Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,342
- 13,014
Huyu Ney naye ni team kataa ndoa ? Au ametumia tu kazi ya sanaa kufikisha ujumbe wake ?
Sikiliza ngoma lake hili la bachela
Sikiliza ngoma lake hili la bachela
NAKAZIAkataa ndoa
Duuuh! Umeamua quote hapo tu ?NAKAZIA
Mwamba anacheza na fursa tuMda wa kuoa ukifika oa usiwasikilize watu
Huyu ni msanii TU ameamua kucheza na time na anajua wimbo wake utapigwa bar na pub huko wamejaa bachelors na spinsters
Mkeo Sakina unaendeleaje?NAKAZIA
dah, ndiyo nani ?Mkeo Sakina unaendeleaje?
Ney wa Mitego yupo sahihi, asipuuzweDuuuh! Umeamua quote hapo tu ?
Kaongea mamb ya kweli Cha muhimu kuwa na watoto.Ney wa Mitego yupo sahihi, asipuuzwe
Kukata ndoa sio kama ugongi mademu no ila ufungi ndoa."Kataa ndoa, Linda uchumi"- kauli ya kihuni sana kukataa ndoa ndio kuruhusu ushoga na umalaya kuongezeka.
"Ndoa kwanza ,uchumi utajijenga wenyewe" -kwanza duniani ni njiani tunapita tyuu
watakwambia kama duniani ni njiani wataoa wakifika-kwanza duniani ni njiani tunapita tyuu