uzi maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzalendo wa Kitanzania

    Uzi maalumu wataje maadui wa nyumba ya Israel na adhabu wakizopata

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni Uzi maalumu Kwa watu maalumu na walio makini kutupa uzoefu wa orodha ya matukio mbalimbali yakiyohusisha adhabu walizopata wale waliokusudia kuwadhuru Waisrael Unachotakiwa kufanya ni kuweka tukio na adhabu aliyoipata mhusika/ wahusika na iliwezekanaje mwaka...
  2. OMOYOGWANE

    Namna mvuto unavyo athiri maisha yetu

    Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali? Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye...
  3. 6WaS9

    Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vinavyotumia mfumo wa ANDROID kama | Smart Android TV | All Android Phones | Samsung, Xiaomi, Google Pixel, Huawei

    Sony, Lg, Smart watch za Android… Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  4. 6WaS9

    Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  5. tpaul

    Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

    Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia...
  6. Mhafidhina07

    Uzi maalumu wa kusaidiana matatizo ya kiakili

    Akili ni sehemu ya ubongo ambayo inashughulika na kuhifadhi,kuchakata na kuamua jambo( hali ujuzi au ufahamu wa jambo) hauwezi kuamua jambo mpaka akili ichakate/kufanya ulinganifu na kutoa maamuzi ni jambo la haraka sana kwa kiumbe ndiyo maana sometimes mtu anajutia maamuzi yake ila hauwezi...
  7. mwehu ndama

    Uzi maalumu wa makolo

    Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali yanayowahusu makolo, Simbilizi, mbumbumbu au ukipenda waite mazumbukuku academy !! Kuwa shabiki wa makolo ni...
  8. holoholo

    Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
  9. Tate Mkuu

    Kanuni 10 muhimu za kukusaidia na kukulinda mwanaume unapochepuka na mke wa mtu

    Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume. Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:- 1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye. 2...
  10. lamekiAgustino

    Uzi wa wala daku 2024

    Ndugu waumini, mimi mudahuu ndio nimemalizia kula daku wewe je?
  11. rutajwah

    Uzi maalumu kwa wanaosubiria ajira za afya ngazi ya jamii

    Habari wanajf, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Serikali ya Rais Samia suluhu imedhamiria kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii 28000 mikoa yote Tanzania bara kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Na watakaochaguliwa watapata fursa ya kuhudhuria mafunzo ya miezi sita ambayo yanagharamiwa na...
  12. Lugoda lwa chuma

    Uzi maalumu kwa wafanyakazi wa miradi ya kikandarasi(watingaji) kwenye kampuni za kigeni.

    Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (yappi, chico, cce, crsg au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reri, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.K .Tupeane changamoto,uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
  13. Lugoda lwa chuma

    Uzi maalumu kwa wafanyakazi wa miradi ya kikandarasi (watingaji) kwenye kampuni za kigeni

    Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (YAPPI, CHICO, CCE, CRSG au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reli, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.k. Tupeane changamoto, uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
  14. X

    UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men. Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni...
  15. Mjanja M1

    Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
  16. P

    Uzi maalum kwa taarifa zote kwa wanaomuunga mkono Rais Samia 2025

    Wakuu mko vyede, Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho. Nyuki wa mama naomba wote mtumie uzi uzii kuweka mapambio yenu ya kuunga juhudi za mama, yoyote anayetaka kujua nani...
  17. T

    Uzi maalumu wa kuelezea mafanikio uliyoyapata 2023 na mipango ya 2024

    Karibuni tuelezee mafanikio tuliyoyapata 2023 na mipango ya 2024.Binafsi 2023 nimetoka kapa ila namshukuru Mungu. 2024 mipango yangu ni kuanzisha biashara, kununua kiwanja/viwanja, pamoja na kununua gari hata kama ni old school. Ee Mwenyezi Mungu unisaidie
  18. TUKANA UONE

    Uzi maalumu wa kuelezea uongo kutoka kwa waganga

    Nitasema ukweli daima,Salamu kwangu Mwiko! Sijajua kama wapo waganga wa Kweli kama tunavyoaminishwa ama laa! Miaka fulani wakati najitafuta kama kijana,hali ya maisha ilikuwa ngumu sana,katika kujichanganya na wana mitaani nikakutana na mwana mmoja huko mkoani akaniaminisha ya kwamba kuna...
  19. tpaul

    Uzi Maalumu wa Nyimbo za Injili (Gospel Music Special Thread)

    Bwana Yesu asifiwe! Nimeanzisha huu uzi maalumu na mahususi kwa wapenzi wa nyimbo za injili. Hapa tutakuwa tunabadilishana nyimbo mbalimbali za injili za sasa na zamani. Huenda kuna mtu anautafuta wimbo fulani wa injili bila mafanikio. Basi ataomba wimbo huo hapa jukwaani na atatumiwa na...
  20. N

    Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa 2. Mbeya 3. Morogoro
Back
Top Bottom