maisha yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    TRUE STORY: Historia ya maisha yangu na jinsi ambavyo nilitaka kujiua

    Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi. Tuvumiliane jamani kwa changamoto zozote za kiuandishi kama zitajitokeza kwani sio fani yangu bali...
  2. mahatmaxlla

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Wakuu habari za muda na wakati kama huu. Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead. Niende kwenye mada moja kwa moja. mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha...
  3. Fundi kipara

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani. Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male +...
  4. aBuwash

    Msaada wa mawazo yenu nipo katika harakati za kupambania maisha yangu

    Hello wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 21 naish kijijin kwa sas Mimi bhan katika maisha yangu Kuna ndoto kubwa Sana nawza ambayo natamani sana kuitimiza Ila nashindwa kwa sababu kwa sasa nipo kijijin na huku kijijin wazazi Wangu wamenipa duka nirithi la nguo. Hili duka cha kwanz siipendi hii...
  5. N

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK. Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK) Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp...
  6. Mohamed Said

    Kalamu Yangu, Rais Ali Hassan Mwinyi na Kitabu: "Mzee Rukhsa" Safari ya Maisha Yangu"

    KALAMU YANGU, RAIS ALI HASSAN MWINYI NA KITABU: ''MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU'' Makala hii fupi niliandika May 2021 baada ya kutoka kitabu cha maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi. ''Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa...
  7. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Usiku wake baba alipigiwa simu akiambiwa mama hali yake ni mbaya na alienda moja kwa moja hospital. Baaba ya masaa kama mawili nilishtuka kwa kelele za vilio kutoka kwa mama zangu wadogo. Mama alikua amefariki tayari INAENDELEA Kabla ya kuendelea naomba niweke vitu flani sawa: Hakuna mahali...
  8. Magufuli 05

    Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini

    Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania. 1. Umeme Shida 2. Sukari Shida. 3. Wenye pesa wanafanya chochote. 4. Miradi imekwama. 5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa 6. Serikali imekuwa ya anasa. 7. Kila kitu...
  9. Selemani Sele

    Maisha na Muziki (Story ya maisha yangu)

    Ladies and gentleman its your boy selemani sele mzee wa mastory,kinachokuja mbele yenu ni story ya maisha na mziki ni story fupi natumai watu watajifunza. MAISHA NA MZIKI Episode 1. (KUZALIWA) Miaka 30 iliyopita nilizaliwa katika jiji lenye kila aina ya uchafu madanguro, vibaka, majambazi...
  10. Mr Dudumizi

    Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru mw/Mungu kwa kuendelea kunipa nafasi nyingine ya kuishi hapa duniani. Naelewa kila mtu atakufa kwa kifo cha namna yake hapa duniani, lkn katika maisha yangu nimekuwa nikimuomba Mungu siku akinihitaji kurudi kwake, basi kifo changu kiwe cha...
  11. TAI DUME

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    UTANGULIZI Wakuu habari. Naandika hii story yangu ikiwa ni mwaka sasa nipo mtaani nikiendelea na harakati za kusaka ajira mpya toka mkataba wangu wa ajira ulipoisha mnamo Desemba 2022. Nimeamua kushea uzoefu wangu kwa mtindo wa Masimulizi (katika episodes) kwa kuamini pengine inaweza kuwa na...
  12. FORTUNE JR

    Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

    Wakuu habari, poleni na majukumu ya kila siku. Ni hivi wadau kila nikishika simu yangu nakuiona app ya JF napata hasira natamani kupigiza simu yangu chini, Maana bila platform hii huwenda maisha yangu yangekua na amani na matumaini. Mimi sio mdau saana wakuandika nyuzi humu JF lakini...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo niliyojifunza katika maisha yangu nikiwa nina miaka kati ya 20 mpaka 30

    MAMBO NILIYOJIFUNZA KATIKA MAISHA YANGU NIKIWA NINA MIAKA KATI YA 20 MPAKA 30 Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Nilianza kutafuta maarifa na hekima tangu nikiwa mdogo, mtoto wa miaka saba hivi. Katika umri huo wakati wengine wakicheza Kibabababa na kimamamama mimi nilikuwa katika kusoma vitabu...
  14. Jobless_Billionaire

    Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    Wakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya. Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate kujifunza na wengine. Sikuwahi kujua kama mwanamke anaweza kuwa chanzo cha kuharibika kwa maisha ya mtu...
  15. sky soldier

    Nina miaka 33 lakini naonekana nina miaka 25. Huu ndio mtindo wa maisha yangu pengine unaweza kukusaidia usizeeke haraka

    Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34. Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Upwiru wa dakika tano ulivyobadilisha Maisha yangu

    Jambo Sana! Wakati wengine wakibadilisha Maisha Yao Kwa dakika tano Kwa kubet, Mimi nilikuwa napiga doria katika account za mitandao ya kijamii huko Pm na inbobo nikivizia mawindo. Wengine wengi wakijaribu kuyabadilisha Maisha Yao Kwa kulima Kilimo cha machenza, Mimi nilikuwa nachenza na...
  17. Ivan Stepanov

    Sweta la baba yangu lenye historia ya maisha yangu

    Nimejiskia ku share hii sehemu ndogo ya maisha yangu ambayo sikua naijua kiundani mpaka hivi juzi kati. Twende pamoja. Nilifiwa na mama angu mzazi nikiwa darasa la kwanza 1997. Sikua naishi nae maana mama alikua mchepuko tu kwa mzee hivyo walishindwana mapema baada ya mimi kuzaliwa. Siku...
  18. L

    SoC03 Wema wako ulibadili maisha yangu

    Siku moja Heri akiwa katika kutembea alimkuta mwanaume wa makamo akiwa ameketi Kando ya barabara. Mwanaume yule kwa muonekano tu na vile alivyokuwa amekaa pale chini hata wewe ungejua kabisa kuwa mwanaume yule alikuwa ni ombaomba. Alikuwa amechafuka sana, nywele zake na ndevu zake zilikuwa ni...
  19. 2018

    SoC03 Kutokana na Stori ya kweli: Maisha Yangu yalivyobadilika ndani ya dakika moja

    Salaam (Namfahamu Mama nijasiri, anaondoa Utando unapodandia kuta,anatoa nyoka makatili,anapambana na majangiri wanapovamia nyumba,anaweka paa juu ya vichwa,sikuogopa njaa -nilishiba,Niliona wengine nguo za kuvaa zimechanika,wakati kwetu nyuso ziling'aa migongo ilifunikwa,Radi ilipiga wala...
  20. Mtu Alie Nyikani

    Naomba ushauri: Punyeto, Wivu na Uoga vinanitesa. Naona maisha yangu yapo hatarini

    Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima. Niende kwenye shida yangu, mm ni kijana nina Miaka 20, shida yangu nimeathirika na masterbation (Punyeto), yaani naona hichi kitendo kama nimeshindwa kuacha kabisa...
Back
Top Bottom