A
Anonymous
Guest
Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM.
Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani.
Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa.
Naomba tu na hili litiliwe maanani kama lile swala la kunguni lilivyofanyiwa kazi