Akitokea malaika mmoja ambae pia ni mbwa mwitu mwenye vazi la kondoo akianzisha pambio basi hata mqshetani mwenye huimba na kucheza
Nachomaanisha ni hiki akitokea mwana JF kusema nina gari basi wote watakao comment ni kama vile wanamagari
Akitokea mtu akasema ukimwi upo wote watakao comment ni...
Bwana Yesu asifiwe! Nimeanzisha huu uzi maalumu na mahususi kwa wapenzi wa nyimbo za injili. Hapa tutakuwa tunabadilishana nyimbo mbalimbali za injili za sasa na zamani. Huenda kuna mtu anautafuta wimbo fulani wa injili bila mafanikio. Basi ataomba wimbo huo hapa jukwaani na atatumiwa na...
Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” wenye maudhui ya uchochezi na kisha kuurusha katika Mitandao ya Kijamii pamoja na YouTube.
Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema Mtuhumiwa...
Vigezo vilivyotumika:
1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.
Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama...
Tena kuna wakati unasikia kabisa mtu anakandamizwa(anangonolewa) vilivyo na sauti ya kuulilia mkurudungu wa aliye kifuani kwake ukiisikia dirishani, ila hapo hapo tena unasikia playlists za gospel songs tupu zinaimba.
Kwa mnaojua mna imani hii ni sawa?
Baada ya kuupokea uwokovu wa Bwana moyoni mwake, nguli huyu inasemekana ameamua kuutumikia muda wake uliobaki duniani kuliimba jina la Bwana na kusifu utukufu wake.
Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao
Kifo cha Osinachi Nwachukwu kilizua ghadhabu baada ya familia yake kudai kuwa alikuwa...
Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja.
Ripoti za awali zilisema kuwa msanii huyo mwenye umri wa miaka 42 alikuwa akiugua saratani ya koo, lakini familia yake...
Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho.
Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi...
Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake.
Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari.
Iwapo...
Polisi ya Rwanda imetangaza kwamba msanii maarufu wa nyimbo za injili, Kizito Mihigo amekutwa amejinyonga kwenye Kituo cha Polisi.
Kwa mujibu wa tangazo la Polisi, maiti ya msanii huyo imepatikana katika chumba alichokuwa anazuiliwa kwenye Kituo cha Polisi mtaa wa Remera, mjini Kigali.
Polisi...
Ujio wa hii channel mpya ya upendo TV kwakweli nimeufurahia, zinapigwa nyimbo za injili muda wote. Kwa sisi wapenda nyimbo za injili hili ni la kupongezwa
Pia jamaa wanapiga nyimbo zote bila ubaguzi tofauti na wale wenzetu wa j/mosi, hapa naona kabisa wanafanya kile YESU alichoagiza, kutangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.