Ney wa Mitego kawatolea ngoma ''Kataa ndoa''

"Kataa ndoa, Linda uchumi"- kauli ya kihuni sana kukataa ndoa ndio kuruhusu ushoga na umalaya kuongezeka.

"Ndoa kwanza ,uchumi utajijenga wenyewe" -kwanza duniani ni njiani tunapita tyuu
Kukata ndoa sio kama ugongi mademu no ila ufungi ndoa.

Ndoa inakua kiuchumi uwez pata nguvu ya kujitoa mwanga kupambana pia kama umeona kausha damu utakubali.
 
Kweli Nakataa ndoa kwa sababu binafs na siwez mshawish mtu maana wenda ipo siku nami nitabadili mawazo, Ila kuweka maudhui haya katika Record/muziki ni Upumbavu ProMax unaidhihirishia dunia kias gani wewe ni Mjinga au Mhuni.

Kataa ndoa sio Sifa japo kuna Hoja hapo😁
 
Back
Top Bottom