Haya ndugu zanguni kwa wale waliosoma elimu za lugha ya kiarabu kama nahaw swarfu balagha tukutane hapa kwaajili ya kukumbushana baadhi ya mambo katika lugha,
Tutumie jukwaa hili kwa manufaa sio tu malumbano.
Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo.
1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations.
2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
Tuonyeshe round about za mahali ulipo. Mimi naipenda sana ile ya Msamvu Moro yenye bibi na bwana na ile ya Singida yenye kuku na alizeti nyingine ndo hii ya mjusi wa Tendeguria Lindi panaitwa fisi.
Habari wanajf. Binafsi Niko visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini. Kiujumla Maisha ndio yalinifanya nikafika huku, kwa sikuwahi kuwaza kuwa ntavuka visiwa vyetu vya Tanzania Yaani Pemba na Unguja.
WATU WA HUKU(WAHAITI)
Watu wa huku ni weusi ti Kama sisi huwezi kutofautisha na wasukuma...
Niaje waungwana
Huyu Mhe. Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia.
Kila alipopelekwa alionesha kupamudu vizuri kiutendaji, na kiusimamiaji lakini sasa huku alipoletwa sasa hivi (wizara ya ujenzi)...
Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (yappi, chico, cce, crsg au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reri, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.K .Tupeane changamoto,uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (YAPPI, CHICO, CCE, CRSG au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reli, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.k.
Tupeane changamoto, uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
Hata kama wamemkabidhi akili Mbowe bado hawa jamaa ni ndugu zetu kwahiyo tunapaswa kuwashauri na kuwatia moyo kwenye wakati huu mgumu wanaopitia. Kiukweli kisiasa chama kikuu cha utoaji taarifa kina wakati mgumu... kimekataliwa kila kona hasa baada ya kutoa hoja zao zenye nia ovu kuhusu muswada...
Wakuu mko vyede,
Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho.
Nyuki wa mama naomba wote mtumie uzi uzii kuweka mapambio yenu ya kuunga juhudi za mama, yoyote anayetaka kujua nani...
Ni vizuri pale unapokosa kuona "uzi" wa mwana/wana JF katoka "ukumbi" huu tuliouzoea, tuulizane mko wapi? Mpo lakini mmetingwa na shughuli au mmetoka kabisa kwenye ukumbi JF? Mfano mzizimkavu, mwifwa, emmyta na wengine wengi mpo?
Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.
Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua.
Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini:
Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu
Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake
Haelewi...
Nikiwa kama kijana mdogo mwenye umri wa miaka 38 na mwanachama hai wa CCM nimeona nitakuwa sio muungwana nisipochukua nafasi hii kuwashukuru CHADEMA hasa viongozi wao wakuu kwa matendo yao ya kizalendo. Ikumbukwe tangu kuanza kwa awamu hii ya 6, makada wengi wa CHADEMA hasa wale waandamizi...
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa...
Ďr. Julie Makani
Dr. Lisokotala
Dr. Gilbert Sanga
Dr. Ally Nah
Dr. Angela Mwakimonga
Dr. Cyprian Ellas Mayagi
Dr. David Isaya
Dr. Kache (Magu)
Dr. Masangu (Masanza Kona)
Tukiachana na Mpwayungu Village ambaye usiku na mchana yeye ni kuwasakama walimu, tupo sisi wengine tunaoheshimu na kuthamini mchango wao kwenye maisha yetu ya kila siku.
Walimu wangu wa chekechekea kuna Teacher Mary, Umoja Primary School.
Mama Stambuli, mama mzazi wa Azza, amenifundisha pia...
Privacy ama kujitenga ni jambo jema sana. Wengi hupenda kujitenga mara baada ya kufunga ndoa, hutafuta sehemu ya uficho kwa ajili ya kwenda kutafakari safari yao nzima ya maisha. Watahitaji sehemu nzuri yenye utulivu na kila kitu kizuri.
Wengi hatuna taarifa au maarifa ya kuyafikia haya...
Wadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi;
1. I'm a thug ya Trick Daddy
2. I can ya Nas
3. Fabulous ya Jaheim
4. Nyimbo fulani ya Michael Jackson nimeisahau jina.
Tafadhali tupieni nyingine..........
Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa!
Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo!
Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.