ushauri wa kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Msaada: Nini kinatakiwa kufanyika ikitokea kikundi kimoja kilishindwa kesi lakini kikaendelea kushirikiana na wizara kuendelea kupinga hukumu hiyo?

    Naomba kujua, hivi ikitokea kuna vikundi viwili vinashtakiana mahakamani na kikundi kimoja kikashindwa na kingingine kilichoshindwa kikakaidi kutumia hiyo hukumu, na kushirikiana na wizara wanaendelea kuvunja hiyo hukumu. Nini kinachoweza kufanyika ili kuondoa huu mkorogo? Hasa vikundi vya dini.
  2. U

    Nifanye nini kupata pesa zangu nilizodhurumiwa na huyu kigogo?..

    Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
  3. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana. Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke? Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
  4. jaap

    Naomba ushauri wa kisheria kuhusu suala la mgawanyo wa mirathi

    Mzee wetu kasha fariki kaacha wake wawili na watoto 8 kila mke ana watoto wanne. Mzee kaacha nyumba moja na kiwanja kimoja na shamba. Nyumba moja anaishi mke mdogo na kiwanja kimoja, mke mkubwa watoto wake wamejenga nyumba, wanaishi na mama yao, na kwenye shamba wao wanafanya shughuli zao za...
Back
Top Bottom