Wanawake na Wanaume msipumbazwe na watu wa kataa ndoa, wengi ni waongo

Ndoa kwa miaka mingi sana ilinakishiwa kama suala fulani muhimu sana, lkn kumbe umuhimu wake ni ngono tu.

Baada ya kistukiwa kuwa kwenye ndoa hakuna cha maana zaidi ya ngono, kila mtu sasa anatafuta ngono na siyo ndoa. Na huu ndiyo ukweli wenyewe...KATAA NDOA.
 
Mmmh!?
 
Unakimbiliaje kwenye suala ambalo tayari unafahamu lina changamoto ambazo wakati mwingine zinaweza kukudhuru?? Huo kama sio ukichaa ni nini?? Kwa sasa ndoa ni kama biashara ya madawa ya kulevya, unafahamu ni hatari ila ukitusua umetusua na ukitusuliwa ni unatusuliwa kweli kweli, ndio maana imebaki kuwa biashara ya wachache.

NB: Takwimu zinaonyesha kwa wastani takribani ndoa 108 huvunjika kila siku hapa nchini.
 
Msipumbazwe na watu wa kataa ndoa, wengi ni waongo sana,pia msiogope changamoto za maisha ya ndoa,hizo zipo tu.

Kwenu ambao hamjaoa au kuolewa, fanyeni juhudi muoane na mimi nipo kuwasaidia mkamilishe sakramenti muhimu ya ndoa.
Kimsingi Ndoa ni kitu muhimu sana ktk maisha ya binadamu, lakini ukweli mchungu ni kwamba siku hizi ndoa nyingi zaidi zinakumbwa na matatizo mazito sana kiasi cha kupoteza kabisa umuhimu wake. Hasara za ndoa zimekuwa nyingi na mbaya sana kuliko faida zake. Hilo linathibitishwa kwa kuwepo na malalamiko mengi sana kwa Wanandoa huko mtaani, na hata humu mitandaoni pia.
 
Back
Top Bottom