pamoja na jitihada hizo bado kumekuwa na changamoto kubwa katika utoaji wa vifaa tosherezi na ugawaji...
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana
Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
Sina maneno mengi. Mimi ni mpenzi wa Magwaride ya Kijeshi. Katika magwaride ya nguvu ambayo JW wamewahi kufanya ni hili la mwaka 2021, miezi michache kabla ya Kifo cha Magufuli.
Kweny hili Gwaride makamanda walitimua vumbi kwelikweli.
Siongei sana wacha video iongee yenyewe...
Katika kipindi chote tangu Tanzania ipate uhuru, hakuna kipindi ambacho raisi amekuwa akipromotiwa sana kama huyu mama. Licha ya kumpromote sana lakini wananchi wanaonesha bado hawamkubali. Sasa ivi kila page ya serekali wanabandika mapicha ya mama.
Waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya...
Kila mtu anayezaliwa katika dunia yetu amekuja na akili ambayo ndani yake hakuna mawazo ya aina yoyote kuhusiana na maisha. Uelewa wetu tulionao kuhusiana na maisha ni matokeo ya mawazo ambayo tumeyapata kutoka kwenye mazingira yetu kupitia milango ya akili.
Mawazo tunayapata kwenye mazingira...
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa kiafya.
Let's get Back to our business...
Mwanaume shababi, asiyetulia au kwa jina baya Sana...
Hii ni kwa wale wote ambao kwa namna moja au nyingine hawajiamini,wanajiona hawana thamani,huenda wanajiona hawana umuhimu wowote katika jamii na wamekata tamaa.
Nina habari nzuri kwako hicho sio kilema kwamba kitabakia hivyo siku zote au ni ugonjwa ambao utakuganda siku zote,,,jambo zuri ni...
Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume.
Mambo yamegeuka kabisa
Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date.
Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka.
Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+
Kwasababu leo hii jamiii yetu...
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyingine zozote zilizopita...
Kinaungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa. Na kwahivyo...
Serikali imetenga bilioni 3.5 katika bajeti ya wizara ya afya kusimamia tafiti na matumizi ya matokeo ya tafiti mbalimbali katika afua za:
Tafiti za magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani
Ufuatiliaji wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa
Utafiti juu ya changamoto ya afya ya akili
Matumizi ya...
Ili taifa letu la Tanzania lipate maendeleo kwenye nyanja zote lazima likuwe kiuchumi hadi ngazi ya uchumi wa juu.Bidhaa za vileo ni moja ya bidhaa zinazoongoza kwa kukuza pato la taifa kupitia kodi na leseni za biashara na taifa letu linajivunia kwasababu inachangia uchumi wa taifa, lakini kwa...
Simba inakabiliwa na tatizo la umoja, tukiwa wamoja hakuna wa kuisumbua Simba, kuna watu wako Simba ndio wanaoamua kama Simba ishinde au ifungwe au itoke sare, mnaweza msiamini lakini hebu tuangalie kitalaamu, unawezaje kuibadilisha timu ndani ya siku moja ukiwa na akina Balua, Chasambi halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.