single mothers

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single woman or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Je, Haki ya mtoto anayezaliwa nje ya ndoa kisheria imekaaje?

    Habari wakuu, Swala la "single mothers" nadhani sio geni kulisikia maskioni mwetu, hapa nazungumzia mwanamke aliyezalishwa na kuterekezwa na mwanaume wake. Hali inayompelekea kulea mtoto peke yake bila mchango wa mwanaume aliyemzalisha. Hoja yangu inakuja kwenye huyo mtoto aliyezaliwa haki...
  2. tpaul

    Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

    Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia...
  3. Mwizukulu mgikuru

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele. Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa...
  4. Wadiz

    Sio kila Single Mother anateseka na maisha wengine wanabarikiwa baada ya kuwa Single Mothers

    Shalom, Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo. Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single mothers, wengine wamefunuluwa baraka na Neema tele baada ya kuachika kwenye ndoa zao. Kuna baadhi ya...
  5. Gorgeousmimi

    Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

    Kheri ya pasaka waungwana! Ningeanza na kusema kwenye kila jambo kuna pande mbili za shillingi. Katika pitapita zangu nyingi nimegundua kuna uzi nyingi katika jukwaa hili la MMU zinazowakandamiza na kuwaponda single mothers! Mnasahau kama hao walowatia mimba single mothers nao ni single...
  6. DR HAYA LAND

    Malalamiko kuhusu single mothers ni kwasababu watu wengi hawajui kupiga mipira iliyokufa.

    Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza. Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe.. Huwezi wasikia wataalamu wa hizi...
  7. sky soldier

    Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
  8. Kinyonyoke

    'Single Mothers' na Changamoto ya Malezi kwa watoto

    Kama mwalimu ambae ninakutana na watoto wengi kutoka katika 'background' tofauti tofauti, naomba niseme watoto wanaolelewa na mzazi mmoja hususani mama (single mother) ni jipu kubwa ambalo linahitaji kutumbuliwa mapema Sana. Watoto wanaolelewa na mama pekee bila uwepo wa mzazi wa kiume...
  9. Lamzettttt

    Nachoona kuhusu single Mothers

    Habari Za Muduu Wote Wana jamii forum Nimeona Kumekuwapo Mijadala Mingi humu Kuhusiana na Suala zima la (SINGLE MOTHERS) Kwa tafsiri ya Mama aliyekimbiwa na baba wa mtoto japo single mothers ina maana pana. Lakini mimi sitotaka kwenda kwenye matokeo ya single mothers nataka nichungulie...
  10. Wadiz

    Single Mothers ndio wanaongoza kwenye biashara ya ngono miji yote iliyochangamka Tanzania

    Pamoja na kwamba biashara ya ngono imekuwepo tangu enzi na enzi, katika nyakati za miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuzaa nje ya ndoa bila kuwa na msingi wowote kimaisha, na wengine baadhi wameachika kwenye ndoa, wengine ni ndoa za vichaka yaani michepuko. Shuhuda yangu...
  11. Wadiz

    Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kwa kusajili watoto kwa majina ya Ukoo wako?

    Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kuwa huyu simjui na simfahamu na sina mtoto. Unashindwa nini kumroga na kumpeleka kaburini haraka sana kibwengo msumbufu asiye na faida na mleta sumu kwenye maisha yako? Ebu imagine single mother umezaa mtoto wa kichakani baba...
  12. Wadiz

    Story ya Maisha ya MwanaFA akihojiwa na Salama Jabir Isomwe na Single Mother wote na waoaji wa ma single mothers.

    MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake. Tafadhari mwenye video full ya mahojiano aiweke hapa watu waone na wapate hisia za maisha yake. Kisa Kiko hivi...
  13. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  14. Candela

    Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

    Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza...
  15. Katkit

    Thamani ya Mwanamke

    Nimerudi tena. Tuwaheshimu, tuwajali, tuwatunze, tuwapende kwa moyo mkunjufu. Wengi wetu tuliolelewa na single mothers huwezi kukuta tunawadharau na kuwakejeli wanawake. Guyz, hawa viumbe wana nafasi ya pekee mno mbinguni. Mungu awabariki wanawake wote.
  16. Protector

    Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

    Habari wanajukwaa, Moja kwa moja kwenye mada. Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua. Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa...
  17. Elli

    Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

    Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini? Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi...
  18. RRONDO

    Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  19. rammbiro

    SoC02 Ongezeko la single mothers na athari zake katika jamii

    ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NA ATHARI ZAKE BY : RASHID ABUNAYA Email : rashidabunaya@gmail.com Assalaam aleykum ndugu wana jamii, Ni matumaini yangu mu buhery wa afya kwa wale mlio na shida za kiafya basi mwenyezi mungu awafanyie wepesi mpate kupona Ndugu wana jamii, bila shaka ninyi nyote...
Back
Top Bottom