Makonda apandikiza waigizaji" kwenye madawati yake ya msaada wa kisheria ili kumpa kiki.

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,700
4,217
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji".

Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM.
*Aliwakusanya masingo mama na kuwataka wawataje akina baba waliotelekeza watoto. Ktk mkusanyiko huu akajitokeza muigozaji mdada akadai kuwa yeye ni mtoto wa mhe. Lowasa (RIP). Baadaye dada yule alikiri hadharani kuwa alitumwa kumchafua Lowasa (na Makonda) na akaomba radhi

Hivi sasa hapa Arusha ametengeneza mkusanyiko wa msaada wa kisheria. Lkn ktk mkusanyiko huo kuna watu walioandaliwa kusema, kulia, kushangilia na kushukuru kisha kumtukuza Makonda kwa msaada wake hata kama wao hawajasaidiwa chochote. Lengo likiwa ni kujiinua na kujipatia sifa ubwete.
 
Taarifa zote tunazo na tutazianika mara tu akishamaliza maigizo yake, katika waigizaji wake tumepandikiza watu watatu
 
Kuna watu wameingia kwenye mkumbo wa chuki dhidi ya makonda bila wao kujua

Makonda hata asipofanya chochote bado atasimangwa sana yaani wameamua tu kumchukia
Miaka 30 mbele ndo tutapata kizazi kinachoweza kuresoan, uchawa wa vijana wa CCM na unyumbu wa kufuata mkumbo wa chadema unashape vibaya sana taifa letu
 
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji".

Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM.
*Aliwakusanya masingo mama na kuwataka wawataje akina baba waliotelekeza watoto. Ktk mkusanyiko huu akajitokeza muigozaji mdada akadai kuwa yeye ni mtoto wa mhe. Lowasa (RIP). Baadaye dada yule alikiri hadharani kuwa alitumwa kumchafua Lowasa (na Makonda) na akaomba radhi

Hivi sasa hapa Arusha ametengeneza mkusanyiko wa msaada wa kisheria. Lkn ktk mkusanyiko huo kuna watu walioandaliwa kusema, kulia, kushangilia na kushukuru kisha kumtukuza Makonda kwa msaada wake hata kama wao hawajasaidiwa chochote. Lengo likiwa ni kujiinua na kujipatia sifa ubwete.
Acha ujinga wew, tafuta pesa, makonda anapambana, na wew pamba bro.
 
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji".

Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM.
*Aliwakusanya masingo mama na kuwataka wawataje akina baba waliotelekeza watoto. Ktk mkusanyiko huu akajitokeza muigozaji mdada akadai kuwa yeye ni mtoto wa mhe. Lowasa (RIP). Baadaye dada yule alikiri hadharani kuwa alitumwa kumchafu ni jina Lowasa (na Makonda) na akaomba radhi

Hivi sasa hapa Arusha ametengeneza mkusanyiko wa msaada wa kisheria. Lkn ktk mkusanyiko huo kuna watu walioandaliwa kusema, kulia, kushangilia na kushukuru kisha kumtukuza Makonda kwa msaada wake hata kama wao hawwwajasaidiwa chochote. Lengo likiwa ni kujiinua na kujipatia sifa ubwete.
Ww ni jinga na kundi lako la wauza Ngada, MAKONDA watu wanamwitaji Kuliko ww jambazi
 
Waliokumbwa na tumbo joto ni jamii fulani ya matapeli wa viwanja na haki za watu na ndio wafadhili wa chama fulani.Sasa wakiona madhulumati wenzao wakiwa exposed roho zinauma wanaleta uzushi na riwaya zisizo na mbele wala nyuma.Matapeli hao wanajulikana na wanaowatetea wanajidhihirisha kwa kelele zao.
 
Back
Top Bottom