Je kwa Tanzania kuna soko la city gani hasa toka nchi kama US?

meghan markle

JF-Expert Member
May 22, 2018
489
1,182
Nipo huku kwa Biden najaribu kuangalia fursa za kuleta nyumbani ila ni vizuri kujua demands za soko la nyumbani.

Naomba maoni yenu juu ya bidhaa, biashara au huduma zinazoweza kuletwa Tanzania toka USA.

Currently nafanya issue ya kupokea oda ya vitu mbali mbali toka kwa watu kisha kuwatumia kwa mkataba/makubaliano maalum maana mtaji mkubwa ni uaminifu.

Karibuni kunipa maoni
 
Kuwa makini, Kuna Kodi/Tozo kubwa sana (kilio cha wengi). Huenda baadhi ya bidhaa zikakuleta shida baada ya kufika nchini.

Ushauri
- Computer/ Computer parts hazina kodi, unalipia VAT tu, Hivyo hii ndio mizigo ya kununua na kuja kuuza Tz.
 
Jaribu kuleta vitu used vya electronics vya majumbani
 
Kuwa makini, Kuna Kodi/Tozo kubwa sana (kilio cha wengi). Huenda baadhi ya bidhaa zikakuleta shida baada ya kufika nchini.

Ushauri
- Computer/ Computer parts hazina kodi, unalipia VAT tu, Hivyo hii ndio mizigo ya kununua na kuja kuuza Tz.
Asante sana kwa ushauri
 
Back
Top Bottom