Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,825
- 86,977
Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!
Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube