Elimu haina mwisho
Leo nilikuwa nasikiliza radio Fulani wakawa wanaeleza taratibu za kuuza na kununua sumu.
Kumbe haitakiwi kununua sumu nyingi bila kibali cha mamlaka maana yaweza sababisha madhara Kwa jamii
Labda mtu anaweza akawa na nia ovu ya kuua halaiki ya watu na mifugo.
Labda kuweka sumu...
Wadau hamjamboni nyote?
Inadaiwa kuwa jumla ya tani 47,000 za mafuta ya kupikia yasiyokwisha muda wake na yenye sumu toxic yamesambazwa kwa walaji nchini Iran
Inadaiwa mafuta hayo ni sehemu ya Tani 91,000 za mafuta zilizoagizwa na nchi hiyo kutokea nchini Argentina na uturuki mwaka 2021.
Hadi...
Inadaiwa kuwa sumu ya nge ndio sumu ya gharama zaidi Duniani ikiuzwa kwa Dola za Kimarekani milioni 39 kwa galoni moja, sawa na Shilingi za Kitanzania bilioni 90. Galoni moja ni takriban lita 4.5
Sumu ya nge inaweza kumsababishia maumivu makubwa mwanadamu ikiwa ataumwa na mdudu huyu, lakini...
Nimerudi tena kwenu wataalamu wa JamiiCheck,
Eti ni kweli mtu akikung'ata wakati akiwa na hasira basi anatengeneza sumu kama vilivyokuwa kwa wanyama (kama nyoka) na hivyo inaweza hata kukuua, kwa kutegemeana na jinsi hasira yake ilivyo kali?
Hii ni kweli wataalam?
Wakuu,
Kuna video nilikutana nayo huko mtandaoni (nimeangalia sijaiona), huyo dada alikuwa anasimulia jinsi rafiki yake alivyokufa baada ya kung'atwa chura. Chura huyo alikuwa ndani ya kiatu chake, wakati anavaa hakumuona, basi huyo chura akamng'ata kwenye kidole baada ya kushtuka (unajua...
AFYA: Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Dawa ya Kutibu Kifua kwa Watoto aina ya Benylin ambayo vipimo vya uchunguzi vilibaini ilikuwa na viwango visivyokubalika vya Dawa ya 'Diethylene Glycol'
Dawa hizo ambazo zilikuwa zikizalishwa na kampuni ya Johnson & Johnson (JNJ.N) ya Afrika Kusini...
Utafanya nini kama umefiwa, umeupeleka mwili wa mpendwa wako kuhifadhiwa alafu unapigiwa simu kwamba mwili hauonekani? Umepotea? Haujulikani ulipo?
Tafuta popcorn, ambaa na kisa hiki..
Baada ya kutokea ajali, mlinzi wa hospitali akigongwa na gari mita kadhaa kutoka eneo lake la kazi, inspekta...
Hii ndio Taarifa unayopaswa kuifahamu popote ulipo, kwamba huko Chadema moto unawaka, mwenye hoja ndiye atakayechaguliwa , Isipokuwa ni Aman tupu, hakuna kulogana wala kuuana kwa sumu kama wale Jamaa.
Naomba nifichue siri kwamba niliombwa kugombea Mkoa wa Mbeya, lakini nikaona kwamba kwa sasa...
Niligombana na jirani yangu baada ya kujenga mpakani.
Kilichotokea nilimwambia abomoe na hakubomoa. Nikamuacha, nimemuacha hadi sasa. Nasubiri afanye maamuzi yake.
Cha ajabu naambiwa na watu walihudhuria jumuiya naona kuna majadiliano ya mimi nikubali ajenge.
Sipendi jumuiya ni upumbavu.
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha.
Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake...
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana.
1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita...
Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume.
Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:-
1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye.
2...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dainess Paul Mwashambo (30) mkazi wa Kijiji cha Mashese katika halmashauri ya Mbeya vijijini anayetuhumiwa kuwanywesha sumu ya kuulia magugu shambani watoto wake wawili Mario Semen Adamson (4) na mdogo wake wa kike aitwaye Beonis Semen Adamson (2) wote...
Tutamkumbuka mzee wetu Ally Hassan Mwinyi kwa kulielezea tatizo kubwa lililoathiri wengi, AIDS au UKIMWI.
Katika kuliekezea tatizo hilo, Mzee Mwinyi alitumia lugha rahisi iliyoeleweka kwa kila mtu: SUKARI IMEINGIA SUMU🤣🤣🤣🤣
"Sukari imeingia sumu, hasa pale tunapo ppp...papenda" alisema mzee Mwinyi
Utafiti uligundua kwamba kufichuliwa kwa muda mrefu kwa mwanga mkali wa 'bluu' unaotolewa na simu za mkononi na taa za ofisi zenye taa za LED kunaweza kuwa 'sumu'.
Kuwashwa kwa mwili na mwanga wa speshi ya bluu kwa muda wote kunaweza kuvuruga kazi za kawaida za mwili na kusababisha kutokuwa...
Jamaa wanajua wanawindwa na Israel halafu wanakula kula hovyo hovyo, haya wamewahishwa kwa mabikira....
The poisoning appears to have targeted the leadership, as all four of those killed have been described as commanders or leaders.
Several others were reported injured in the event, including...
Habarini wanaJamii Forum. Nimesikia baadhi ya watu wakisema kwamba jongoo anapokufa halafu akakauka, akisagwa na kuwa unga unga, ule unga watu huutumia kama sumu inayoua taratibu, hata miezi mitatu.
Nimepinga hoja hii ila wanaoamini hivyo hawaelewi. Kama inawezekana kuwahusisha wanasayansi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.