ushawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Balqior

    Wanaume ushawahi tongoza mdada, baada ya muda ukajishangaa na kujiuliza kwanini ulimtongoza

    Habarini, Unakutana na mdada unamuona mzuri, na personality yake inaridhisha kiasi, unaanza kumtongoza (anakubali) mnakua kwenye courtship phase, jinsi mnavokaa na kuongea nae miezi kadhaa inapita, jinsi muda unavoenda, interest yako kwake inashuka (hapo hujala mzigo) mwishowe mtu unaanza...
  2. Eli Cohen

    Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
  3. masai dada

    Umeshawahi kukutana na mtu anachekesha sana bila kutumia nguvu?

    E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha, angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana. Tulikua abiria watatu na dereva, pikipiki ikapita kwa speed sana ndio akaanza kuelezea mkasa wake wa ajali wakiwa wamepakizwa kwenye fekon huko mkoani...
  4. Nyendo

    Ushawahi jaribu kupika vitu vipya ukatoa boko?

    Mie napenda kujaribu vitu vipya jikoni, mfano pishi jipya au hata viungo vipya au mchanganyo mpya wa viungo na pishi. Japo kuna nyakati mara chache siyo mara nyingi huwa nikijaribu mchanganyo mpya wa pishi jipya naharibu ila mara nyingi natoa kitu hadi najisifu. Kuna pishi nililiona mtandaoni...
  5. CONTRARIAN

    Unaishije na rafiki/mpenzi ambaye hawazi kabisa kuhusu maendeleo?

    Nazungumzia mtu ambaye kwa kiasi kikubwa mpo karibu sana.. Yaani kama ni mpenzi yeye anataka udaku, kudinyana, romance... Rafiki naye, stori ni za Mahusiano tuu, n.k Kwa ufupi hakupi challenge yoyote ile.., kuna mda unahitaji kua peke yako ili angalau uwaze nje ya boksi, Ukimshirikisha...
  6. Kenenisa

    Ushawahi kufanya chochote Cha maana kwa pesa ya boom/betting/kuhongwa/kuokota?

    Nakumbuka nilipata mkopo 100%lakini sikifanya chochote Cha msingi zaidi ya kula bata tu Share experience yako
  7. Nyendo

    Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani. Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
  8. Balqior

    WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

    Juzi kati nliingia chobiksi, katika harakati zangu za kusaka mbususu. Daah nlikutana mdada Mmoja huyo, alikuwa anajiuza barabarani halafu bei cheap, nilimla, yule mdada ana personality nzuri, ana tabasamu nzuri, nikashangaaa nkajisemea kweli humu duniani kuna uchawi, yani mdada kama yule...
  9. LA7

    ushawahi kumbwa na dhoruba ukiwa peke yako

    nakumbuka siku moja nimetoka singida naenda manyara kwa baiskel ilikuwa ni masika, nikiwa katikati ya mbuga ilikuja mvua ya ghafla ambayo sikuitarajia kurudi nyuma ni mbali na ninapokwenda ni mbali ikabidi nikomae tu hivo hivo basi bhana, baiskel ikabana matope kwenye madgad ikawa haitembei...
  10. G

    Je, ushawahi kukumbwa na hali ya kumchukia mtu bila sababu?

    Je, ndugu ushawahi kukumbwa na hii hali ya kumchukia mtu bila sababu? Hii hali imekuwa ikinipata kwa nyakati tofauti kulingana na eneo nililopo yaani najikuta namchukia mtu fulani, hajawahi nikosea chochote lakini najikuta tu nafsi yangu haimpendi hata kumuona tu.
  11. Money Penny

    Insecure man - Mwanaume asiejiamini ushawahi ku date nae?

    Ivi ushakutanaga na mwanaume ambae yuko insecure, hajiamini? ikawaje? ulitemana nae vepe? ulitemana nae baada ya muda gan? Hadithi kamili pita kwa youtube channel yangu
  12. D

    Ushawahi kulala njaa kwa kukosa pesa ya kula? Ulifanyaje?

    Hii ilinitokea kati ya mwaka wangu wa 2 na wa 3 wa chuo kikuu. Nilifanya kibarua cha kuhudumu kwenye mgahawa kila nikitoka chuo ili kujikimu na mahitaji yangu ya chuo, Pesa ilikua ngumu sana. Nilijiskia aibu ila ilibidi nifanye kile nilichokifanya ili niweze kuishi. Kuna muda nilikua nakusanya...
  13. Satirical Yet Awesome

    Hivi ushawahi kuchunguza jinsi hizi dini mbili zinavyofanana?

    Hapa nazungumzia Ukatoliki na Uislamu. 1st similarity -Wakatoliki hutumia rozari kwenye sala zao. -Waislamu nao wana kitu kinaitwa misbahah au prayer beads, na wao wanatumia kweny sala zao. 2nd Similarity -Wakatoliki wana quaresma, kipindi cha kufunga na kufanya toba. -Waislamu nao...
  14. Mpinzire

    Ushawahi jiuliza kwanini ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika WW2 ni maarufu zaidi kuliko ushindi wa Urusi kwa Ujerumani?

    ChartGPT anasema hivi Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa: 1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la Marekani kwa kutumia mabomu ya atomiki juu ya Hiroshima na Nagasaki lilikuwa tukio la kipekee katika...
  15. Balqior

    Tafakuri binafsi: Wakati unamhudumia mdada kipesa, ushawahi kutafakari hili

    Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa.. Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma...
  16. Kenenisa

    Ushawahi kutumia mbinu chafu kufaulu masomo?

    Uhali gani mwanaJF, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kuanzia shule ya msingi mpaka a-level nilikuwa mtakatifu (Clean student) nikifaulu kwa juhudi zangu. Hali ilibadilika baada ya kuingia chuo kikuu. Nikaanza kuwa muhuni na kuwa top cheater nikitumia mbinu zufuatazo I) Kuandika mkononi au...
  17. Uboboh

    Ushawahi kula ugoro wewe?

    Hahaha enzi za ujana wangu niluenda mtembelea bibi huko Tanga, Alikua anamiti ya ugoro na tumbaku + ule ugoro wa kununua Nilikuwa na gonga nae pasu pasu alinipenda sana soon nitaenda kumuona tena Ni feel the difference Gily mshamba_hachekwi Mshawahi pata hii kitu Na members wengine toeni...
  18. D

    Ushawahi kushuhudia wizi wa kipumbavu?

    Wahalifu wengi huiba pesa, vito, magari na vitu vya thamani kama hivyo Lakini mhalifu huyu ni tofauti kidogo. Mnamo Oktoba 2016- mtu huyu alikwenda kwenye duka la furniture na kuiba ''window blinds'' kisha akaificha kwenye koti lake kama unavyoona hapo juu! Wafanyikazi walimuona kupitia CCTV...
  19. Nyendo

    Ushawahi kushindwa kula chakula kwa uchafu wa mazingira au mpishi?

    Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa. Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema tobaa hiki chakula siwezi kukila tena. Usafi ni muhimu sana kwa mpishi kwani ukizingua kwenye usafi...
Back
Top Bottom