Msaada: Natakiwa kufanya nini kama mwajiriwa wangu hakuwa akipeleka michango yangu ya NSSF

Mwanzoni mwa ajira sikuwa naelewa faida za salary sleep na hapa kazini huwa wanatoa salary sleep ya kila mwezi, siku tatu baada ya mshahara kutoka huezi pewa salary ikiwa hukuchukua ndani ya hizo siku tatu baada ya mshahara kutoka. Je ni taratibu gani naeza kufuata/kufanya kusudi niweze kupata salary sleep ya muda wote niliokuwa kazini?
Mara nyingi salary slip zinazo tumika kwenye madai ya mafao hua ni zamiezi 3 nyuma kuanzia pale ulipo toka kazini.
Kama itahitajika uhakiki zaidi nafikiri unaweza ukatumia hata bank statements na jeduali la michango yako litakalo toka kwa muajiri na ikiwa na muhuri wa muajiri.
 
Mwanzoni mwa ajira sikuwa naelewa faida za salary sleep na hapa kazini huwa wanatoa salary sleep ya kila mwezi, siku tatu baada ya mshahara kutoka huezi pewa salary ikiwa hukuchukua ndani ya hizo siku tatu baada ya mshahara kutoka. Je ni taratibu gani naeza kufuata/kufanya kusudi niweze kupata salary sleep ya muda wote niliokuwa kazini?
Salary slip
 
Hadi pspf?
Maana ya mwanzo ilikua kwa hawa jamaa
Weka hii vizuri tukusaidie mkuu, yaani ulianza na ajira na michango ikaingia PSPF, ama ulihama na mfuko kutoka PSPF to NSSF, ama ajira ilikwisha na kabla hauja fungua madai ukapata ajira sehem nyingune na ukawaje yani...🤷‍♂️
 
Back
Top Bottom