za kiume

  1. Mc Justine Mwakibiki

    SoC04 Je, ni kweli vijana hawana nguvu za kiume?

    Katika jamii yetu ya kitanzania, kwa siku za hivi karibuni kumeibuka janga la taifa. Nalo si jingine ni janga la upungufu wa nguvu za kiume, NGUVU ZA KIUME NI NINI? huu ni uwezo alionao mwanaume wa kushiriki ipasavyo tendo la ndoa, na kuweza kumpa mimba yule mwandani wake. HEBU TUANGALIE JE...
  2. Komeo Lachuma

    Ukosefu wenu wa nguvu za kiume mtaji kwetu Serikali

    Serikali inatarajia kutumia Sh. Bilioni 3.5 kuchunguza Tatizo la Nguvu za Kiume, unywaji wa Energy Drinks
  3. Newbies

    Je, kumwaga mbegu za kiume mara kwa mara nikinga dhidi ya saratani ya tezi dume?

    Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya kibofu cha mkojo inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya mapafu. Kwa sababu tezi dume ni kiungo cha uzazi ambacho kazi yake kuu ni kusaidia kuzalisha mbegu za...
  4. Kifurukutu

    UZUSHI Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na K Vant huongeza nguvu za kiume

    Habari Jamiichek Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi. Huku mitaani...
  5. Nyendo

    Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

    Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji ======= Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada...
  6. maroon7

    Uvumi unaendelea kuhusu unga kutiwa vitu vya kupunguza nguvu za kiume na kuchochea ushoga

    Kuna uzushi umeenea sana kwenye magroup ya WhatsApp kuhusu unga wa mahindi kama inavyoonekana kwenye picha. Mwanzoni nilipuuzia ila kila group naikuta. Kimsingi wabongo elimu ya fortification (uongezaji virutubishi kwenye unga kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na udumavu bado hawajaielewa. Kuna...
  7. N

    Tuwe makini; kuna sabuni zinapoteza nguvu za kiume!!

    Hizi sabuni zenye mapichamapicha ya kama miungu ya kihindi hivi na harufu kali kuwa nazo makini, yalinikuta. Kwa usalama wa afya ya kujamiiana, ogea mbunju, magadi, komesha n.k Kwa wale waliozoea ubishi basi sawa endeleeni.
  8. doctor_clothing_store

    Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki) Bei ya suti inategemea aina ya suti Kuna za Tsh.150,000/=, 170,000/=, 180,000/=, 200,000/=, 250,000/= na...
  9. haszu

    Je, hili tatizo langu pia ni suala la nguvu za kiume? Nakosa nguvu

    Ndugu zangu, yaani nikiwa kwenye tendo, nashughulika vizuri tu. Ila sasa baada ya siku moja ya tendo, mwili unakua unachoka sana. Nakua na usingizi mzito hata mchana naweza lala masaa hata 5. Jambo hili huingilia ufanyaji kazi wangu kabisa na kufanya nishindwe kufanya kazi. Nimepima sukari na...
  10. Jaji Mfawidhi

    Sababu 5 za kupungua kiwango cha mbegu za kiume!

    Kiwango cha mbegu za uzazi za kiume wakati wa tendo la ndoa la kujamiiana kimeshuka kwa 51% katika kipindi cha karibu miaka 50 iliyopita. 1. Uzito mkubwa wa mwili. Mtu mwenye kitambi na uzito mkubwa huwa na mafuta zaidi kati uume, korodani na mirija ya mbegu na kuadhiri utengenezaji wa mbegu...
  11. Nyendo

    KWELI Kupakata Laptop husababisha hatari katika uzalishwaji wa mbegu za kiume

    Nimeona sehemu kuwa kupakata laptop kwenye mapaja kunasababisha uzalishwaji wa mbegu za kiume kuwa hatarini na nguvu za kiume zinaweza kupungua. Je, suala hili lina ukweli?
  12. Balqior

    Wanaume mliowahi kudate wadada wanaoosha nywele saluni za kiume, nipeni uzoefu

    Hello, Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii. Wakuu nipeni tips, ikitokea...
  13. Mjanja M1

    Dokta Greyson: Kutembea bila ya viatu (Peku) kunaongeza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba, akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio cha Times Fm, amesema kuwa tabia ya kutembea peku bila ya kuvaa viatu huongeza nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  14. Mjanja M1

    Dokta Greyson: Kula huku unachezea simu hupunguza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio Times Fm, amesema kuwa tabia ya wanaume kula wakati wanachezea simu zao hupelekea tatizo la nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  15. D

    Nguvu za kiume zinapotoweka ghafla!

    Pale unapopenda na kujenga taswira katika ubongo kisha unaenda kukuta ulichofikiria sio!
  16. M

    Siku Saloon za kiume zikigoma Wazee wengi tutaumbuka

    Nimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara kumaliza nywele kabisa. Lengo letu ni kuficha Mnvi na Vipara vinavyokuja naturally. Nakumbuka siku za...
  17. S

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndio nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za...
  18. ONJO

    Kumwaga mbegu za kiume/kike kiholela ni hatari kwa afya

    Habari za mda ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye mada Kumwaga mbegu za kiume au za kike ni hatari kwa afya.💪💪💪💪💪💪 Nayaandika haya nikitumia Biblia Kama Mwongozo wa maisha,Kwani kwa kuamini yaliyoandikwa ndipo tunakuwa na maisha marefu. Maisha marefu Kwasababu kuna ufufuo kwa wale watakaoishi...
  19. Pdidy

    Kwanini vijana wameathirika sana na upungufu wa nguvu za kiume?

    Hili ni janga la kitaifa yaani ukienda makanisan vijana wenye nguvu wanaomba waombewe kurudisha nguvu za kiume. Huko Ugangan ndio usiseme Sijapita mahospitalini usiseme NINI kimewaharibu vijana wetu n vyakula ama kurogwa? Mungu atusaidie Tulizoea kuona wazee wakiteseka na haya magonjwa nw...
  20. R

    Umeshawahi kununua dawa za kupunguza tumbo, kuongeza shape au nguvu za kiume mtandaoni? Unajua dawa hizo zimechanganywa na nini?

    Wakuu, Uzito uliopitiliza, shape na nguvu za kiume na mambo ambayo yanasumbua sana watu na kuna baadhi wako radhi kufanya chochote ili atimize moja la hitaji lake hapo juu. Dawa hizo nyingi hazitambuliki na mamlaka za dawa na chakula, wanaokuuzia wengi hawajui zimechanganywa na nini, na hata...
Back
Top Bottom