kukuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    KWELI Baadhi ya chura tunaokutana nao majumbani wana sumu inayoweza kukuua

    Wakuu, Kuna video nilikutana nayo huko mtandaoni (nimeangalia sijaiona), huyo dada alikuwa anasimulia jinsi rafiki yake alivyokufa baada ya kung'atwa chura. Chura huyo alikuwa ndani ya kiatu chake, wakati anavaa hakumuona, basi huyo chura akamng'ata kwenye kidole baada ya kushtuka (unajua...
  2. Lady Whistledown

    Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
  3. M

    Askofu Gwajima nani alikudanganya kuwa ni Mic na Kiti tu ndiyo vinaweza Kukuondoa Kimafia duniani?

    Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania (JTT) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni. Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai...
Back
Top Bottom