kipindupindu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Wakazi wa Moshi mjini hatarini kupata kipindupindu sababu ya uchafu wa mazingira

    Katika miongo kadhaa mji wa Moshi umejizolea sifa za usafi na ambao uliufanya mji huo kuwa na sifa za kipekee nchini ikiwa ni pamoja na kuongoza kwa usafi. Hali hiyo imekua tofauti kwa miaka ya hivi karibuni kutokana na mji huo kuendelea kuporomoka katika nafasi za usafi na sasa ikiwa...
  2. BARD AI

    Takriban Nchi 16 zakabiliwa na uhaba wa Chanjo ya Kipindupindu

    AFYA: Nchi za Zimbabwe, Malawi na Msumbiji zinakabiliwa na uhaba wa Chanjo za Kipindupindu huku Ugonjwa huo ukiwa umeathiri takriban Watu 96,000 na kusababisha Vifo zaidi ya 1,600 katika Nchi hizo. Taarifa ya Madaktari Wasio na Mipaka (DWB) imeeleza kuwa uhaba huo umeathiri zoezi la Chanjo...
  3. cleokippo

    KERO Mamlaka ya maji Sengerema (SEUWASA) mmeamua kuwanywesha maji ya kisima wananchi wenu ili wapate kipindupindu vizuri?

    Tumekuwa tukiwalalamikia mara kwa mara hawa mamlaka ya maji sengerema kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wananchi wao Mbunge pamoja na wananchi wamepiga kelele weee mpaka wamechoka lakin hawaelewi sasa kama mh wazir upo humu jukwaan jaribu kuimulika uone uozo wa wafanyakazi wa idara yako...
  4. R

    Marais wa nchi za SADC wakutana kwa dharura kujadili Kipindupindu.

    Viongozi wakuu wa SADC wamekutana kwa dharura kujadili Kipindupindu. Ninapenda kufahamu kipindupindu ni agenda ya head of states au ilitakiwa kuwa chini ya wataalam wa Afya? Kwamba na umaskini wetu ambao ndio chanzo cha kushindwa kukabiliana na maradhi kama haya tunawasha ndege marais wa SADC...
  5. Suley2019

    Albert Chalamila: Usafi wa Wanajeshi hautoathiri maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo. Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
  6. comte

    Kwa maelezo ya Baba Mwita na kuwepo kwa kipindupindu jijini DSM RC yuko sahihi kutumia jeshi JWTZ

    RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka ombi, ni lazima eneo husika liwe na FUJO (riot) au shughuli hatarishi ambapo jeshi hupelekwa KULINDA...
  7. JanguKamaJangu

    Abiria wa Treni ya TAZARA washushwa mpakani ili Treni Ipulizwe Dawa ya kuua vimelea vya Kipindupindu

    Abiria wa Treni ya TAZARA iliyotoka Zambia wameshushwa mpakani Tunduma ili Treni ipulizwe dawa ya kuua vimelea vya Ugonjwa wa Kipindupindu. Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Dr. Enock Mwambaraswa amesema hatua hiyo imekuja kutokana na taarifa za kuwepo kwa Ugonjwa wa Kipindupindu...
  8. BARD AI

    UNICEF yasema Tanzania na nchi nyingine zenye Kipindupindu zisipodhibiti Ugonjwa shule zitafungwa

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezitahadharisha Nchi za Afrika zinazokabiliwa na Kipindupindu na kueleza kuwa endapo hazitafanikiwa kudhibiti Ugonjwa huo unaweza kusababisha Shule kufungwa. Dkt. Paul Ngwakum ambaye ni Mshauri wa Afya wa Kikanda wa Shirika hilo katika...
  9. M

    Tunatangaza Kipindupindu kama vile ni kitu cha kujivunia

    Waziri wa Afya anatangaza uwepo wa Janga la KIPINDUPINDU kama kitu cha kujivunia kama taifa. Leo nimeenda restaurant Mnazi Mmoja nimeghairisha hata Kula kutokana na mazingira machafu kuanzia jikoni, wahudumu na vyooni. Hapo Kuna Afisa Afya kila Kata anapiga daily kuokota maokoto ya kumalizia...
  10. BARD AI

    Zambia: Serikali yaagiza Ibada zisizidi Masaa Mawili ili kudhibiti Kipindupindu

    Nyumba za Ibada zimetakiwa kufanyika kwa muda usiozidi Saa 2, agizo linalolenga kupunguza kuenea kwa Ugonjwa 2a Kipindupindu nchini humo Pia, biashara za Vyakula ambavyo vimeshapikwa tayari kwa kulipwa imepigwa marufuku pamoja na Waumini kutakiwa kutosalimiana kwa kushikana Mikono ili kuepusha...
  11. Roving Journalist

    Mlipuko wa Kipindupindu waibukia Bukoba, watu wanne walazwa

    BUKOBA, Kagera: Watu wanne wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya Bukoba Nshambya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera baada ya kuugua ugonjwa wa kipindupindu. Mkuu wa Wilaya Bukoba, Erasto Sima amesema hadi kufikia January 8, 2024 tayari wamepokea wagonjwa wanne ambao wameonesha viashiria vya...
  12. Suley2019

    Watu 18 wakutwa na kipindupindu Shinyanga

    MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amesema watu 18 kati ya 41 ambao walikabiliwa na tatizo la kuhara na kutapika, wamebainika kuwa na ugonjwa wa kipindupindu mkoani humo. Desemba 28 mwaka Jana, Mkoa wa Shinyanga katika Kata ya Kagongwa wilayani Kahama, kulitokea vifo vya watu watano...
  13. ward41

    Kipindupindu miji ya Lusaka na Zimbabwe

    Miji ya Lusaka na Zimbabwe imekumbwa na tatizo la kipindupindu. Mji wa Lusaka watu wanakufa na kipindupindu kama walivyokuwa wanakufa kipindi cha Corona. Sijui ni mlipuko au ni Uchafu. Wajuzi wa Mambo tuelimisheni
  14. BARD AI

    Kipindupindu chaua Watano Kahama 452 Wawekwa Karantini

    UGONJWA wa Kipindupindu umetajwa kuibuka katika Kata ya Kagongwa, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga huku ikielezwa kuwa watu watano wametajwa kufariki dunia na wengine watano kuthibitika kuwa na maradhi hayo. Wakati hali ikiwa hivyo, wakazi 452 wa eneo hilo wamewekwa chini ya uangalizi wa...
  15. Roving Journalist

    Madai ya Mlipuko wa Kipindupindu Simiyu, RC asema ‘Ni Ugonjwa wa Matumbo, tumewapiga faini Wananchi wasio na vyoo’

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amezungumzia madai ya uwepo wa mlipuko wa maambukizi ya Kipindupindu katika Wilaya ya Bariadi Mkoani hapo akisema kuwa kilichotokea ni magonjwa ya tumbo na tayari Serikali inachukua hatua kisha akatoa ushauri kwa Wananchi. Amesema hayo siku chache...
  16. K

    DOKEZO Bariadi yakumbwa na mlipuko wa kipindupindu

    Ingawa viongozi wa Mkoa na Wilaya hawataki kutoa taarifa kwa jamii juu ya uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu. Ni kuwa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu imekubwa na visa wa mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu. Kata ambayo inatajwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo ni Kata ya...
  17. Bull Bucka

    Kagera: Watu wanne wamefariki na wengine watano walazwa kwa ugonjwa wa kipindupindu

    Watu wanne wamepoteza maisha yao na wengine watano wamelazwa kwa matibabu baada ya kutokea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Kijiji cha Buchurago, Wilaya ya Misenyi, mkoani Kagera. Taarifa hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa, wakati wa mkutano wake na waandishi wa...
  18. R

    Huwa unakagua usafi sehemu unayoenda kupata chakula?

    Wakuu weekend inaendaje? Usafi ni muhimu kila sehemu, na linapokuja suala la chakula mkazo zaidi unahitajika, maana ukizembea kidogo tu unaweza kuathiri vibaya walaji wako hata kupelekea kifo uchafu aliokutana nao hapo ni mkubwa na kutengeneza sumu kali. Umeshawahi kukagua sehemu unayokula...
  19. JanguKamaJangu

    Maambukizi ya Kipindupindu yasambaa katika Majimbo 10 Nchini Zimbabwe

    Serikali ya Zimbabwe inaendelea na jitihada za kuzuia kuenea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu licha ya kuwa maambukizi yemesamba katika Majimbo 10 huku kukiwa na ongezeko kubwa zaidi katika majimbo ya Kusini-Mashariki ya Masvingo na Manicaland. Mlipuko wa Kipindupindu umeua zaidi ya watu...
  20. BARD AI

    Hali ya Soko la Vyakula Ilala, Dar es salaam ni mbaya, watu hawajali uwepo Kipindupindu wanauza bidhaa mitaroni

    Licha ya Serikali kutangaza kuibuka kwa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Wilaya ya Ilala, bado hali ya Masoko ya Vyakula ni mbaya kwenye suala la Usafi kutokana na miundombinu mibovu ikiweko kukosekana mifereji ya kupitisha Maji Machafu, Uhaba wa Vizimba unaosababisha Wafanyabiashara kupanga...
Back
Top Bottom