mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya Cha siasa kabla 2025! Kitakacho iondoa ccm madarakani! Nahitaji vijana 10 tu kutoka Kila mkoa

    Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu...
  2. Kiboko ya Jiwe

    Mwafrika ndiye toleo la mwisho kwenye ghala la uumbaji

    Mimi nalala, ngoja nikate hangover ya night shift. Video inajieleza 👇👇
  3. Wadiz

    Napenda wanawake wafupi wenye miili midogo wapewe maua yao

    Shalom, Nitoe taarifa na niombe ushirikiano kwa wale ambae tunapenda hao viumbe wa size hizo taarifa fupi ya uzoefu ni kwamba ni watamu sana na wanajua kuisikilizia vizuri na ukiwa fundi wa mdalasini, mchaichai, pipi kifua na asali basi hutojutia. Tuwape maua wanawake wafupi wenye vishepu na...
  4. W

    KERO Morogoro: Wakazi wa Maeneo ya Manyuki mwisho tunateseka kwa Shida ya Maji, yanatoka mara 1 tu kwa Wiki.

    Wana morogoro maeneo ya manyuki mwisho tuna teseka na Maji ya Serikari Maana kuna mambomba lakin maji yana toka jumanne tu kila Week Licha ya kutoka mara 1 bado yanakuwa hayana nguvu kiasi kwamba yanashindwa kupanda kwenye Matenki na kutulazimisha kubebelea Ndoo na Madumu Sasa hii imekuwa...
  5. ndege JOHN

    Tafakari point moja baada ya moja ya utabiri wa neno la Mungu wa nyakati za mwisho.

    Mtasikia kuhusu vita vinanavyopiganwa na pia matetesi ya kuwapo vita vingine. Lakini msiogope. Mambo haya lazima yatokee na mwisho wenyewe hautafuata palepale. Mataifa yatapigana na mataifa mengine. Falme zitapigana na falme zingine. Utakuwepo wakati wa njaa ambapo watu watakosa chakula. Na...
  6. R

    Nyikani tutaiongoza Dunia kulikusanya Kanisa la siku za mwisho

    Salaam,Shalom. Wakati Dunia na mifumo yake ikijitengeneza kuhakikisha Dunia nzima unaungana kupata sarafu Moja, utawala mmoja na siku moja ya Ibada Dunia nzima ( JUMAPILI). Nyikani, Taifa la AGANO, tumekwisha Anza kuifanya KAZI muhimu ya kuikusanya Dunia nzima na Kanisa la mwisho, kabla ya...
  7. Kiboko ya Jiwe

    Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
  8. C

    Kampuni za simu, uhakiki taarifa za mteja usiishie kwenye jina na muamala wa mwisho pekee, wateja wanalizwa huku

    Wakuu, kuna text niliona inasambazwa huko duniani, jinsi wezi wanavoweza kuhamisha pesa kutoka kutoka Mpesa, TiGO pesa, na walet nyingine. Ukiibiwa simu ukiwa hauitumii ndani ya muda huo (yaani iko locked) utakuwa na muda kidogo kabla kaka jambazi hajafanya lake. Ukiibiwa simu ikiwa unaitumia...
  9. Mjanja M1

    Ngono: Mwisho vijana watakunywa sumu

    Angalia huyu kijana anachosema,
  10. J

    Dkt. Mollel: Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumikia April hii 2024 kwa tarehe itakayotajwa!

    Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itaanza kutumikia mwezi huu wa April 2024 katika tarehe itakayopangwa ===== Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne...
  11. Aramun

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi? Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi. Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa...
  12. Manyanza

    Binadamu anaweza kuishi bila dini ikiwa anafahamu mwanzo na kusudi la mwisho la kuwepo kwake

    Hii ni kwa Kiranga na mshamba_hachekwi , naomba maoni yenu 🤔 Dini lengo lake kuu ni kuwaunganisha watu kuwa katika udugu mmoja kwa ufunuo wa chanzo kimoja cha asili, lakini dini imekuwa tofauti imekuwa uwanja wa ubishani nani yupo sahihi? Lengo la jumla la dini halipo ila lipo lengo la...
  13. kocha Nabi

    Tuliokwama Kimara Mwisho kwenye foleni muda huu tujuane

    Kuna Lori la mafuta limeziba njia tuna saa mbili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
  14. Erythrocyte

    Makonda: Hakuna nilichojifunza, nitawanyoosha. Wasiopaka rangi nyumba zao katikati ya Mji TUTABOMOA

    Hizi ni miongoni mwa kauli zilizotolewa na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha katika hotuba kabambe ya Utambulisho aliyoitoa Mjini humo alipokuwa anakabidhiwa ofisi . Hapa akikuwa akiwapa makavu waliokuwa wanamsengenya kwamba hajajifunza pamoja na kuwekwa benchi muda mrefu. --- Makonda: Hamna...
  15. T

    Je, wajuwa Iran pamoja na vitisho vyote hawezi kuigusa Israel na kama akiwagusa huwo ndiyo mwisho wao

    Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi. Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya ubalozi wa Iran ktk Nchi ya Syrian. Naomba niwakumbushe ni sehem ya ubalozi sio ubalozi wote na jinsi...
  16. Nyendo

    Mara yako ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka gani? Kwanini?

    Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona kama uchaguzi ni kiini macho tu hivyo wamekata tamaa ya kushiriki. Wengine wakidai wanajichosha...
  17. Lady Whistledown

    Mara yako ya Mwisho kumaliza dozi ulipougua ni lini?

    Je, unazingatia 'dozi' unapoandikiwa na Daktari? 'Kuzingatia dozi' hujumuisha.... Kutumia dawa kwa Kipimo sahihi Kumeza/Kunywa Dawa kwa wakati Kumaliza dozi kamili Kutotumia dawa nyingine kujitibu Kuzingatia dozi ya dawa kunajumuisha kufuata maelekezo ya daktari au maelekezo yaliyomo...
  18. K

    KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
  19. S

    Kipi kigumu kwenye kufuta mchezo kwa maamuzi mabovu ya Refa? Madhara yake ni yapi kiasi cha mtu mmoja kuwa na maamuzi ya mwisho yasiyoweza kubadilika?

    Hili ndio swali ninalijiuliza huku nikizingatia uwekezaji wa gharama kubwa unaofanywa na vilabu plus wachezaji kuvuja jasho halafu kunakuwa na sheria/kanuni inayompa mtu mmoja anaeitwa mwamuzi kuwa na maamuzi ya mwisho na kibaya zaidi hayabadiliki hata ikithibika alitoa maamuzi yasiyo sahihi...
  20. Ritz

    Israel yafunga kwa muda balozi zake katika nchi 28 kufuatia maandamano ya Siku ya Quds

    Wanaukumbi. ISRAEL ON HIGH ALERT - YAFUNGA MABALOZI 28 Kujibu vitisho vilivyoongezeka kutoka kwa Iran baada ya IDF kuwaua maafisa wakuu nchini Syria, balozi 28 za Israel na balozi ndogo duniani zimeripotiwa kufungwa kwa muda - zikiwemo Azerbaijan, Bahrain, Misri, Jordan, Morocco, na...
Back
Top Bottom