chura

Chura Sharif is a village situated in Jand Tehsil of Attock District in Punjab Province of Pakistan.
Chura Sharif has the largest Naqshbandi shrine in the Indian Sub-continent. It is the centre of the Naqshbandi order in the sub-continent.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    KWELI Baadhi ya chura tunaokutana nao majumbani wana sumu inayoweza kukuua

    Wakuu, Kuna video nilikutana nayo huko mtandaoni (nimeangalia sijaiona), huyo dada alikuwa anasimulia jinsi rafiki yake alivyokufa baada ya kung'atwa chura. Chura huyo alikuwa ndani ya kiatu chake, wakati anavaa hakumuona, basi huyo chura akamng'ata kwenye kidole baada ya kushtuka (unajua...
  2. Jaji Mfawidhi

    UDART Jangwani ni mradi wa Mtu, kelele za chura hazizui Tembo kunywa maji!

    Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira. Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
  3. Mjanja M1

    Video: Masai arushwa kichura chura

    Mwanaume mmoja wa kabila la Kimasai ameonekana akirushwa kichura chura baada ya kuvamia shamba la watu. Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  4. J

    Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

    Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia. "Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia...
  5. S

    Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

    Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo. Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa...
  6. L

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!,kubebana na kukoana makwenzi. Ni lazima ,kila mtu kubeba kitambulisho. Wenyewe wanasema Ni kwa ajili ya usalama wetu Note:Kama unapita mitaa hiyo beba vitambulisho vyako
  7. TheForgotten Genious

    Hata hapa jangwani chura wapo kimya

    Yaani na katiza hapa jangwani maji kibao,mvua inanyesha ila hakuna kelele ya chura,imebidi nishushe kioo na kuchungulia,naona hata lile jengo taa haziwaki :D :D :D :p :p
  8. benzemah

    Siri ya Vyura wa Kihansi kutunzwa Marekani

    Miongoni mwa habari zilizozua gumzo hivi karibuni ni Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutumia Sh611.92 milioni kutunza vyura wa Kihansi huko Marekani, gazeti hili limefan-ya uchambuzi, kukusanya maoni na taarifa muhimu zinazopaswa kufahamika na umma kuhusu viumbe hao wanaopatikana Tanzania...
Back
Top Bottom