wanandoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. proton pump

    Soma kisa hiki cha ndoa

    Siku moja mume akondoka asubuhi kwenda kazini na kumuaga mke wake anaenda kazini. Jioni akarudi akiwa na msongo wa mawazo. Mke akamuuliza kulikoni mume wangu. Mume:- Kazini ofisi imeungua na kuua wafanyakazi wote. Mke:- wewe umeponaje sasa, Mume:- Nilikuwa nakunya choo cha jirani. Mke:-...
  2. Liverpool VPN

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
  3. KikulachoChako

    Aina za udanganyifu kwa wapendanao au wanandoa

    1. Kuwa na uhusiano wa kingono na mwingine (sexual cheating). Huu wengi mnaujua. Na ndio kiwango cha juu kabisa katika udanganyifu. Lakini zipo aina nyingine. 2. Kuficha mapato na matumizi (financial cheating). Ukiona mwenza anafichwa kipato na matumizi ujue kaanza udanganyifu. Mara nyingi...
  4. M

    Utafiti unavyoonesha jinsi ambavyo wanandoa wengi hukutana ama kujuana kwa mara ya kwanza

    UTAFITI UNAVYOONESHA JINSI AMBAYO WANANDOA WENGI HUKTANA MARA YA KWANZA 1. hujuana kupitia marafiki zao wa pamoja ( mutual friend) = 32 % 2. Kazini ( kufanya kazi sehemu moja) = 18% 3. Shuleni ama Chuoni kusoma pamoja = 17 % 4. Sehemu za ibada ( kanisani ama Msikitini) = 8 % 5. kwenye...
  5. matunduizi

    Wanawake muolewe. Wanawake waliofanya mambo makubwa katika Biblia walikuwa ni wake za watu

    Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala. Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
  6. JanguKamaJangu

    Arusha: Askari Wanandoa waliofariki kwa ajali siku mbili baada ya Ndoa waombewa kwa kufanyiwa ibada

    Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha TPF-Net katika kuelekea siku ya wanawake Duniani, leo Machi 7, 2024 wamefanya ibada maalumu kwa ajili ya kuwaombea Askari Polisi wanandoa (Konstebo Noah Simfukwe na Agness Martin) waliofariki Dunia kwa ajali ya gari siku mbili baada ya kufunga ndoa...
  7. Shining Light

    Unyanyasaji ndani ya nyumba za wanandoa

    Ugomvi ndani ya nyumba ya wanandoa huchukuliwa kama ni jambo la kawaida, Inasikitisha kusikia kwamba ukatili huu unachukuliwa kama jambo la kawaida katika jamii yetu. Watoto huona huu unyanyasaji na kuhishi pia ni jambo la kawaida mpaka wanapo kuwa na kupata ufahamu zaidi na hapo ndio kujua baba...
  8. R

    Mwanamke na mwanaume waliosimamishwa kwenye mkutano na Makonda siyo wanandoa na wala hakuna anayewafahamu. Walitokea wapi?

    Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick. Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule mwanamke na mwanaume inasemekana walikuwa na usafiri wao kwenye mkutano ila mwanamke akawa anajidai hana...
  9. S

    Tubadilike, wivu umepitwa na wakati kwa wanandoa na walio kwenye mahusiano

    Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa. Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo chake (uume/uke) kwa mtu mwingine ni batili. Wanaoingia kwenye ndoa ni watu wazima. Sasa mtu mzima...
  10. JanguKamaJangu

    Njombe: Wanandoa 61 waomba Talaka ndani ya siku 44

    Imeripotiwa kuwa takribani Wanandoa 61 wamepeleka maombi ya Talaka kwa ajili kuvunja ndoa katika Baraza la Kata ya Kivavi, Halmashauri ya Mjini wa Makambako Mkoani Njombe kwa kipindi cha mwezi mmoja na wiki mbili kuanzia Novemba hadi Desemba 20, 2023. Mwenyekiti wa Baraza la Kata ya Kivavi...
  11. Pdidy

    Wanandoa wapya, miezi sita ya kwanza mpendane sana

    Ndoa n jambi jema sana. Usikubali kuingia kwenye ndoa mmenuniana. Yaani ile miezi ya mwanzo msipoonyrshana upendo kinachofwata n mazoea ya ndoa. Jitahidi hata ukiact hii miezi ndio ya kula raha ya pamojaaaaaaa Yajayoooo yanafurahisha, sikutishii Wachaga wanasema bado mtasemaaaa. Sikukuu...
  12. M

    Wanandoa magomvi ndani ya nyumba yanaondoa baraka kwenye familia

    Hii Kwa wanandoa walioana wakala kiapo na kuvalishana Pete madhabahuni. Biblia inasema apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali Kwa Bwana, Mwanaume unapooa mke sahihi Mungu hua anaachilia baraka zake Mke ni kibali/Baraka ndomana Kuna watu wengi wakishaoa mambo Yao hua Yanakwenda vizuri...
  13. Tlaatlaah

    Ratiba ya tendo la ndoa kwa wanandoa na wachumba hudhoofisha upendo wa ndani ya ndoa na kuimarisha upendo nje ya ndoa

    Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba. Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu...
  14. De Capri Don

    Tatizo la Ndoa SI kukosekana Kwa Upendo Bali kukosekana Urafiki baina ya wanandoa.

    Baada ya Salam. Hebu Leo tuangalie nafasi ya Urafiki katika ndoa maana wengi hujikuta tunaoa au kuolewa Kwa sababu tofauti. -Kuna wanaolewa/kuoa sababu ya Mali au umaarufu -Kuolewa-kuoa baada ya mistake ya mimba -Kuolewa-kuoa sababu ya umri kuwa mkubwa au umri wa kuolewa kufika -Kuolewa-kuoa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Wanandoa ni Lazima Wa-share Password za Akaunti Benki na Simu.

    WANANDOA NI LAZIMA WA-SHARE PASSWORD ZA AKAUNTI ZA BENKI NA SIMU Anaandika, Robert Heriel MTIBELI. Dunia ya kitapeli huzalisha ndoa za kitapeli, Wanandoa matapeli, Watoto na kizazi cha kitapeli. Kama mnafichiana namba za Siri za BENKI na akaunti na bado mnadanganyana ni MKE na Mume basi ninyi...
  16. B

    Wanandoa wapigwa risasi na kufa nchini Cameroon

    Watu wasiojulikana na waliojihami kwa silaha katika mji mkubwa zaidi wa watu wanaozungumza Kiingereza nchini Cameroon, wamewaua takriban watu tisa, wakiwemo wanandoa wapya. Simplice Lontsi Tsomene, 37, na Hélène Raisa Tanga, 25, walikuwa wazazi wa watoto watatu na walikuwa na duka la simu...
  17. O

    Watatu mbaroni mauaji ya wanandoa Shinyanga

    Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kuwashikilia watu watatu kwa mahojiano kuhusu tukio la mauaji ya wanandoa wawili yaliyotokea katika Kijiji cha Mwagimagi Wilaya ya Kahawa mkoani Shinyanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema mauaji hayo yalitokea usiku wa...
  18. Hyrax

    Kwanini siku hizi wanandoa wengi hawapendi kuvaa pete za ndoa?

    Kuna jambo linanitatiza sana maana nimefanya research kiasi nikuwa huko mikoani na hata nilipofika huku Dar hili nimeliona sana. Kwa mujibu wa utafiti wangu nilioufanya kwa kiasi toka miaka ya 2000 wanandoa wengi japo sio wote hawaonekani kuwa na pete za ndoa kwenye mikono yao, nilijaribu...
  19. Dasizo

    Ni sahihi kwa wanandoa kupangiana ratiba ya kufanya tendo la ndoa?

    Ni sahihi kwa wanandoa kupangiana ratiba ya kufanya tendo la ndoa?
Back
Top Bottom