Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
5,877
13,202
INTRODUCTION.
Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund..

Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government bonds and bills na fixed deposits.

BODY:-
Soko la pesa Tanzania sio kubwa kiasi kwa maana kuna hisa, vipande vya mutual fund, government bonds and bills, na fixed deposit.

Ila nachojiuliza ""Hivi kuna mtanzania mwenye kipato kidogo anaweza ishi vizuri kwa kumiliki chochote hapo juu?""

Kuna ukweli mwingi sanaa huwa hausemwi na wataalamu wa finance and investment, ""Je soko letu ni sahihi kwa watu masikini na kipato cha kawaida??""

SCENARIO:-
Mimi binafsi ni muwekezaji wa mutual fund inayoitwa FAIDA FUND inayosimamiwa na Watumishi Housing kupitia Wizara OR - Tamisemi.
Nina vipande 25,768.9364 nilivyoanza ununuzi tokea June/2023.

Lakini pia nina biashara kubwa tu mjini yenye mtaji wa Mil 40 na assets za mil 15.

PROBLEM.
Changamoto ya soko letu la pesa ni faida yake ambayo ni ndogo sanaaa...
1. Nilishawahi miliki hisa za Vodacom na CRDB, nilikaa nazo mwaka na nusu, ilinichukua miezi mitatu kuziuza. Hiki ndicho kilichonikera balaa na kuachana na mambo ya hisa.
2. Nikaingia UTT Amis, wale jamaa walikaa na pesa yangu mwaka wakanipa 100k kama Faida..!!
3. Nikaingia kwenye forex nako nikapigwa 200 dollar yoteee (kupitia IQ Option).
4. Nikawaza Crypto currency ila sikushiriki.

Wakati nateseka na money market nilikuwa tayari nina hii biashara iliyoanza kwa mtaji wa mil 10 (bidhaa Mil 5 na Assets 3 na maandalizi mil 2).

Wakati huo wotee biashara ilikuwa inakuwa na wateja wanamiminika Ila money market ilikuwa tu inasumbua na kuiweka hela yangu idle.

Nilivutiwa na money market kwasababu ya
1. Elimu yangu ya chuo, nimesoma Economics, Finance and Investment kwa Diploma, Bachelor na Masters yangu.
2. Ujana, kutaka kuwa tajiri
3. Kuona kazini napoteza muda.

Kwasasa nipo na FAIDA FUND tu japo naona performance yake inazingua tuuuu (slowly growing).

CONCLUSION:-
Kifupi soko la fedha la kibongo bado ni nogo sanaa na si salama kwa kijana mtafutaji.

Yaani, si rafiki kwa kijana ambae anajitafuta akapata mil 2 yake eti akawekeza ili atoke kimaisha, na ni tofauti sanaa na wenzetu.

Wenzetu ukisikia mtu anamiliki 1% ya hisa za facebook huyu ni tajiri balaaa, ila hebu nitafutie mtanzania anayemiliki kampuni 1% ya share akawa tajiri...!!!

ANYWAY:-
Mimi nipo FAIDA FUND kwasababu BONUS Account ya NMB imeshindwa kunipa nachotaka. Bonus Account ili upate interest inatakiwa upambane hasaaaaaa.

Kwasasa nina mpango wa kununua fuso niwe napeleka mizigo kijijini, hivyo nawekeza FAIDA FUND ili ikifika hela ya bei ya fuso basi nitoe ninunue hiyo gari iingie mzigoni...!!!

Hivyo FAIDA FUND naifanya kama bank account ya malengo yangu..!! ila sio NJIA YA KUNITOA KIMAISHA.

Na kiukweli:-
1. Money market ya bongo ni kwa ajili ya watu waoga na wasio na muda wa kufanya biashara Ila nyie wenye mioyo migumu NJOONI KWENYE BIASHARA TUPAMBANE.
Biashara ina hela balaaaaa.

2. Money market ya bongo ni kwaajili ya matajiri tu, yaani jitafutee kwenye biashara halafu "diversify your portifolio" kwa money market, Ila sio eti umepiga deal la mil 5 halafu unaingia money market ili Uwe tajiri, aiseee HAIPO.

Watakaokwambia biashara ni high risk hebu....
1. Waulize kuhusu hisa za NICO, JATU, TOL
2. Waulize kuhusu Vodacom, waliingia DSE kwa 1000/share ghafla wakashuka mpaka 800/share..!!
3. Waambie hivi, watokee watu wawili wasio na ajira wote wapewe mil 5 each, mmoja aende UTT na mwengine aende Kariakoo kuwa winga halafu baada ya mwaka tuje na mrejesho.

Tuendelee kutafuta pesa.

#YNWA
 
Government bond ni biashara ya Wahindi, anaweza kuweka B 1 BOT kila mwezi akavuta mshahara wa million kadhaa na pesa inazaa.

Kapuku na biashara ya pesa hakuna kitu kama hicho.

Mambo ya Forex na bit coin sijui ndio cryptocurrency achana nayo kabisa.

Nimemsikia Bongo zozo mara nyingi akidanganya watu kwamba Siri ya yeye kuwa na pesa ya kusafiri duniani ni bit coin, si kweli msiingizwe mkenge huo, wazungu ni fallen Angels huwezi kuujuwa undani wao.

Kwenye ujasiriamali ukiwa na roho ngumu na ukakomaa pesa unaweza kuiona, na kingine Bongo visource vya income unatakiwa uwe navyo vingivingi tu bila kusahau kujenga lodge, hii ndio biashara ya uhakika, starehe ya mafukara NI ngono.
 
Nilishasema humu kitambo, hizo biashara za UTT na bonds ukitaka uone pesa walau uwe na 500M ama zaidi ya hapo. Otherwise wenye hizo million 5 mpaka 10 fanyeni uchuuzi tu. You will make more money that way kuliko kusubiria gawio la laki hadi laki 5 mwisho wa mwaka.
 
Mkuu ni vizuri umeleta hi mada, watu wengi hawajui government bonds zinafanyaje faida au UTT utawasikia weka pesa UTT utapata faida kubwa hawajui masikini. Biashara ya hisa bonds fixed acc nk haziwezi kukulipa katika nchi kama Tanzania, yenye high lnflation rate, unstable exchange rate, low business transaction rate, unstable bank intrest nk ........

Wanao faidi hiyo finicial market ni wafanyabiashara wenye idol finance au wapiga dili kubwa ndo njia peke ya kuficha pesa zao ila wewe wenye kupata pension ya 100m uiweke benki upate 8% annually ni kupoteza pesa na muda.
 
Government bond ni biashara ya Wahindi, anaweza kuweka B 1 BOT kila mwezi akavuta mshahara wa million kadhaa na pesa inazaa.

Kapuku na biashara ya pesa hakuna kitu kama hicho.

Mambo ya Forex na bit coin sijui ndio cryptocurrency achana nayo kabisa.

Nimemsikia Bongo zozo mara nyingi akidanganya watu kwamba Siri ya yeye kuwa na pesa ya kusafiri duniani ni bit coin, si kweli msiingizwe mkenge huo, wazungu ni fallen Angels huwezi kuujuwa undani wao.

Kwenye ujasiriamali ukiwa na roho ngumu na ukakomaa pesa unaweza kuiona, na kingine Bongo visource vya income unatakiwa uwe navyo vingivingi tu bila kusahau kujenga lodge, hii ndio biashara ya uhakika, starehe ya mafukara NI ngono.
Wa Hindi wengi ni ma agent wa biashara wanatumika kuficha pesa za watakatishaji pesa wa kimataifa/mafisadi akiwa na pesa zake anakomaa na biashara tu, biashara zinalipa ila zinahitaji umakini, self devotion and presence na strategic planning ukiingia kichwa kichwa unaua mtaji.......

Kwa mfano 100m ukinunua tipper canter 3, kwa 35m each moja unaendesha mwenyewe mbili unawapa vijana kwa wiki kila moja huleta 350k mara 3 ni 1.05m × 4= 4.2m kwa Mwezi kwa mwaka 50.02m manaake 100 inakuletee faida ya 50m kwa mwakà hamna biashara ya finance market yoyote hapa Tanzania ya kukupa faida hiyo.
 
Hizo utt/faida, shares nk ni kwaajili ya uwekezaji wa muda mrefu, yaani after from 10 yrs na kuendelea ndio unaenjoy sio unaweka leo unataka faida kesho, yaani hizo ni za kula hapo mbeleniiii, kama unataka za muda mfupi then fanya biashara, nakumbuka miaka mitano iliyopita niliweka 10mil benk Moja hivi fixed, after six month faida laki mbili hahaha nikaitoa, kwahiyo ukiwekeza kwenye hizo money markets hutakiwi kuwa na haraka nazo weka then tulia, endelea ukiwekeza taratibu.. halafu pia Kuna watu wengine hawawezi kabisa kufanya biashara so ndio maana anawekeza huko coz hataki stress ingawa kijifaida kinakuwa taratibu...kupanga ni kuchagua
 
Wa Hindi wengi ni ma agent wa biashara wana tumika kuficha pesa za watakatishaji pesa wa kimataifa/mafisadi akiwa na pesa zake ana komaa na biashara tu, biashara zinalipa ila zina hitaji umakini, self devotion and presence na strategic planning ukiingia kichwa kichwa unaua mtaji.......

Kwa mfano 100m ukinunua tipper canter 3, kwa 35m each moja unaendesha mwenyewe mbili unawapa vijana kwa wiki kila moja huleta 350k mara 3 ni 1.05m × 4= 4.2m kwa Mwezi kwa mwaka 50.02m manaake 100 inakuletee faida ya 50m kwa mwakà hamna biashara ya finance market yoyote hapa TZ ya kukupa faida hiyo.
Mh sio rahisi kihivyo,
 
INTRODUCTION.
Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund..

Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government bonds and bills na fixed deposits.

BODY:-
Soko la pesa Tanzania sio kubwa kiasi kwa maana kuna hisa, vipande vya mutual fund, government bonds and bills, na fixed deposit.

Ila nachojiuliza ""Hivi kuna mtanzania mwenye kipato kidogo anaweza ishi vizuri kwa kumiliki chochote hapo juu?""

Kuna ukweli mwingi sanaa huwa hausemwi na wataalamu wa finance and investment, ""Je soko letu ni sahihi kwa watu masikini na kipato cha kawaida??""

SCENARIO:-
Mimi binafsi ni muwekezaji wa mutual fund inayoitwa FAIDA FUND inayosimamiwa na Watumishi Housing kupitia Wizara OR - Tamisemi.
Nina vipande 25,768.9364 nilivyoanza ununuzi tokea June/2023.

Lakini pia nina biashara kubwa tu mjini yenye mtaji wa Mil 40 na assets za mil 15.

PROBLEM.
Changamoto ya soko letu la pesa ni faida yake ambayo ni ndogo sanaaa...
1. Nilishawahi miliki hisa za Vodacom na CRDB, nilikaa nazo mwaka na nusu, ilinichukua miezi mitatu kuziuza. Hiki ndicho kilichonikera balaa na kuachana na mambo ya hisa.
2. Nikaingia UTT Amis, wale jamaa walikaa na pesa yangu mwaka wakanipa 100k kama Faida..!!
3. Nikaingia kwenye forex nako nikapigwa 200 dollar yoteee (kupitia IQ Option).
4. Nikawaza Crypto currency ila sikushiriki.

Wakati nateseka na money market nilikuwa tayari nina hii biashara iliyoanza kwa mtaji wa mil 10 (bidhaa Mil 5 na Assets 3 na maandalizi mil 2).

Wakati huo wotee biashara ilikuwa inakuwa na wateja wanamiminika Ila money market ilikuwa tu inasumbua na kuiweka hela yangu idle.

Nilivutiwa na money market kwasababu ya
1. Elimu yangu ya chuo, nimesoma Economics, Finance and Investment kwa Diploma, Bachelor na Masters yangu.
2. Ujana, kutaka kuwa tajiri
3. Kuona kazini napoteza muda.

Kwasasa nipo na FAIDA FUND tu japo naona performance yake inazingua tuuuu (slowly growing).

CONCLUSION:-
Kifupi soko la fedha la kibongo bado ni nogo sanaa na si salama kwa kijana mtafutaji.

Yaani, si rafiki kwa kijana ambae anajitafuta akapata mil 2 yake eti akawekeza ili atoke kimaisha, na ni tofauti sanaa na wenzetu.

Wenzetu ukisikia mtu anamiliki 1% ya hisa za facebook huyu ni tajiri balaaa, ila hebu nitafutie mtanzania anayemiliki kampuni 1% ya share akawa tajiri...!!!

ANYWAY:-
Mimi nipo FAIDA FUND kwasababu BONUS Account ya NMB imeshindwa kunipa nachotaka. Bonus Account ili upate interest inatakiwa upambane hasaaaaaa.

Kwasasa nina mpango wa kununua fuso niwe napeleka mizigo kijijini, hivyo nawekeza FAIDA FUND ili ikifika hela ya bei ya fuso basi nitoe ninunue hiyo gari iingie mzigoni...!!!

Hivyo FAIDA FUND naifanya kama bank account ya malengo yangu..!! ila sio NJIA YA KUNITOA KIMAISHA.

Na kiukweli:-
1. Money market ya bongo ni kwa ajili ya watu waoga na wasio na muda wa kufanya biashara Ila nyie wenye mioyo migumu NJOONI KWENYE BIASHARA TUPAMBANE.
Biashara ina hela balaaaaa.

2. Money market ya bongo ni kwaajili ya matajiri tu, yaani jitafutee kwenye biashara halafu "diversify your portifolio" kwa money market, Ila sio eti umepiga deal la mil 5 halafu unaingia money market ili Uwe tajiri, aiseee HAIPO.

Watakaokwambia biashara ni high risk hebu....
1. Waulize kuhusu hisa za NICO, JATU, TOL
2. Waulize kuhusu Vodacom, waliingia DSE kwa 1000/share ghafla wakashuka mpaka 800/share..!!
3. Waambie hivi, watokee watu wawili wasio na ajira wote wapewe mil 5 each, mmoja aende UTT na mwengine aende Kariakoo kuwa winga halafu baada ya mwaka tuje na mrejesho.

Tuendelee kutafuta pesa.

#YNWA
Long-term investment dingii au hamkufundishwaga hivyo huko mashuleni kwenu?
 
Mimi nawekeza UTT kwa sababu ya kukusanya mtaji huku hela ikiwa inaongezwa kwa riba nzuri kuliko zile Fixed na Bonus account za mabenki.

Kwa mwenye mtaji mdogo huko UTT patumieni kama sehemu ya kuweka akiba sio kuwe kama Investment.
 
Uzi mzuri.
Mimi naona watu waendelee kuweka pesa huko ila wasipategemee kama mkombozi kwa pesa ndogo.

Mimi ninaamini pesa hata kama 20k nimeipata passively ina maana sana sana. Pia watu kuweka huko haimaanishi hawafanyi mambo mengine.

Wahindi unakuta wamewekeza kwenye tuvitu twingtwingi halafu anazuga na kaduka, lakini Aggregate ya mpunga wake kwa mwezi ni zaidi ya mtu anayestruggle kwenye biashara moja actively.
 
Mmh long term investment manaake ni ni financial marketing mkuu? Hata real estate, ni longterm investment ila hazina faida yakuinua mtu, ni kama pambo tu
Hiyo weka mpunga sahau hata 30 years, ukishakuwa above 30 investment ya UTT ni kwaajili ya kusaafu kibosi yaani uneemeke at your 50s na kuendelea kwa saiv wewe invest kwaajili ya watoto wako wawe madon at their early 30s, kiufupi wewe hapo huusiki kabisa na benefit za hiyo mifuko kwa saivi kwenye kukokotoa interest rate time is the main factor ila wengi wana ignore hiyo
 
Hizo utt/faida, shares nk ni kwaajili ya uwekezaji wa muda mrefu, yaani after from 10 yrs na kuendelea ndio unaenjoy sio unaweka leo unataka faida kesho, yaani hizo ni za kula hapo mbeleniiii, kama unataka za muda mfupi then fanya biashara, nakumbuka miaka mitano iliyopita niliweka 10mil benk Moja hivi fixed, after six month faida laki mbili hahaha nikaitoa, kwahiyo ukiwekeza kwenye hizo money markets hutakiwi kuwa na haraka nazo weka then tulia,endelea ukiwekeza taratibu..halafu pia Kuna watu wengine hawawezi kabisa kufanya biashara so ndio maana anawekeza huko coz hataki stress ingawa kijifaida kinakua taratibu...kupanga ni kuchagua
Huu ndio ukweli kwa mtu mwenye kipato cha kawaida..weka kwa ajili ya kuchukua baadae sana.
 
Ni vizuri pia ukafaham utofauti kati ya Active Income na Passive income….Ninachoona hapo unacompare Pineapples and Apples…….Pia kila mmoja ana malengo na vipaumbele vyake tofauti…
Umeelewa nilichoandika?
Anyway:-
Nimekwambia Niko na masters, Bach ma dip unadhani kuna neno la kwenye makaratasi SILIJUI?

Hata hivyo, umesema kuhusu ""Making money while sleeping"" Ila chakukushauri, hakikisha kwanza Una active income nyingi then ndio uingie hizo passive income.

Kuna tajiri huko anamiliki hisa za FB, Apple na nyengine kwa asilimia 3 tu, Ila kwa bongo MONEY MARKET BADOOO SANAAAAA.

#YNWA
 
Back
Top Bottom