Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani
Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani
Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi
Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha wazi kwamba mtu hana uzoefu wala connection ya kufanya biashara, watu wengi wa aina hii biashara zao...
Chama is an amazing player no doubt. but he doesn't give everything to the team. to let a foreign player act like a coward and still keep him at any cost, simba has disciple issues.
#These foreigners come to our league to improve our players. the moment he act like, he is bigger than the...
Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭
Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
1. Huwezi tu kusema 'hapana' kwa mtu yeyote bila kujisikia hatia. Unajali sana na unapenda kupita kiasi.
2.Unalia ukiwa peke yako lakini haumwambii mtu kwa sababu unaogopa watu watakufikiriaje.
3. Una haraka kufikiri kwamba kila mtu ni rafiki. Unafanya mambo kwa kila mtu wa muda katika...
Ikiwa upo mbali na nduguzo, umekua mtu wa bize sana na kazi kiasi kwamba upati mda wa kuwatembelea kujua shida zao na changamoto.
Ni vipi waweza tambua kuwa una umuhimu kwao kwa kuwasaidia changamoto zao?
Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm ! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka ! Uchaguzi ujao ni dhidi ya waliochokwa na waliojichoka wenyewe!! Naona hata hamu kutamani uchaguzi ufanyike imeondoka...
Habari ndugu Wana jf.
Natumaini nyie wazima wa afya Tena,niko hapa kuwaomba ushauri na uelewa juu ya tatizo hili la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma bila kupoteza wakati Moja kwa Moja niende kwenye tatizo nina mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 26 anasumbuliwa na kichwa kuuma na kuwa...
Eid fitriiii JF
leo ndiyo timu ya wananchi inashuka dimbani kuyaondoa machungu ya dhulma hivyo Nawaambia Dodoma na simba wasishangae vipigo watakavyokutana navyo.
NAWASILISHA
Habari za Sikukuu ya Pasaka!
Moja ya dalili kubwa kuwa taifa fulani halina rasilimali Watu ni kwa kuangalia safu ya viongozi na watawala.
Ukiona Watu wanaoteuliwa ni walewale yanaitwa miaka nenda rudi Watu ni walewale basi sababu kubwa ya jambo hilo ni kuwa nchi Hiyo haina Rasilimali Watu...
Pamoja na mapenzi kwa timu yangu, ila mara kwa mara sijasita kuja na malalamiko dhidi ya uongozi wa Simba na moja ya maeneo yanayokera wengi yanahusiana na treatment ya wachezaji wake kuanzia wale walio bora hadi wale ambao wanaonekana mchango wao umepungua mno na wanaigharimu timu. Imefika...
Nawasalimu ndugu zangu. Natumai ni wazima.
Ningependa kuuliza jambo kwani najua humu hawakosekani wajuzi wa mambo. Hivi Uchungu kwa mke anayekaribia kujifungua unaweza kumhusisha na mume?
Yaani dalili ambazo anapata mume zipo kwenye kuashiria kwamba na mkewe anakaribia kujifungua?
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa...
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima...
Simu ni Kifaa muhimu cha mawasiliano kwa binadamu yeyote lakini haitakiwi kuwa sehemu ya mwili wako kiasi cha kukufanya uwe kama mtumwa kifaa hicho.
Wataalaamu wa Saikolojia wanasema, ukitaka kubaini kama umepata Uraibu (Addiction) ya matumizi ya Simu, anza kuangalia ni kwa muda gani unaweza...
Anatafuta Kupewa Umakini Kila Wakati:
Mtoto huyu anakuwa ni mwenye kutaka sifa au kutambulika kwenye kila kitu hata vitu vidogo
Kuwa na Hasira za Haraka:
Mtoto anatumia hisia za Hasira katika kuonesha vile anavyojisikia ili tu apewe umakini kwenye mambo yake
Anakuwa Sio Mtulivu:
Mtoto...
Mimi si muumini wa mambo ya mila, hasa kuhusu wafu, lakini kwenye hili la Nyerere naanza kujitafakari sanamu la Kigwangwala na kundi lake na lile la Ethiopia, hayafanani na Nyerere hata wa kulumangia!
Watengeneza Sanamu ya Nyerere wote waliojaribu wameshindwa kabisa kututengenezea sura yenye...
Wakuu mpo Salama!
Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika.
Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika uzee.
1. Kufananisha Watu au Mahali au matukio
Kuna ile ukimuona mtu unafikiri ulimuona wapi hata...
Najaribu kutafakari mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, kisiasa na tume ya uchaguzi dhidi ya uchaguzi huru na haki, Najaribu kuoanisha na nguvu kubwa ya umma iliyo nyuma ya CHADEMA, Nazingatia pia usaliti mkubwa uliofichwa kwenye miyoyo ya wana ccm, Nasema hakuna namna tutakuwa na uchaguzi huru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.