mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JE UNATUMIA SIMU KUBWA NA HAIKUINGIZII KIPATO CHA KUKIDHI MAHITAJI YAKO?

    Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi mahitaji yako bila kujairiwa na mtu yeyote Karibu kwenye site ya mafunzo ya kufanya biashara...
  2. Mr Beltashezah

    Waweza vipi kujikwamua kimaisha endapo ukiwa na mtaji wa 1M?

    Habari wakuu, ivi ni mambo gani muhimu waweza anza nayo kimaisha ili kujikwamua katika hu jobless endapo ukiwa na mtaji wa 1M ndani mwako huku ikiwa kazi ufanyazo sio za kuelewa. Mchango wenu wa mawazo apo waitajika kwa jobless hapa🙏
  3. Komeo Lachuma

    Ukosefu wenu wa nguvu za kiume mtaji kwetu Serikali

    Serikali inatarajia kutumia Sh. Bilioni 3.5 kuchunguza Tatizo la Nguvu za Kiume, unywaji wa Energy Drinks
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwa mtaji wa milioni 12, nifungue hardware, nafaka au phone and accessories?

    Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi. Mawazo yangu niliyonayo ni Nafaka, vifaa vya simu pamoja na umeme, mwisho ni hardware. Nafaka nilitaka nideal na maharage...
  5. Mwanaumke wa mithali

    Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  6. Kiboko ya Jiwe

    Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  7. GoldDhahabu

    Maneno ni mtaji

    Katika moja ya tafiti zilizofanyika nchini Marekani, ilibainika kuwa mafanikio ya mtu kikazi yanategemea: 1. Ufanisi katika taaluma aliyo nayo asilimia 15 2. Ufundi wa kuzungumza asilimia themanini na tano. Hii inamaanisha, mtu mwenye ufaulu wa "first class" lakini si fundi wa kuongea anaweza...
  8. kingkaka_12

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 1 million Dar

    Habari Ndugu wa Jf, Natumaini wazima nilikuwa naomba ushauri wa bizness nina 1millon naweza fanya biashara gani Dar es Salaam
  9. C

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board. Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna...
  10. Liverpool VPN

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    INTRODUCTION. Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund.. Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government bonds and bills na fixed deposits. BODY:- Soko la pesa Tanzania sio kubwa kiasi kwa maana kuna hisa...
  11. A

    Biashara ya oil na vilanishi vya vyombo vya moto (magari na pikipiki)

    Habari wanajukwa wa JF Naomba elimu na ushauri kuhusu biashara ya vilainishi (oil and lubricants) vya vyombo ya moto kama vile magari na pikipiki, mtaji kiasi gani unahitajika? location ya kufungua ofisi, machimbo ya kufungashia mizigo, faida na changamoto
  12. Gulio Tanzania

    Hii ndiyo sababu kwanini mtaji wako unashindwa kukua

    Habari zenu wadau Leo nimekuja hapa nataka niwashirikishe sababu zinazofanya biashara nyingi kushindwa kukua na Nini cha kufanya ili biashara yako ikue Nipo kwenye biashara kwa muda mrefu Kuna mengi nimejifunza kipindi naanza biashara nilikuwa nayumbisha sana mtaji mtaji kushindwa kukua Kuna...
  13. Tommy 911

    Kwa mtaji wa laki tatu nifanye biashara gani?

    Habarini Wana JF, Naombeni ushauri kwa mtaji wa laki TATU nipige mishe gan ambayo nitapat ata elf 5 per day.
  14. Dr. Zaganza

    Kwa Takribani miaka 40 Sasa Nimegundua Ukiwa na MTAJI au UZOEFU, Utaishi Uchumi wakati au wa juu

    Habari zenu woote Naamini niko jukwa sahihi kushare uzoefu wangu kwenye biashara. Sasa leo napenda kushare nanyi uzoefu wangu kwa kuangalia circle yangu, nimegundua ngazi 3 kiuchumi: 1. Uchumi wa chini: Kundi bila Mtaji Wala Uzoefu. Hawa wanastrugle kila iitwayo leo kufanya kazi apate pesa ya...
  15. Almalik mokiwa

    Changamoto ya maji wilaya ya Handeni mkoani Tanga ulikuwa mtaji wa kisiasa. Mradi wa htm ni taa ya giza la muda mrefu

    Anaandika Almaliki Mokiwa Februari 28, 2024. Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ni eneo lenye 6,534 km² lililopakana na Wilaya ya Kilindi upande wa Magharibi, Wilaya ya Korogwe na mkoa wa Kilimanjaro kwa upande wa Kaskazini huku likipakana na wilaya ya Pangani kwa Upande wa Mashariki na Mkoa wa...
  16. Z

    Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5...
  17. Mjanja M1

    Madaraka Nyerere: Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki

    Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU. Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema, "Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji...
  18. jah bless xon

    Mke amwomba mme alale na mtu mwingine ili wapate mtaji

    Habari Iko hivi, kuna ndugu yangu mmoja, tuseme ni classmate wangu ana MKE na WATOTO watatu. Sasa Kuna lizee limoja lilikuwa linamtongoza huyo MKE wa jamaa. Katika harakati zakutongozana mzee akamwambia atampa na mtaji wabiashara kama 2M hivi akikubali kulala nae. Demu kikawa kinamuwazisha sana...
  19. Ngongo

    Mazishi ya Lowassa ni mtaji mzuri wa uchaguzi!

    Heshima sana wanajamvi, Nimefuatilia mienendo ya msiba wa Mzee Lowassa kwa kiasi fulani na kubaini yafuatayo. Mosi, watawala baada ya kugundua wameshindwa kuwapatia wananchi umeme wa uhakika, wameamua kuhamisha magoli makusudi kutuaminisha kwamba walimpenda, wanampenda na wataendelea kumpenda...
Back
Top Bottom