Serikali iongeze zaidi wataalamu wa elimu maalum ya lugha za ishara na alama

Masawe Fredrick

New Member
May 17, 2024
3
0
UMUHIMU WA KUENEA KWA ELIMU MAALUM YA LUGHA ZA ISHARA NA ALAMA​

1) Itasaidia ongezeko la wataalam ; hii ni pale tunaelimisha zaidi kuwa kila mtu ana haki ya kupata elimu. Elimu maalum kwa ajili ya wasio ona,wasio sikia, Autism, na watu wengine wenye mahitaji maalumu hawa huwa na uwezo mkubwa sana ata kwenye kufikiri na kutoa mawazo ila changamoto inakuwa ni kwenye mawasiliano hivyo serikali ikijitahidi kuongeza wataalamu wa lugha hizo itatengeneza muunganiko mzuri kati ya watu wenye mahitaji maalumu na wasio hitaji.

2) Itapunguza tatizo la Ajira, hii ni kweli kabisa pale ambapo mfano kiziwi anauwezo wa kufanya kazi ya mikono na ya kutumia mikono pia changamoto ni lugha tu ko serikali ikizingatia itasaidia sana kupunguza umaskini na tatizo la ajira.

3) Itapunguza omba omba na ajali za zisizo za lazima mitaani, omba omba wengi wana changamoto tofautitofauti ambazo zinaweza kutatulika wengine inakuta hawajui ishara ko wanashindwa namna ya kuwasiliana.
 
screenshot_20240130-082544-jpg.2996015
 

Attachments

  • Screenshot_20240130-082544.jpg
    Screenshot_20240130-082544.jpg
    567.1 KB · Views: 2
SERIKALI KUTOA SIKU MAALUMU YA ELIMU KwA UMMA ILI KUPINGUZA UMASKINI NA UVIVU WA KUFIKIRI hii ni kutokana na watu wengi mitazamo yao ipo nyuma na huwa inategemea serikali iwape feza badala ya kutambua kwamba jukumu la serikali ni kuhakikisha upatikanaji wa huduma za kijamii na ulizinzi ila suala la umaskini ni mtu binafsi
 
Back
Top Bottom