kataa ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

    JF habari!!! Mwanzo 1:28 (KJV) Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Hilo ndilo kusudio kuu la Mungu. Yeyote yule anapinga ujue wazi yupo upande...
  2. Kaka yake shetani

    Kataa ndoa inavozidi kuleta taharuki

    Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania. jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
  3. J

    Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa 2: Feminists wanachangia kwa kiasi kikubwa watu kukataa ndoa. Kwa bahati mbaya sana asili haitakaa ibadilike!

    JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala ambao umekuwa mkali sana hasa kwa vijana wa zama hizi. Kusoma sehemu ya kwanza ya mahojiano haya...
  4. GENTAMYCINE

    Hivi Mshauri wa Saikolojia na Ndoa za watu nchini Tanzania Dkt. Mauki ndiyo kusema yeye ni Malaika na hakumbani na kero zitupatazo?

    Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao...
  5. N

    Chanzo cha ongezeko la Kataa Ndoa, feminists wanaharibu kizazi kijacho

    Mafeminists wanawaharibu wanawake kisaikolojia, wanawaaminisha wao ni sawa na wanaume, Kitu ambacho hakiwezekani na hawakuumbwa wawe sawa na wanaume, Kwanza... Mwanammke ameumbiwa utii, hana physical power, yaani mfano hata kazi ngumu au vitu vigumu vitamshinda... Na tofauti nyingine nyingi...
  6. J

    Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa: Je, ndoa ni suala la Kisaikolojia? Ni lazima Uoe? Hayo na mengine mengi yamejibiwa hapa, sogea karibu kushiriki mjadala

    JamiiForums imepata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala ambao umekuwa mkali sana hasa kwa vijana wa zama hizi, twende kazi.... SWALI: Ndoa ni nini? Je...
  7. Titicomb

    Wazee wa Kataa ndoa na kitabu cha The Manipulated Manby Esther Vilar (1971) wamenifikirisha Sana

    Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho ' The Manipulated Man by Esther Vilar (1971)' Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi anasema mwanaume anazaliwa na kufundishwa au kufunzwa kuwa mtumwa wa mwanamke maisha yake yote...
  8. Mto Songwe

    Ney wa Mitego kawatolea ngoma ''Kataa ndoa''

    Huyu Ney naye ni team kataa ndoa ? Au ametumia tu kazi ya sanaa kufikisha ujumbe wake ? Sikiliza ngoma lake hili la bachela
  9. mdukuzi

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka...
  10. Sainya Jnr

    Tangu mvua ianze sijasikia "kataa ndoa" wala "fear women" humu ndani.

    Leo sisalimii Moja kwa moja kwenye hoja. Aisee leo nimepata kugundua kitu fulani hapa ulimwenguni. Mara nyingi hasira za wanawake huwa zinakuwa ni ushindi au furaha kwa wanaume. Immediately a woman gets mad, she cheats with another man, it's men who are winning. If women want revange, she...
  11. technically

    Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

    Ukiangali kwa makini kataa ndoa uwa wana hoja sisi tuliooa tunapitia mengi sana. Yule Mwanamke wa ndoto zako ambaye kuja nyumbani kwako hataki yupo kwa Mchizi anapika na kupakua, hata zile pesa unazomhonga anampatia. Yule Mkeo uliyemuoa kwa upendo yupo zake hotel anampa tendo Mwanaume wa hisia...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

    Kwema Wakuu! Vijana wa siku hizi wamechanganyikiwa mno. Hata vitu vidogovidogo kama maana ya maneno au dhana hawajui. Mathalani, Neno "Ndoa". Kuishi na mwanamke au mwanaume kiunyumba kwa lengo la kuunda familia ndio tafsiri sahihi ya Ndoa. Ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke kuishi...
  13. Mto Songwe

    Watu maarufu (Wanasayansi, Wasanii, Wafanyabiashara, Wanamichezo) wazee wa kataa ndoa duniani

    Twende nami taratibu. Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎 1. Oprah Winfrey Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi. Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa. Huyu...
  14. Intelligent businessman

    Kataa ndoa ni hazina ya kesho

    Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno. Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka. swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia. maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana. Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN, 02...
  15. Wadiz

    Naomba Wakataa Kuoa na Kataa Ndoa Tuunde Kamati yetu, Baraza Kuu, Jopo la Baharia wote na Uanachama wa Kudumu

    Ndugu wanachama na masenior , magavana na maseneta wote tuliobarikiwa kujielewa kwamba katika ulimwengu wa kibepari kuoa na ndoa ni adui wa maendeleo ya kiuchumi. Karibu tufanye mjadala wa kuandaa agenda. Mwenyekiti Donedrake karibu kwa muongozo wako. Mimi ntakuwa mwenyekiti wa kamati ya...
  16. Teslarati

    Kataa ndoa. Leo wamepata point 3 ugenini, ilikuwa hivi...

    Uanaume ni mateso, yaani mababu zetu ndo walifurahia uanaume ila siku hizi ni mateso mara mia. Nina jamaa yangu aliyumba kdg kiuchumi baada ya kuachishwa kazi miaka minne imepita, jamaa alikuwa ana hela kinoma, mke aliomuoa kwa ndoa ya mapepe mengi akamwomba amfungulie biashara huku yeye...
  17. IamKulwa

    Kataa Ndoa School of Thought, ni upi mtazamo wenu juu ya Masuala haya?

    Inatambulika dunia kote, toka dunia hii imeanza—haijalishi kwa dhana ya Uumbaji wa Mungu au Evolution ya kisayansi— Baba, Mama na Watoto (Familia), ndio imekua jumuiko la kwanza, kuu na la msingi la wanadamu. Siku hizi kumeshamiri wimbi [si geni kihistoria] la kupinga Uwepo wa Familia ya Baba...
  18. Restless Hustler

    Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

    Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa. Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya...
Back
Top Bottom