Wanajf Ninaomba mnijuze taratibu za kisheria za kufuata ili kununua na kumiliki chombo cha moto mfano bodaboda.
Ninauliza kwa sababu wauzaji wamekuwa wengi,vinavyouzwa navyo ni mchanganyiko halali na visivyo halali!
Ubora nao ni nadra kuujua kwani "orijino na feki" navyo vinapatikana kundi...
Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo.
Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
Jambo la kwanza kabla ya kuamua kushtaki au kufungua kesi Mahakamani hakikisha una miguu ya kusimamia Mahakamani, kisheria tunaita LOCUS STANDI.
Locus standi ni neno la kisheria lenye asili ya kilatini ikimaanisha maslahi au haki uliyo nayo au iliyovunjwa na mtu au taasisi na hivyo kukupa haki...
Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimewaleta Pamoja Mkoani Morogoro leo Tarehe 10 Mei 29024 Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji...
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji".
Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM.
*Aliwakusanya masingo mama na kuwataka wawataje akina baba waliotelekeza watoto. Ktk mkusanyiko huu akajitokeza muigozaji...
SERIKALI YAAHIDI KUCHUKUA HATUA KALI ZA KISHERIA KWA MABARAZA YANAYOFANYA MAAMUZI YA MIGOGORO YA ARDHI KWA MIENENDO YA RUSHWA
"Lini Serikali itahamisha Mabaraza ya Ardhi kwenda kwenye mfuko wa Mahakama?" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya
"Katika jitihada za kuboresha mfumo...
Mwanasiasa wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi imefuta Sheria zote za uchaguzi wa zamani na hivyo TAMISEMI imefutwa rasmi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Amesema “Sheria ya Uchaguzi bado haijatungwa, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa uchaguzi wa 2024...
Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari.
Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua? Aende Polisi au mahalamani?
Hii ni elimu kwa Umma, Karibu sana kujifunza
Mara nyingi migogoro ya mirathi huanza pale mwenye mali anapofariki, na ni mara chache sana kuona viashiria ama hatari ya kuwapo kwa mgogoro wa mirathi ikiwa mwenye mali bado yupo hai. Hii inatuonyesha ni kwa jinsi gani kuna umuhimu mkubwa wa kujua...
Habari wakuu,
Swala la "single mothers" nadhani sio geni kulisikia maskioni mwetu, hapa nazungumzia mwanamke aliyezalishwa na kuterekezwa na mwanaume wake. Hali inayompelekea kulea mtoto peke yake bila mchango wa mwanaume aliyemzalisha.
Hoja yangu inakuja kwenye huyo mtoto aliyezaliwa haki...
Habari wanajukwaa,
Naomba kujua utaratibu wa kufuata kuclaim fidia unapopata ajali kama abiria katika chombo cha usafiri. Ajali hiyo imemgarimu sana ndugu yangu matibabu na pia imempelekea kupata ulemavu wa kudumu. Je ni utaratibu gani afuate ili aweze kulipwa fidia?
Natanguliza shukrani.
Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni mawaziri.
Hili inaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria. Linaweza hata kupelekea kuwekwa tena...
UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA
#NECijiuzulu #INECiingie
Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024.
Endapo masharti ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Mwaka 2024...
Guys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo.
Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza nisipelekewe kabisa.
Naombeni msaada wa kisheria.
Msajili wa Jumuiya za Kiraia kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa amesema kuwa Serikali haisajili 'groups' za WhatsApp isipokuwa wanasajili jumuiya mbalimbali ambazo sio za kidini ambazo zipo kwenye jamii.
Anasema kuwa zoezi la usajili ambalo linaanzia kwenye Mkoa wa Dar es...
Ni kosa kisheria kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo kuwa imetoka kwa nani, na kwa ajili gani imekuja kwako, hakikisha kila hela unayopata unajua vizuri chanzo chake na pia kuweka kumbukumbu sawa umepokea kwa ajili ya nini?, kama ni kazi umefanya au biashara hakikisha kodi stahiki...
Ndivyo nitakavyofanya kama chama changu ccm kikiniteua na nikashinda uchaguzi huko tuendako.
1. Siasa itakua sio ajira Tena Bali kipimo Cha uzalendo kama jeshi letu lilivyo sio ajira na siasa itakua hivyo hivyo!yaani mtu hatoingia siasani kutajirika kama ilivyo Sasa Hilo msahau,ukitaka utajiri...
Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa maswala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii aimaanishi ni wale waliosoma sheria tu ndo wanapaswa kuijua sheria, NO kila raia anatakiwa awe japo na uelewa wa kawaida kuhusu sheria (legal...
Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
Katibu mkuu wa kamisheni ya ngumi TPBRC, George Silasi amesema kuwa kwa sasa kamisheni ya ngumi haiwezi kuwaruhusu Mwakinyo na Twaha kiduku wapigane.
George Silasi amesema utofauti wa uzito ndio sababu ya mabondia hao kutokubaliwa kupigana na TPBRC.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.