story

  1. Mwl.RCT

    SoC04 Tanzania's Green Revolution: A Story of Hope and Resilience

    The Crisis and the Promise The sun beats down on Mwanahamisi's weathered face as she surveys her farm, a stark reminder of the agricultural crisis gripping Tanzania. Once vibrant fields are now cracked and parched, a consequence of decades of unsustainable farming practices and a changing...
  2. Z

    SoC04 Njia ya kupunguza tatizo la ajira kwa vijana walio soma na Wasio soma na kuongeza pato la taifa nchini Tanzania

    Ajira ni tatizo kubwa linalozikumba nchi nyingi duniani, tatizo hilo linajulikana kama (Global Problem) likiwa na maana ya tatizo la kidunia. Kutokana na ripoti iliyotolewa na Decent Job for Youth 2024, inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 13.3% ya vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35...
  3. S

    TRUE STORY: Historia ya maisha yangu na jinsi ambavyo nilitaka kujiua

    Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi. Tuvumiliane jamani kwa changamoto zozote za kiuandishi kama zitajitokeza kwani sio fani yangu bali...
  4. Abana

    SoC04 THE TANZANIA WE WANT: Amina Success Story duringEducation Summit 2024

    “It was the morning” Once upon a time in the vibrant and diverse landscape of Tanzania, there existed a young woman named Amina. Amina hailed from Katunguru a remote village found in Kibondo District in Kigoma Region where educational opportunities were scarce, and dreams often succumbed to the...
  5. mkalamo

    Miracle: Acharya Krishnam hails first Hindu Temple of UAE, praise PM Modi for taking India story to the world

    Coming out in more praise of Prime Minister Narendra Modi for spreading the word on India's growing global profile and prestige in the far corners of the country on the campaign trail for the Lok Sabha elections, expelled Congress leader Acharya Pramod Krishnam said the construction of the BAPS...
  6. Msanii

    SoC04 Kodi Zinazowezesha Maendeleo (Taxes for Progress); maoni kwa Waziri wa Fedha

    Mheshimiwa Waziri wa Fedha, Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati mbaya, wawekezaji wa kigeni wanahofia kuja kuwekeza hapa nchini kutokana na kodi nyingi na ngumu...
  7. masai dada

    Umeshawahi kukutana na mtu anachekesha sana bila kutumia nguvu?

    E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha, angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana. Tulikua abiria watatu na dereva, pikipiki ikapita kwa speed sana ndio akaanza kuelezea mkasa wake wa ajali wakiwa wamepakizwa kwenye fekon huko mkoani...
  8. Hamad yusuph

    The Night of Scary: Story chapter two

    Tulipoishia ni pale mzee soni kuona moto ukipamba sana katika nyumba ya justin (Raia)..saidia jman mwanga maji,”lete maji”mungu jamn maindra Justin alishangwaza sana na moto hule umetokea wapi…?,machozi mengi sana yalimtoka justin Justin) haiwezikani lazima nikamtoe mke wangu maindra. Justin...
  9. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi 1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini 2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu) #upambanaji mwingi 3. Black(weusi) Mlifanikiwa vipi kupata wenza(wake,mzazi mwenzio,mpenzi kawaida nk). Kwa maana...
  10. Abdul S Naumanga

    Kwanini Hans Poppe na wenzake walitaka kumpindua Mwl. Nyerere? (SEHEMU YA 1️⃣)

    HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996. Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa kizazi cha sasa. Katika makala hii ya kusisimua tutachambua kwakina kwanzia historia ya wahusika (hasa...
  11. Mjanja M1

    Jirani sijakualika Idd kwanini hauondoki kwang? story haziishi

    Ni kweli sisi ni majirani lakini kwanini tokea asubuhi upo hapa kwangu na wakati sijakualika? Jirani kwanini unakuwa hivi lakini? Yani tokea asubuhi unabadilisha story tu mara Treni ya Umeme, mara Goli la Yanga, mara Radio ya Alikiba na hauna dalili ya kuondoka.
  12. U

    True story: Mzazi ukiogopa kumlipia mtoto ajifunze kuogelea chini ya uangalizi jiandae kwa lolote mtoto akienda mtoni / beach kuogelea bila uangalizi

    maji yana hatari lakini ni vema kuipunguza hatari hii kwa kujifuunza kuogelea, kuna watu wanakufa maji kwenye mafuriko kwa kushindwa kuogelea, meli zinpinduka ufukweni kuna abiria wanakufa maji kwa kushindwa kuogelea, watu wanaozama wanashindwa kuokolewa saabu anaeshuhudia hawezi kuogelea, n.k...
  13. SAYVILLE

    Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo. Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa...
  14. N'yadikwa

    Story ya Kambona ipo kwenye kitabu cha kina Shivji

    Huyu Kambona huyu? alikuwa mjanja mjanja sana. Nani alikuwa anamtuma. Baadhi ya Mikasa yake Odinga anamshauri arudi Tz, anakataa Anaunda tuvikundi huko Msumbiji kuleta mchafukoge Tz Anaalikwa Nigeria anamponda Mwalimu Anamleta ndugu yake Kenya kutoka London wanaanzisha kajarida ka udaku...
  15. Teslarati

    Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

    Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa...
  16. T

    My Story..

    Niite Mimi ndyo jina langu(sio jina langu halisi. Nimezaliwa Miaka 30 iliyopita Kanda ya ziwa.Nina elimu ngazi ya Shahada. Nikiwa nina Miaka 10,siku moja jioni ghafla nikasikia kitu kinatembea machoni kama mtu aliyemwagiwa mchanga.Nikajua ni mchanga umeingia tu,Kumbe!Nikaanza kufikicha na...
  17. Powell Gonzalez

    True story; I killed her (Simulizi ya kweli; Nilimuua)

    The first day we met ilikuwa last week, on Christmas day, tulikutana kama bahati tu bar fulani hapa hapa Dar. We stay at the same table having some drinks and stories. Baada ya kuzoeana kidogo alianza kuniambia vitu ambavyo nilivipuuza na kuhisi alikuwa ameanza kuzidiwa na pombe. Nakumbuka...
  18. Leejay49

    Tupigeni story mbili tatu🤗🤗

    Hivi kwanini watu wanashindwa kutofautisha Kati ya Chuki na dharau??🤔🤔 Kwanza kuchukiana sio vizuri na haipendezi, Ila kwa upande wangu Mimi mtu akisema namchukia nakua simwelewi kwasababu naweza tu nikakufungia mageti, yani just unakua out of my businesses na naweza nisishughulike na kitu...
  19. R

    Tanesco na kuhadaa wananchi mara kina cha maji, mara uchakavu wa mitambo. The story will never end

    Hivi kwanini wa TZ ni mazumbukuku. Kila uwongozi ukija TANESCO wanakuja na same story lakini wa TZ wanasahau walichoambiwa nyuma. Ni upole ama ni ujinga. Mvua inanyesha sasa hivi natumaini bwawa limejaa. Lakini bado mgao. Mitambo inatengenezwa kila uwongozi lakini haiponi. TZ bwana !! Mtu...
Back
Top Bottom