Sio kila Single Mother anateseka na maisha wengine wanabarikiwa baada ya kuwa Single Mothers

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,506
11,287
Shalom,
Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo.

Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single mothers, wengine wamefunuluwa baraka na Neema tele baada ya kuachika kwenye ndoa zao.

Kuna baadhi ya wanawake wameleta Neema na baraka kwenye familia na jamii zao baada ya kuachana na waume zao, wengine pasipo kuolewa wamepata Neema na riziki za maisha baada ya kupata mtoto na watoto.

Sina mengi ya kusema ila ibaki hivyo, mashuhuda ni watu na huu Uzi utadumu milele na milele na watu wataendelea kutoa shuhuda zao.

Niwatakie jumapili njema

Ni hayo tu

Wadiz
 
Umelipwa

20240328_235858.jpg


PambanaZaidi/CottonandMore
 
Shida ni kwa wale wanoutafuta u singo maza kwa nguvu,,,,wanaobarikiwa asilimia kubwa ni wale ambao hawakutendewa haki na ikabidi kua singo maza sio kwa kupenda ila wale wa kujifanya wajuaji wengi life linawatandika
 
Single mother, inamaanisha kuna kitu hakikuenda sawa aidha mumewe kufariki au mgogoro uliosababisha ndoa yake kuvunjika.

Kuhusu maisha kuwa mazuri ni jambo jema, lakini tumuombe Mungu awasimamie kina mama walee watoto katika ndoa zao
 
Single mother, inamaanisha kuna kitu hakikuenda sawa aidha mumewe kufariki au mgogoro uliosababisha ndoa yake kuvunjika.

Kuhusu maisha kuwa mazuri ni jambo jema, lakini tumuombe Mungu awasimamie kina mama walee watoto katika ndoa zao
Mume anapo fariki, mke anabaki akiitwa mjane na sio singo mama
 
Riziki ni kama akili hukaa kwa yeyote pasi na kujali kabila dini jinsi n.k hii Haina kabisa uhusiano na ye kuwa single or married
 
Back
Top Bottom