Kuna wakati huwa nashangazwa Sana na mawazo ya baadhi ya wazanzibari wanapoona kuwa Tanganyika inafaidika zaidi na Muungano kati yake na Zanzibar, kuliko Zanzibar inavyofaidika na Muungano huo.
Wazanzibari hao ndiyo waliobuni msemo wa "Tanganyika imevaa koti la Muungano" kumaanisha kuwa...
Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo.
Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
Salaam Wakuu,
Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana.
Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii.
Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi yanafanywa na Wateuli wa Rais wa Zanzibar.
Watu wa Bara hatuajiriki, hatumiliki Ardhi.
Wafanyabiashara...
Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa...
Mapinduzi ya Zanzibar yaliendeshwa na bwana John Okello. Hili halina ubishi. Mapinduzi yalianza saa tisa za usiku yakiongozwa na Okello na watu mia kadhaa wakiwa na silaha za jadi.
Walivamia vituo vya polisi na huko ndiko walikopata bunduki. Kufika saa moja asubuhi Okello akatangaza redioni...
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Kuna mshituko mkubwa umetukumba watanganyika, hasa kuhusu hili swala la serikali ya Zanzibar kudai kuwa ina eneo lake la ardhi huko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
Kama ilivyo kawaida ya baadhi yetu, huwa hatukurupuki kulalamika bila kufuatilia kwa makini kina cha...
Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.
Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?
Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?
Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
Taratibu tutaelewana?
Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.
Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka...
Serikali Zanzibar yaiomba Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kudhibiti matumizi salama ya vyanzo vya mionzi nchini
Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema hayo alipoweka jiwe la msingi la ofisi ya maabara ya Tume hiyo kwa Zanzibar, huko Dunga Zuze, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.