Wakuu habari,
Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
Nilibaki nimebung'aa jana baada ya umeme kurejea mida ya usiku.
Nilitegemea itakuwa one test au on or off ila cha ajabu usiku manane bado ilikuwa ni off on mara uwashwe mara uzime.
Nikajiuliza inakuaje unafanyia majaribio kazi yako kwenye nyumba milioni za watanzania.
Hakuna chumba cha...
Ukiambiwa Kufuga kuku inalipa, kabla hujakimbilia Kufuga lazima ujiulize, anaeongea hilo ni nani? Je, ni muuza vifaranga, ni muuza vyakula vya kuku ama ni muuza nyama za kuku?
Je, umewahi kusikia matajiri kama Mo, Bakhresaa, Bill Gates, Aliko Dangote, Mukesh Ambani na wale wa hapo mjini kwako...
Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k.
Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama huku Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akipiga kura ya hapana kutounga mkono azimio hilo...
Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
Kama yupo kijana mdogo, umri kuanzia miaka 18 hadi 20 asiyesoma shule, anayetaka kuajiriwa kwa ajili ya biashara ndogondogo kwa mshahara mzuri maeneo ya Tabata anitafute nimpe connection.
Habari wandugu,
Napenda wasilisha mada hii tajwa karibuni tujadili maaa naona maisha sasa ya kukosa pesa yanatukaba koo sisi vijana tunaosubiri ajira za utumishi maana hata inaafikia hatua tunakosa laki 2 ya kukodi hekari za shamba ili kulima
Ndg zangu
Nimesomea political science eneo la PSPA.
Naomba kujua sifa gani kupata ajira tume ya uchaguzi.
Najua kazi zao ni
Majukumu
1. Kusajili vyama vya siasa na kuvifuta vile ambayo vimekiuka masharti ya usajili kw ujibu wa Sheria namba 5 ya mwaka 1992.
2. Kuratibu shughuli za Baraza la...
Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira.
"Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini.
Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya...
Habari,
Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze?
Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo.
Suala la mtoto wa...
UTANGULIZI
Wakuu habari.
Naandika hii story yangu ikiwa ni mwaka sasa nipo mtaani nikiendelea na harakati za kusaka ajira mpya toka mkataba wangu wa ajira ulipoisha mnamo Desemba 2022. Nimeamua kushea uzoefu wangu kwa mtindo wa Masimulizi (katika episodes) kwa kuamini pengine inaweza kuwa na...
Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya...
Awali ya yote nawaomba wapambanaji wenzangu ambao kwa namna moja ama nyingine mmesoma au kusomeshwa na ndugu, jamaa ama mataasisi mbali mbali, wengi wetu tumekuwa na matarajio makubwa sana pindi tulipokuwa vyuoni, tulikuwa tunajiona kwa picha mbali mbali za kufikilika, unajiona ukiwa unazunguka...
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameshauri Serikali kuweka utaratibu maalumu wa kuwazingatia kwanza Watumishi wanaofanya kazi za kujitolea wakati Serikali ikiendelea kufanya maboresho ya Sheria ya Ajira ili kuwasaidia kupata ajira bila kikwazo pindi zinapotangazwa.
Katika swali la msingi...
Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao.
Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa.
Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo.
Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
Aisee kama hujaajiriwa kipindi hichi cha Rais Samia sidhani kama utaweza tena kupata ajira za serikali.
Miaka ijayo kutakuwa na mtu atakuja kwa mgongo na sera za Magufuli naye atapata Urais, na hapo ndipo kilio kwa wasomi kitakuwa kikubwa zaidi ya kile cha awamu ya tano. Ukizingatia idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.