Msaada: Natakiwa kufanya nini kama mwajiriwa wangu hakuwa akipeleka michango yangu ya NSSF

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,701
12,484
Guys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo.

Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza nisipelekewe kabisa.

Naombeni msaada wa kisheria.
 
Anza na mkataba wako.mkataba unasemaje kwenye kipegere cha uchangiaji wa mafao ya mwajiriwa
 
Kwanza nenda NSSF, kisha uwape namba yako ya uanachama alafu uombe contributions statement yako.

Baada ya kuipata then nenda tena kwa muajiri ikiwa itakua na baadhi ya michango haija wasilishwa akakujazie namba za malipo aliofanya kwenye form yako inayo onyesha michango.

Ikiwa itashindikana sasa, chukua salaries sleeps zako zikionyesha makato ama michango iliopaswa kwenda NSSF, kisha ambatanisha na barua ya kuondoka kazini then nenda ukaonane na meneja wa NSSF aliepo karibu na eneo lako.

Majibu utakayo yapata rudi tena hapa tukupe muongozo wa nini ufanye ama nani ukamuone.
All the best.
 
Uzi ufungwe.
 
Asante mkuu jumatatu naanza rasmi huu mchakato,nitakupa mrejesgo
 
Anza na mkataba wako.mkataba unasemaje kwenye kipegere cha uchangiaji wa mafao ya mwajiriwa
Mambo ya nssf naona hayahusiani na mkataba. Labda kama alikuwa kibarua. Hilo ni sharti la kisheria kwa kila muajilri.

Wataalam wanaweza kusaidia zaidi. Waajiri wengi wajanjawajanja sana.
 
Anza na mkataba wako.mkataba unasemaje kwenye kipegere cha uchangiaji wa mafao ya mwajiriwa
Social Security Funds zote ni takwa la lazima kisheria, na hili halifungamani kivyovyote na mkataba ndio maana michango ya NSSF inategemeana na sera ya muajiri kwa namna atakavyo guswa kwamba ukitoa 10% nayeye atatoa 10%. Pia wapo waajiri ambao wamejiwekea sera ya kuchangia hadi 20% of your gross salary.
 
Guys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo.

Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza nisipelekewe kabisa.

Naombeni msaada wa kisheria.
Ni kwenda NSSF halafu wao ndo wanamchukulia hatua
 
Kwanza nenda NSSF, kisha uwape namba yako ya uanachama alafu uombe contributions statement yako.

Baada ya kuipata then nenda tena kwa muajiri ikiwa itakua na baadhi ya michango haija wasilishwa akakujazie namba za malipo aliofanya kwenye form yako inayo onyesha michango.

Ikiwa itashindikana sasa, chukua salaries sleeps zako zikionyesha makato ama michango iliopaswa kwenda NSSF, kisha ambatanisha na barua ya kuondoka kazini then nenda ukaonane na meneja wa NSSF aliepo karibu na eneo lako.

Majibu utakayo yapata rudi tena hapa tukupe muongozo wa nini ufanye ama nani ukamuone.
All the best.
Mwalimu wangu shikamoo na samahani, naomba isomeke 'salary slip'..!
 
Kama alikuwa hapeleki michango ni jukumu la NSSF kumfungulia kesi na kukamata mali zake ili wewe na wengine weweze kulipwa. Ni kosa la NSSF walitakiwa kukagua na kufuatilia michango ila hawatakiri ila wabane wapambane nae wakusaidie kuapata hela zako nshoana kesi tatu za hivi na hela jamaa walizilipa NSSF baada ya kesi.
 
Kama alikuwa hapeleki michango ni jukumu la NSSF kufungulia kesi na kukamata mali zake ili wewe na wengine weweze kulipwa. Ni kosa la NSSF walitakiwa kukagua na kufuatilia michango ila hawatakiri ila wabane wapambane nae wakusaidie kuapata hela zako nshoana kesi tatu za hivi na hela jamaa walizilipa NSSF baada ya kesi.
Hii ni hatua ya mwisho kabisa mkuu....
Kwanza anapaswa aanze na ushauri tulio mpatia pale mwanzo, kama atashindwa ndipo atafungua kesi ya mgogoro ili alipwe mafao yako accordingly...
 
Kwanza nenda NSSF, kisha uwape namba yako ya uanachama alafu uombe contributions statement yako.

Baada ya kuipata then nenda tena kwa muajiri ikiwa itakua na baadhi ya michango haija wasilishwa akakujazie namba za malipo aliofanya kwenye form yako inayo onyesha michango.

Ikiwa itashindikana sasa, chukua salaries sleeps zako zikionyesha makato ama michango iliopaswa kwenda NSSF, kisha ambatanisha na barua ya kuondoka kazini then nenda ukaonane na meneja wa NSSF aliepo karibu na eneo lako.

Majibu utakayo yapata rudi tena hapa tukupe muongozo wa nini ufanye ama nani ukamuone.
All the best.
Ikiwa sina salary sleep napaswa kufuata taratibu gani kusudi niweze kupata
 
Weka swali lako vizuri mkuu, nafikiri sijakuelewa uzuri
Mwanzoni mwa ajira sikuwa naelewa faida za salary sleep na hapa kazini huwa wanatoa salary sleep ya kila mwezi, siku tatu baada ya mshahara kutoka huezi pewa salary ikiwa hukuchukua ndani ya hizo siku tatu baada ya mshahara kutoka. Je ni taratibu gani naeza kufuata/kufanya kusudi niweze kupata salary sleep ya muda wote niliokuwa kazini?
 
Back
Top Bottom