Ni vizuri ukawa msafi vya kutosha unapokuwa faragha na mwenzi wako

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,986
12,245
Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao..

Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya wekwe vizuri, mdomo usukutuliwe kwa usahihi, pua na maskio visafishwe vizuri, na hata kucha za mikononi, nywele za kichwani ni vizuri zikawa katika hali ya usafi kuliko kuzificha kwa kilemba au kofia....

Ni muhimu kuzingatia hilo kuepuka kulaumiana kwenye kuridhishana baadae.

Moja miongoni mwa wahusika katika faragha anaweza asifanye chochote kikamilifu au ipasavyo anapoona au kukutana na uchafu au harufu isiyo faa...

Licha ya kwamba tatizo la harufu isiyofaa au uchafu inaweza kua ni kwasabb za kiafya kwa baadhi, basi ni vizuri likatafutiwa ufumbuzi wa kitabibu kuliko kulazimisha kumridhisha mtu hali ya kua uko ktk hali hiyo.

Hali ya uchafu na harufu isiyofaa husababisha tendo lisifanyike kikamilifu na kwa umahiri inavyostahili...

tendo linapaswa kufurahiwa na wote wanaoshiriki...

Tusizingatie usafi wa nje pekeyake, bali pia muhimu zaidi kufanya usafi mpaka wa ndani vizuri..

Ni katika kukumbushana tu, maana jambo hili liko bayana kwa kila moja 🐒
 
Wanawake ni wagumu sana wa kusafisha papuchi zao kabla ya kudinyana. Papuchi zinanuka utoko.
 
Umekumbuka kumtag mhusika? Aliekufanya uje kuadika uzi ?
 
Siwezi kabisa kuvumilia uchafu/harufu mbaya, kila kitu kitaishia hapo.
Nina kinyaa mno!
 
sure,
yaan mtu hapaswi kukosea kabisa kurekebisha vizuri na kulifanyia kazi eneo hilo muhimu sana la usafi....

vinginevyo badala ya kufurahishana mnakwazana 🐒
 
Umekumbuka kumtag mhusika? Aliekufanya uje kuadika uzi ?
wauhusika ni familia hii pana sana ya humu ndani....

ni katika kukumbushana tu.

na tafadhali ukielezwa ukweli kua muungwana tu na sio kupanic🤣

mara ooh kwahiyo mie nanuka si ndio?

bas sawa mie si natoa harufu, watafute ambao hawanuki...
 
Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao..

Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya wekwe vizuri, mdomo usukutuliwe kwa usahihi, pua na maskio visafishwe vizuri, na hata kucha za mikononi, nywele za kichwani ni vizuri zikawa katika hali ya usafi kuliko kuzificha kwa kilemba au kofia....

Ni muhimu kuzingatia hilo kuepuka kulaumiana kwenye kuridhishana baadae.

Moja miongoni mwa wahusika katika faragha anaweza asifanye chochote kikamilifu au ipasavyo anapoona au kukutana na uchafu au harufu isiyo faa...

Licha ya kwamba tatizo la harufu isiyofaa au uchafu inaweza kua ni kwasabb za kiafya kwa baadhi, basi ni vizuri likatafutiwa ufumbuzi wa kitabibu kuliko kulazimisha kumridhisha mtu hali ya kua uko ktk hali hiyo.

Hali ya uchafu na harufu isiyofaa husababisha tendo lisifanyike kikamilifu na kwa umahiri inavyostahili...

tendo linapaswa kufurahiwa na wote wanaoshiriki...

Tusizingatie usafi wa nje pekeyake, bali pia muhimu zaidi kufanya usafi mpaka wa ndani vizuri..

Ni katika kukumbushana tu, maana jambo hili liko bayana kwa kila moja 🐒
Ahsante kwa nasaha. iliojaa ukumbusho wa ushauri.
Kama ww ni jinsia ya ke baci unaenshi kwa vitendo yale yote ylioyaidhinisha ktkt andiko lako.
 
Wanawake ni wagumu sana wa kusafisha papuchi zao kabla ya kudinyana. Papuchi zinanuka utoko.
ni vema kusaidiana na kukumbushana aise.....

kjisahau ni kwingi sana,
mnakutana leo yuko safi sana, mkiendelea kua pamoja tu mathalani kwa wiki kadhaa, sijui huwa ni uchovu au mazoea unaanza kukutana na hewa nzito tena 🐒
 
Back
Top Bottom