pombe kali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Sababu kubwa ya ulevi mkali kuoengezeka ni hizi pombe kali kuuzwa kwa kupimwa kidogo kidogo kwenye vichupa.

    Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored. Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua. Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000...
  2. rajiih

    Kuna namna fulani pombe kali inachangiza na kuongeza muda zaidi wa tendo

    Habari wana JF poleni kwa majukumu ya kazi pamoja na adha ya Mvua nyingi za week hii. Weekend hii imekua poa kidogo japo mifukoni na wallet zimeteteleka kimtindo ila bado tunakomaa na maisha yetu ya kila siku Siko hapa kutoa ushuhuda kama kwa Mwamposa hapana bali imenitokea na ndio sababu...
  3. Kifurukutu

    UZUSHI Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na K Vant huongeza nguvu za kiume

    Habari Jamiichek Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi. Huku mitaani...
  4. BARD AI

    Wanne wakamatwa kwa kutengeneza Pombe Kali 'Feki' Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Watu wanne ambao ni Ramadhani Mdoe (30) Mkazi wa Msamvu akiwa na wenzake watatu wakiwa wanatengeneza na kusambaza pombe kali feki katika kiwanda kisichosajiliwa (kiwanda bubu) kilichopo Mtaa wa Tushikamane Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro...
  5. SONDR

    Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store. Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
  6. Jaji Mfawidhi

    Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

    Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo. "Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

    Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari. Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
  8. Nazjaz

    Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

    Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty. Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa. Ila problem ninayookabiliana nayo...
  9. T

    DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

    Kama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana. Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing. Second chupa haina filter, nikarudi shoppers nikawaambia, huu mzigo feki, wahindi wakagoma goma. Nikawaambia filter ni lazima iwepo...
  10. M

    Uraibu wa kamari za Kichina, mabonanza na pombe kali unazidi kumaliza watumishi wa umma. CCM ipo kimya

    Walimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza. Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali. Wanasahau familia zao na kutoa matumizi. CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
  11. Lycaon pictus

    Pombe kali zinaongeza sana uzito, ajabu wengi wanafikiri kinyume chake

    Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga. Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
  12. M

    Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

    Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
  13. BARD AI

    Uzalishaji wa Pombe washuka kwa kasi Tanzania

    Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha uzalishaji wa bia nchini umeshuka kutoka lita milioni 386 mwaka 2020, hadi lita milioni 380, ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 1.5. Kwa upande wa pombe aina ya konyagi nayo uzalishaji wake...
Back
Top Bottom