yasiyoambukiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Waziri Ummy ataadharisha unywaji wa pombe uliokithiri unavyochangia ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa unywaji wa pombe nchini unazidi kukithiri licha wastani wa wanaokunywa kupungua kutoka 26% mpaka 20%, hali ambayo amedai kuwa imekuwa ikichangia angezoko la magonjwa yasiyoambukiza. Akizungumza leo April 23, 2024 alipokuwa akifungua mkutano wa kujadili...
  2. Roving Journalist

    JKCI yapewa tuzo ya umahiri wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepokea tuzo ya umahiri kutokana na jitihada zake na kuelimisha jamii jinsi ya kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza pamoja na kutoa huduma ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa kuwafuata wananchi mahali walipo. Tuzo hiyo imetolewa Novemba 1...
  3. JanguKamaJangu

    Magonjwa yasiyoambukiza huchangia 33% ya vifo nchini

    MAGONJWA uasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani asilimia 33 ya vifo vyote nchini huku takwimu za Shirika la Afya duniani (WHO) kwa mwaka 2020 zinaonesha kuwa magonjwa hayo yalichangia zaidi ya vifo milioni 41 sawa na asilimia 71 ya vifo vyote Duniani ukilinganisha na vifo milioni 57 kwa...
  4. BARD AI

    34% ya Wagonjwa Hospitalini wanasumbuliwa na Magonjwa Yasiyoambukiza

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Magonjwa Yasiyoambukiza, Prof. Andrew Swai, ameyataja baadhi yanayosumbua Watu wengi kuwa ni pamoja na #Kisukari, #Saratani, Magonjwa ya #Akili, #Figo, #Macho na Shirikizo la Damu. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Magonjwa Yasiyoambukiza, Prof. Paschal Rugajo, sababu kuu za...
  5. BARD AI

    Kila vifo 33 kati 100 vinavyotokea nchini vinatokana na Magonjwa yasiyoambukiza

    Imeelezwa kuwa kila vifo 33 kati ya 100 vinavyotokea nchini vinasababishwa na magonjwa hayo na robo 3 ya wananchi hawajitambui kuwa wana tatizo hilo. Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa Yasiyoambukiza Dkt. James Kiologwe amesema Mjamzito mwenye Magonjwa hayo yupo hatarini kujifungua watoto wenye...
  6. BARD AI

    33% ya vifo nchini vinatokana na magonjwa yasiyoambukiza

    Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza Tanzania (TANCDA), Profesa Andrew Swai amesema magonjwa yasiyoambukiza yamekuwa yakiongezeka kwa kasi kusababisha vifo vingi nchini ikilinganishwa na miaka ya 1980. Kutokana na ongezeko hilo, Serikali imetangaza mpango wa kuanza...
  7. Kingsmann

    SoC02 UKIMWI siyo ugonjwa tishio tena, magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa, tuchukue tahadhari

    Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi iamke kutoka usingizini maana ubaya wa haya magonjwa ni kwamba hayana dalili za mapema kama ilivyo...
  8. BARD AI

    Waziri Ummy: Magonjwa yasiyoambukiza yanauelemea Mfuko wa Bima ya Afya

    Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5, ongezeko ambalo haliendani na idadi ya wanachama wa NHIF. Ameongeza kuwa huduma za matibabu ya figo...
Back
Top Bottom