UMUHIMU WA KUENEA KWA ELIMU MAALUM YA LUGHA ZA ISHARA NA ALAMA
1) Itasaidia ongezeko la wataalam ; hii ni pale tunaelimisha zaidi kuwa kila mtu ana haki ya kupata elimu. Elimu maalum kwa ajili ya wasio ona,wasio sikia, Autism, na watu wengine wenye mahitaji maalumu hawa huwa na uwezo mkubwa...
Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili
Mfano leo wameandika
Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa wao si wanene, kulinganana utafiti wa Kiitaliano ambao uliangalia mafuta ya mwili badala ya...
Nimepitia kumbukumbu za mjadala wa katiba na Muungano kwa miaka zaidi ya 11 sasa. Kumbukumbu kwenye YouTube na mahojiano yaliyowahi kufanywa na vyombo mbalimbali ikiwemo midahalo inaonyesha msimamo wa Tundu Lisu ni msimamo wa Jaji Warioba.
Matamshi anayotoa Warioba ndiyo anayotoa Tundu Lisu...
Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi.
Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli.
Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize...
utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua zikitokana na kukosekana kwa lugha ya pamoja kati ya watu hawa na jamii inayo wazunguka hivo...
Napenda kuisihi Wizara ya Habari kusimamia suala la wakalimani wa lugha ya alama iwe suala la lazima katika vituo vya Televisheni ili kuwapa haki ya kutopitwa na taarifa ndugu zetu wenye changamoto ya usikivu.
Vituo vingi hapa nchini havitoi hiyo huduma na hii ni kutowatendea haki ya msingi...
Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili
"Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
Siku ya Lugha ya Kiingereza Duniani (World English Language Day) ni siku ambayo ilianzishwa na UNESCO kwa lengo la kusherehekea umuhimu wa lugha ya Kiingereza kama mojawapo ya lugha za kimataifa zinazotumiwa kote ulimwenguni.
Siku hii hutambuliwa kila mwaka tarehe 23 Aprili, ambayo pia ni...
Nimekaa nimewaza na kuwazua nimeona kuuliza si ujinga; hivi huyu aliyegundua herufi alikuwa anawaza nini?
Mfano:
A tunasema ei, na hapo alianza gundua A alijuaje kuna herufi la 5 E na la 9 I?
Angalau W daliyuuu.... sababu alishagundua d, a, b, l, i hiyo y nina mashaka nayo na u.
Masharti ya...
Wanabodi,
Leo nimetembelea kurasa fulani za website ya UN, nikakutana na neno fulani la Kiswahili kwenye moja ya program za UN , neno hii inaonyesha Kiswahili kinazidi ku gain momentum. Neno hilo linatumika kwenye program ya usajili ya UN
Niliwahi kuandika Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe...
Mwaramutse nshuti,
Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate.
Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati
Visawe ni maneno yenye maana sawa
Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
Jambo wanajamii.
Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite.
Thank you in advance.
Binafsi nasikitika kuona Tamthilia hizi za Kituruki, kihindi, kikorea, kichina, kiarabu n.k zilizotafsiriwa kwa lugha yetu ya Taifa kiswahili zinazooneshwa sana muda mwingi katika chanel zetu maarufu nchini hasa Azam kila nikiingia nyumbani, saloon, bar, hotel n.k.
Serikali hasa Wizara ya sanaa...
Hello
Shalom!
Kila siku kwa kadri ya neema ya MUNGU nitaleta mada moja muhimu ili kumjenga mkristo.
Tujengwe imara ili tusiyumbishwe na mbwa mwitu.
Kristo alisema atakaa ndani yetu nasi tutakaa ndani yake.
Asitokee mtu yeyote akawageuza Wakristo wenzake kama chanzo cha mapato yake.
Watu wajue...
Wabobezi ktk fani ya lugha Profesa Aldin Mutembei UDSM, Prof. Mabala na Prof. Raymond Mosha wa chuo nchini U.S.A wajitosa katika mjadala mzito wa TAHASUSI / COMBINATION mpya zinazotegemea kuaza kutumika
https://m.youtube.com/watch?v=bnGuW-H_OeY
Yalitakiwa wajadiliwe kwa upana ili umma mpana...
AFRICAN LANGUAGES AND THEIR FAMILIES
What is Language?
language is a system of conventional spoken, manual (signed), or written symbols by means of which human beings, as members of a social group and participants in its culture, express themselves.
What is Language family?
A language family is...
Kwema Wakuu!
Ni lini lugha mama zetu, nazungumzia lugha zetu za kikabila zitaingizwa kwenye mitaala kama moja ya masomo ya lugha kama ilivyo kichina, kingereza, kiswahili, kiarabu.
Tunampango gani wa kuhifadhi lugha zetu za asili au elimu ya kigeni itafanikiwa kuzifuta Lugha zetu za asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.