hati

Hati - Nakala au cheti chenye maandishi maalumu yanayothibitisha jambo kama makubaliano, malipo au umiliki wa kitu fulani.
  1. E

    SoC04 Kutumia Mifumo ya Blockchain katika Usimamizi wa Ardhi na Hati za Umiliki

    Wazo hili linahusu matumizi ya teknolojia ya blockchain katika usimamizi wa ardhi na hati za umiliki ili kuongeza uwazi, usalama, na ufanisi katika sekta ya ardhi nchini Tanzania. Blockchain ni teknolojia ya kuhifadhi taarifa katika mfumo wa kidijitali ambao ni salama na haubadiliki. Kila...
  2. Tuo Tuo

    Kwanini awamu hii ya 6 Muungano umekua hati hati kuvunjika?? kwanini hii hali haijawai kuwa moto hivi miaka ya nyuma

    Wakuu nauliza tu,,,, Ishu za muungano imekua moto kuliko ishu yoyote ile kuna nn?? Nini kinachochea hii movement!!
  3. A

    Hati ya Muungano inatambua serikali 3, kwanini CCM mlitudanganya miaka yote hii?

    Kutoka Kwa Zitto Kabwe, Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano. Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya? Ili muungano ueleweke...
  4. N

    Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

    Jamani Asanteni, Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika. Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa. Yule Mama anasema Maboss wa NMB walikuwa hawana taarifa , jambo limefika kwao limeisha fasta na amepewa hati yake kirahisi...
  5. N

    NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

    Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana. Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote, AJABU NMB SENGEREMA hawataki kumpa hati yake. Mbona kama nanusa mchezo mchafu? Inakuwaje benki kubwa...
  6. B

    Mazungumzo ya kusimamisha vita Gaza, hati hati kukwama; Israel, HAMAS yupi ana hoja?

    1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!" 2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk. 3. Kuna azimio UNSC kutaka vita hivi kusimamishwa kabisa sasa na mateka wote kuachiliwa. 4. Raia, wahanga wa vita...
  7. ChoiceVariable

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  8. R

    Waziri wa Ardhi hana imani na mahakama; wizara yake inawezaje kutoa hati, ikatuhumu, ikaweka wafu ndani, then ikahukumu?

    Waziri wa Ardhi anapojiona yeye ni zaidi ya mahakama siyo utumishi mzuri. Jukumu la wizara yake nikutoa haki ya umiliki wa ardhi. Yeye siyo mahakama kwamba anaweza akahukumu kuita watu majina ya ajabu ajabu. Tunafahamu kwamba yeye ana chuki binafsi na baadhi ya watu. Ukitaka kufahamu ana chuki...
  9. B

    Mazungumzo Gaza, hati hati kukikwaa kisiki

    1. Tarehe 9/4/2024 kulitolewa siku 2 za tafakuri: 2. Kuelekea Tafakuri walisikika wawili hao: 3. Hata hivyo: kutokea Israel, somo lilisha eleweka: Natenyahu akubaliana na kilichopo mezani 4. Kutokea HAMAS, Ngoma Iko pale pale: 5. Kwamba, 6. Kumbe kulikoni kuhitaji shikizo kwa awaye...
  10. Sniper

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo. Ni inbox au Mawasiliano ya moja kwa moja Whatsapp/Msg 0775880218. Hakuna dalali...
  11. Sexer

    UTT vs Hati fungani za serikali, ipi Bora zaidi kuwekeza?

    Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali. Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya...
  12. S

    Bilioni 6 zilizokusanywa na halmashauri hazikufika benki? Halafu rais hajatumbua hata mmoja!

    Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu?? Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.
  13. R

    Usifanyie lamination hati yako ya umiliki wa ardhi. Tuhifadhi vipi hati zetu za umiliki wa ardhi zisichakae?

    Wizara ya Ardhi inakushauri usijaribu kufanyia lamination hati yako ya umiliki wa ardhi kwa sababu inaweza kukwamisha wakati wakuuza ardhi husika, kukopa au kufanya transfer yoyote. Ndugu wananchi tunaomiliki ardhi tuchukue ushauri huu na kuufanyia kazi una manufaa makubwa kwetu wamiliki na...
  14. Shakil Bhanji

    Naomba kujuzwa taratibu na gharama za kutangaza kwenye gazeti kwa kupotea hati za ardhi

    Habari. Naomba kujua garama na utaratibu wa kutangaza kwenye gazeti kupotea hati ya ardhi. 1. Muda inayotakiwa kutangaza. 2. Garama na gazeti gani kutangaza. 3. Mawasiliano yao
  15. Financial Intelligence

    Hatimaye benki ya biashara ya NMB Tanzania yasaini hati ya mashirikiano na ZASCO

    === Hatimaye NMB wamesaini makubaliano ya miaka mitatu (3) ya ushirikiano na Kampuni ya Zao la Mwani Zanzibar (ZASCO) ikiwa ni hatua ya kuendeleza sekta ya kilimo cha mwani na kuleta maendeleo yenye tija kwa wakulima katika pwani ya Bahari ya Hindi (Tanzania Bara na Visiwani). Katika maeneo...
  16. B

    mkopo kwa nyumba isiyo na hati

    habari wakuu,naomba msaada kwa mwenye kujua wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati.Kwa yoyote mwenye ufahamu tujuzane wakuu.Sijaajiriwa so plz lieleweke hilo.
  17. BARD AI

    Makonda: Sekta ya Ardhi imejaa Dhulma, Unyang'anyi na Hati Feki

    #UWAJIBIKAJI: Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amesema katika ziara zake alizofanya katika Mikoa 23 nchini, amebaini matatizo na kero kubwa zinazowakabili Wananchi ikiwemo Watu kudhulumiwa Ardhi na tatizo la Hati Batili. Amesema Ipo dhulma kubwa kwenye Sekta ya Ardhi, huko...
  18. greater than

    Hivi hati fungani ndiyo kukopesha Serikali?

    Jamaa yangu aliniuliza maswali kedekede juu ya hili neno hatifungani. Nilianza kwa kumwambia "hatifungani hutolewa na Serikali/kampuni ili iweze kupata fedha za kujikimu, ambapo mtu au taasisi hukopesha Serikali/kwa kumiliki hizo hati fungani.... Akauliza: Kumbe nako ni uwekezaji, unalipwaje...
  19. Kaka yake shetani

    tukisema turudie kuhakiki NIDA,PASSPORT na hati za ardhi tunaweza kubaki mdomo wazi

    nakumbuka niko kwa madiba jamaa yangu alibahatika kupata uraia na kupata kitambulisho cha taifa ila kiligeuka mateso kwake sababu si rahisi hata mwenyeji kila mtu kupata kutokana taratibu zake. ukija huku kwetu yani nahisi hata mchina kukuta ana kitambulisho cha taifa,swala la passport ndio...
  20. Roving Journalist

    Waziri Silaa ataka wasajili wa hati kuacha urasimu na lugha chafu

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaz, Jerry Silaa amewataka Wasajili wa Hati wa Ofisi za Kamishna wa Ardhi Dar es salaam na Pwani kuacha Urasimu kabla hajaanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu. Waziri Silaa ametoa kauli hiyo wakati alipofanya kikao maalumu na wasajili hao katika...
Back
Top Bottom