vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Nikiambiwa huyu ndiyo Profesa hasa ambaye sina Shaka nae na hata Kichwani yuko vizuri nitakubali kwa 100%, kuliko Maprofesa wengi Uchwara tulionao

    Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu. Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
  2. Tlaatlaah

    Ni vizuri ukawa msafi vya kutosha unapokuwa faragha na mwenzi wako

    Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao.. Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya wekwe vizuri, mdomo usukutuliwe kwa usahihi, pua na maskio visafishwe vizuri, na hata kucha za...
  3. M

    Kutojua kuongea na kuandika vizuri kiingereza itamkwe kama Ulemavu.

    Haiwezekani kama nchi maskini tuendelee kubembelezana kuijua vizuri hii lugha muhimu ya kibiashara duniani. Kama tunatakiwa kufanya export zaidi ya products na services zetu hatuwezi kukwepa kukifahamu vizuri kiingereza. Hii ni lugha kuu ya biashara duniani. HAINA MJADALA. Kuna wapuuzi wana...
  4. OMOYOGWANE

    Fredy Koublani ni mchezaji mzuri sana akitumiwa vizuri ataisaidia sana SIMBA SC atafanya maajabu NBC PL.

    Mimi naomba nitofautiane kidogo na wadau wengi wa jukwaa hili hasa hasa wana YANGA wenzangu na mashabiki wa simba SC wanaodai Fredy Koublan ni garasa. Huyu mchezaji namfananisha na the great khali (kwa walioangalia mieleka miaka ya 2005 watakua wanamjua vilivyo) Ana mwili mkubwa, ni mrefu...
  5. PLAN B VERYFIED

    Salooni yangu Ipo vizuri

    Shukrani Kwa wadau wote kuni support kwenye hihi kazi kama mnavyoona.
  6. B

    Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
  7. G

    Ni vitabu gani vizuri vya elimu ya matatizo yetu Afrika vilivyoandikwa na waafrika

    Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k. Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia waliminya haki. sijitaji vitabu vya mtu kaandika tu ajulikane nae ana kitabu, sipend vitabu vya...
  8. TODAYS

    Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
  9. Miss Zomboko

    Aprili 23: Siku ya Lugha ya Kiingereza. Neno gani linakushinda kulitamka vizuri?

    Siku ya Lugha ya Kiingereza Duniani (World English Language Day) ni siku ambayo ilianzishwa na UNESCO kwa lengo la kusherehekea umuhimu wa lugha ya Kiingereza kama mojawapo ya lugha za kimataifa zinazotumiwa kote ulimwenguni. Siku hii hutambuliwa kila mwaka tarehe 23 Aprili, ambayo pia ni...
  10. ChoiceVariable

    Mwenezi CCM Arusha: Kama huna Kadi ya CCM umemsaliti Mungu

    Maneno mengine mtatia wenyewe ila nimefikisha ujumbe na mjumbe hauwawi 👇👇 == Alichokisema: Kujiunga ndani ya chama cha mapinduzi, haujamsaliti Mungu. Wote ambao hawana kadi za CCM wamemsaliti Mungu. Haiwezekani umezaliwa Tanzania, kwasababu nataka kuwaambia kuzaliwa mchaga huchagui, kuzaliwa...
  11. Mad Max

    Magari ya Hybrid yanayofanya vizuri Tanzania

    Huku bei ya mafuta ikiendelea kupanda kila kukicha ndani ya hii miaka mitano (kutoka Tsh 2100/= hadi sasa Tsh 3300/=) na hamna "dalili" kuona bei ikishuka, ni muda wa Watumiaji kubadirisha muelekeo (adaptation). Kwa wanaotafuta gari, ni bora kuangalia "Fuel Efficient cars" au "Hybrid cars" huku...
  12. P

    Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

    Asalam walekum, Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu. Mfano: Ethiopia wana strongest airline. Seychelles and SA: best education system SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure...
  13. U

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki. Hii ni tofauti na kundi la east cost team, members wake wengi wanadunda mpaka sasa GK - Lecturer katika...
  14. ndege JOHN

    Eti wadau kuna biashara ya kukodisha concrete mixer na ikafanya vizuri?

    Habari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena Kwa mikoani huku kweli nitakuwa nimefanya uwekezaji wenye matokeo nikinunua hio mashine?
  15. Prakatatumba abaabaabaa

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko. Lakini...
  16. C

    UZUSHI Kula nanasi kunafanya uke unukie vizuri

    Wakuu mko salama? Nimekuwa nikisia stori nyingi kuhusu nanasi, kuwa ukila unafanya uke kuwa na harufu nzuri, wengine wanasema unaongeza "ladha", yaani ute/maji maji yanakuwa na utamu kama vile umechanganywa na sukari hivi? Kuna ukweli kwenye hili wataalam wa JamiiCheck?
  17. Tlaatlaah

    Ni vizuri kujisitiri vizuri unapokuwa kwenye mihangaiko

    Kujisitiri vema ni jambo la muhimu sana kwa wanaume, lakini pia zaidi sana kwa wanawake, ikiwa ni kwenye mihangaiko au safarini. Kujiandaa na dharura walau na kanga kwenye mkoba ni jambo la maana sana unapokua kwenye ibada za maombezi, sokoni n.k.. Katika matukio mengi hivi karibuni imekuwa ni...
  18. covid 19

    Ni kweli mpira tumecheza vizuri kocha kafanya kazi nzuri ila quality ya wachezaji ni mbovu

    Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea. Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga shoot moja na hilohilo limekuwa goli. Wachezaji wa simba mnawatukanisha sana viongozi wenu isee na...
  19. Toto mol

    Kula vyuma hivyo usherekee sikukuu vizuri

    Ukipata ukifanikiwa usisite kunibless ata ya soda basi dah! Wana mna roho ngumu haki ya nani! 😂👇👇
  20. Mganguzi

    Uzi wa mamelod kwa sasa umakwenda vizuri sana sokoni ! Kwa hapa dar umeanza kuadimika kabisa

    Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
Back
Top Bottom