Habari wakuu,
Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo …kwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika...
Nimefikia hatua ya kubadilisha hospitali labda madaktari wanatofautiana tratment na ujuzi
Kwa anaejua hospitali naomba...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando, amepiga marufuku kwa wakurugenzi kwa kushirikiana na watumishi wa idara ya afya, kuhamisha magari ya wagonjwa kwenye vituo husika na kupeleka sehemu nyingine bila sababu maalum.
Mkuu huyo wa wilaya amesema hayo leo Machi 9, 2024 katika Kijiji cha Msomera...
MBUNGE OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO
Kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Wilaya ya Kiteto kimekabidhiwa magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa ajili ya kuwahudumia wananchi.
Akizungumza mara baada ya kukabidhi magari hayo jana tarehe 16...
Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni.
Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
Gharama za kubwa za baadhi ya dawa nchini Nigeria kiwango ambacho kimepanda takribani mara kumi katika miezi michache iliyopita, kimewalazimisha baadhi ya wagonjwa kupunguza dozi au kugeukia tiba asilia.
Maafisa wa sekta ya dawa wamesema kushuka kwa thamani ya Naira baada ya kuondolewa katika...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa Tanzania inakwenda kuwa kitovu cha Tiba Utalii kwa kutoa huduma za Afya kwa wagonjwa maalumu wa ndani na nje ya nje.
Waziri Ummy amesema hayo leo Novemba 28, 2023 baada ya kufungua mradi wa kliniki mpya ya wagonjwa maalum na wa kimataifa iliyopo...
Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka.
Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
Katika kuwafanya Wananchi wengi kuwa na ufahamu kuhusu Ugonjwa wa Saratani na kuwapa elimu jinsi ya kukabiliana na changamoto hiyo ya kiafya, Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaendelea na mchakato wa kutembelea mikoa tofauti kutoa elimu na mafunzo kuhusu ugonjwa huo.
Meneja wa Kitengo cha...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
Dkt. Dugange amesema...
Jambo lingine ni kuwa baadhi ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuchangishwa fedha za mafuta katika magari ya kubeba wagonjwa kutoka hospitali hiyo kwenda kupata matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.
Wananchi wamesema...
Mwenyekiti wa Mtandao wa Magonjwa Yasiyoambukiza, Prof. Andrew Swai, ameyataja baadhi yanayosumbua Watu wengi kuwa ni pamoja na #Kisukari, #Saratani, Magonjwa ya #Akili, #Figo, #Macho na Shirikizo la Damu.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Magonjwa Yasiyoambukiza, Prof. Paschal Rugajo, sababu kuu za...
WODI YA WAGONJWA MAHUTUTI (ICU) ILIYOJENGWA WILAYA YA IGUNGA - JIMBO LA IGUNGA
Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) iliyojengwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Hospitali ya Wilaya ya Igunga. Ujenzi umekamilika...
Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daud Msasi ametaja sababu kuwa ni matumizi yasiyosahihi ya dawa ikiwemo kutomaliza dozi na kushirikiana dawa kwa wagonjwa bila maelekezo ya wataalamu.
Amesema matumizi holela ya dawa nchini yameongeza idadi ya vifo, ugumba na magonjwa ya figo huku homa za matumbo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.