vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Tuishi na wanyama vizuri: paka wangu kaua nyoka jioni ya leo, bila yeye nyoka angekuwa ndani ya nyumba na lolote lingeweza kutokea

    Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake. Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila...
  2. E

    Profesa Janabi: Tuwarithishe watoto mali sio unene

    Habari JF , Hii ni kutoka kwa prof pendwa Janabi . Iende kwa wote ambao huwa wanajisifa kwetu ni wanene mara nimerithi unene etc... Binafsi nimeipenda sana hii --- Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema unene kupita kiasi si mzuri kwa afya ya...
  3. cleokippo

    KERO Mamlaka ya maji Sengerema (SEUWASA) mmeamua kuwanywesha maji ya kisima wananchi wenu ili wapate kipindupindu vizuri?

    Tumekuwa tukiwalalamikia mara kwa mara hawa mamlaka ya maji sengerema kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wananchi wao Mbunge pamoja na wananchi wamepiga kelele weee mpaka wamechoka lakin hawaelewi sasa kama mh wazir upo humu jukwaan jaribu kuimulika uone uozo wa wafanyakazi wa idara yako...
  4. L

    Paul Makonda amefanikiwa kuiweka CCM katika mioyo na midomo ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika uteuzi uliofanywa na chama cha Mapinduzi chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan , kumteua Mheshimiwa Paul Christian Makonda kuwa katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa...
  5. K

    Bunge, Serikali na Mahakama vyote havifanyi kazi vizuri 🤔

    Bunge letu ni fake na halitoi majibu Serikali haiko serious kutatua matatizo ya wananchi. Katiba ni mfano! Wamebaki kisiasa kila kitu. Hakuna maridhiano ya maana yenye nia ya kuendeleza nchi badala yake ni kufikiria ndugu na marafiki zao tu. Mahakama haitoi haki ipasavyo na imejaa siasa...
  6. MamaSamia2025

    Ujumbe wangu kwa wananchi wote kuhusu watoto ambao hawajafanya vizuri kidato cha nne

    Ni kweli wamefeli form four, wamepata four na zero.... kabla ya kuwalaumu tujiulize tulifanya jitihada gani kupunguza tatizo. Tuliwaonya walipokuwa wanakosea? Tuliwashauri? Tuliwasaidia mahitaji yao ya kishule kama Ada na mengineyo? Hatukuwatumikisha kazi zetu bila kujali umri wao na ratiba zao...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Sheria mojawapo ya Maskini inasema: Usionyeshe wala usi-post Mafanikio yako

    SHERIA MOJAWAPO YA MASKINI INASEMA: USIONYESHE WALA USI-POST MAFANIKIO YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna maskini na umaskini wake. Alafu kuna tajiri na utajiri wake. Umaskini na maskini wanasheria na kanuni zao. Matajiri na utajiri wanasheria na kanuni zao. Wapo maskini wa aina...
  8. RUSTEM PASHA

    Kama unahitaji ajira kwenye international companies zinazolipa vizuri, tunza afya yako kuliko chochote

    Utapita kwenye interview stage zaidi ya 4 na utapewa offer, Kisha utaikubali, baada yahapo utapelekwa kwenye vipimo vya afya Yako ikiwa ni pamoja na x-rays ya kifua, mgongo, watakupima HIV, sukari, pressure, pamoja na homa ya inni na magonjwa mengine kibao. Aisee tutunze afya zetu.
  9. Kiboko ya Jiwe

    2025 kuna uwezekano Paul Makonda akachukua fomu ya Urais. Ndipo Rais Samia ataijua vizuri rangi ya Paul Makonda

    Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii. Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali. Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli...
  10. Mjanja M1

    Harmonize ahofia kurogwa wimbo wake usifanye vizuri

    Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani. Hii ndio post Harmonize...
  11. P

    Kama nchi naamini tuna uwezo wa kufanya vizuri zaidi ya hivi tunavyofanya

    Kuna mambo yanayogusa maisha ya wananchi ya kila dakika. Suala la mgao wa umeme, miundombinu ya maji kuharibika na kutokutengezwa kwa haraka ili kurejesha huduma, barabara mbovu, dawa hospitalini, nk. siyo vitu vya kusubiri sijui mpaka rais aje avitolee maelekezo au kuwajibisha watendaji wake...
  12. A

    DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Sadaka ya kweli ni ipi?

    SADAKA YA KWELI NI IPI? Mtoto mmoja alikuwa amesimama, bila viatu, mbele ya duka la viatu akitetemeka kwa baridi. Mwanamke mmoja alikuja na kusema: "Rafiki yangu, unatafuta nini hapa au umependezwa na dirisha la dukahilo?" Akajibu, "Nimekuja hapa kumuomba Mungu anipe jozi ya viatu." Mwanamke...
  14. Poppy Hatonn

    Tunapofunga mwaka ingekuwa vizuri kama afande waitara na samuel kiboye wangepatana

    Kuna vurugu CCM Mara ambazo zinasababishwa na watu kukitafuta kiti cha ubunge cha 2025. Kwa hiyo inatokea hali kwamba watu wanatukana,pia hawasiti kushambuliana kwa silaha. Ni jambo baya. Kama alivyokuwa anasema Mhe.Kiboye,"Sisi wore ni CCM,kwa nini tunagombana.?" Nawaomba hawa watu watanzue...
  15. Mjanja M1

    Ananiongelea vizuri kwa Mama Mkwe

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga. Juzi wakati nipo mahali nilikutana na Mpangaji anaeishi kwenye nyumba ya Mama mkwe, yule Dada akawa akaniambia kuwa Mpenzi wangu amekuwa...
  16. hermanthegreat

    Nawezaje kuboresha waved hairy zangu, ziwe vizuri zaidi

    Wakuu Nywele zangu ni waved lakini kidogo sana naombeni njia ya kutengeneza matuta makubwa kwenye nywele.
  17. Mhaya

    Nini kinapelekea Single Movies kutokufanya vizuri Tanzania?

    Tangu Kanumba kufariki, soko la Movie moja moja hapa Tanzania limekuwa gumu sana, na waigizaji wengi sasa wamejikita kwenye vipande vya video fupi fupi za kupost instagram na YouTube, na waigizaji wakubwa wamejikita zaidi kwenye Tamthilia. Soko la Movie Moja moja (Single Movie) kwa kweli...
  18. benzemah

    Taasisi Ipi ya Serikali Imefanya Vizuri Zaidi na Ipi Imefanya Vibaya Zaidi Mwaka 2023

    Mwaka 2023 ndio hivyo unazidi kuyoyoma taratibu. Kwa maoni yako, mwaka huu 2023 ni taasisi ipi ya Serikali imefanya kazi inayostahili pongezi, kwa maana kuwa imefanya vizuri zaidi Na ipi imefanya vibaya zaidi ya nyingine zote. Tufunguke hapa
  19. MamaSamia2025

    Soma orodha ya viongozi waliofanya vizuri 2023. Wa upinzani pia wamo

    Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi...
  20. Expensive life

    Tupige kura hapa: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini

    Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua. Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini. Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo...
Back
Top Bottom