Nani kakudanganya kuwa kuajiriwa ni utumwa?

Wizzdude

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
217
347
Ukiambiwa Kufuga kuku inalipa, kabla hujakimbilia Kufuga lazima ujiulize, anaeongea hilo ni nani? Je, ni muuza vifaranga, ni muuza vyakula vya kuku ama ni muuza nyama za kuku?

Je, umewahi kusikia matajiri kama Mo, Bakhresaa, Bill Gates, Aliko Dangote, Mukesh Ambani na wale wa hapo mjini kwako; wakipinga, kukandia ama kuponda suala la kuajiriwa? Ukichunguza, utabaini ni nadra sana kuwasikia matajiri wakiponda kuajiriwa.

Kama kuajiriwa sio dili, na kama kujiajiri ndio mafanikio, Kwa nini waliofanikiwa hawashobokei kinachoonesha kuleta mafanikio (yaani kujiajiri?). Jibu ni jepesi, kama unataka kua tajiri lazima upende na uwe tayari kuajiriwa, kwa sababu suala la kuajiriwa ndilo linalozalisha matajiri!

Najua nawachanganya watu. Unajua kwa nini? Mtume Paulo anasema, nilipokua mtoto nalinena kama mtoto, sasa nimekua nimeacha utoto.(1KOR 13:11) Kuna utoto wa aina nyingi, ukiwemo utoto wa kiuchumi.

Ukiwa na utoto wa kiuchumi ni rahisi sana kukandia walioajiriwa, na kuwaona kama hawana akili na wazembe. Utoto ukishakutoka, kwanza utawaomba msamaha lakini pili utawaheshimu na kuwatia moyo waendelee kuajiriwa! Hata mie kuna mambo niliandika na kuyasema enzi za utoto wangu, ila utoto ushanitoka siwezi kuyarudia!

Kuna tofauti kati ya kua tajiri na kua na hela. Hakuna tajiri mwenye utoto, hayuuuuuupoooo! Lakini kuna wenye hela wengi Wana utoto mwingi. Baadhi ya wenye hela na wanaotafuta hela Ndio utawasikia wakiponda ishu ya kuajiriwa, lakini hutakaa uwasikie matajiri, never! Uhuru wa kiuchumi hauletwi kwa mtu kua na hela bali unaletwa kwa mtu kua tajiri.

Ndio maana kitambo sana mie nilikataaga katakata kuitwa Motivation Speaker, yaani hilo neno silitaki kabisaaaa. Sio kwamba motivation speakers ni wabaya, hapana; lakini Roho ya motivation speaking ikikuvaa ni rahisi sana kuona kila kitu kinawezekana, jambo ambalo sio kweli! Kuna mambo hayawezekani, ila utaelewa hili ikiwa utakua Motivation Doer

Jaribu kua na biashara ama vitega uchumi vinavyoajiri wafanyakazi wengi katika ajira rasmi, (yaani ajira ambazo unawalipia wafanyakazi wako NSSSF, bima, TRA n.k) then uone kama utakua na ujasiri wa kuponda walioajiriwa. Ukiona mtu anaponda walioajiriwa uwe na uhakika kwamba huyu bado hajawa tajiri, Kwa sababu utajiri ni kuajiri na ukishakua tajiri kuna mambo automatic utaacha kuropoka. Hadi hapa nimeshakupa kipimo cha kuwajua matajiri na wale wasio matajiri. Mtu asie tajiri hana haki kuwaeleza wengine njia za kupata uhuru wa kiuchumi, anaelezeaje mahali asipopajua? Huo ni uhuni mkubwa!

Ukiona umeelewa nilichoeleza hapa, ujue wewe umeshatoboa ama uko karibu na kutoboa. Ukiona hujaelewa hata ukifura kwa hasira ukweli ni kwamba wewe kiuchumi baaado sana, kazana kujitafuta. Huyu ndugu yetu Robert Kiyosaki na Cash flow Quandrants zake asikuchanganye sana na wala usimeze kila kitu kwake. Kuna mambo lazima uchanganye na zako Ili usijikute unaishi kama teja wa matumaini ya kutoboa kiuchumi afu umri uwe unaenda usiambulie hata kagorofa!

Nimemaliza na nipo tayari kujibu swali lako ama hoja yako yeyote kuhusu nilichoelezea.
 
Kutajirika kwetu kunategemea tuwaajiri nyinyi (watumwa). Yaani nyie mtutimizie ndoto zetu. Ndio maana hatutaki kuwashtua, kwa hiyo endeleeni kufikiria hivyo hivyo.

Tulivyotaka kutawala ulimwengu, tuliwaletea dini ili muwe wapole na tuweze kuwatawala vizuri; hivyo hivyo wanaopenda kuajiriwa endeleeni kujipigia makofi huku tukiendelea kuwatumikisha.

Kazi kwenu :D
 
Sio kwa nia mbaya ila kama kweli bado upo kwenye mawazo ya kwamba kuajiriwa sio utumwa basi hakuna haja hata ya kubishana na wewe, bado una safari ndefu. Mtu ambae bado hajaona faida za kitu, ni ngumu sana kumuelewesha akakuelewa. Kila la kheri kwenye safari yako ya ajira.
 
Ukiambiwa Kufuga kuku inalipa, kabla hujakimbilia Kufuga lazima ujiulize, anaeongea hilo ni nani? Je, ni muuza vifaranga, ni muuza vyakula vya kuku ama ni muuza nyama za kuku?

Je, umewahi kusikia matajiri kama Mo, Bakhresaa, Bill Gates, Aliko Dangote, Mukesh Ambani na wale wa hapo mjini kwako; wakipinga, kukandia ama kuponda suala la kuajiriwa? Ukichunguza, utabaini ni nadra sana kuwasikia matajiri wakiponda kuajiriwa.

Kama kuajiriwa sio dili, na kama kujiajiri ndio mafanikio, Kwa nini waliofanikiwa hawashobokei kinachoonesha kuleta mafanikio (yaani kujiajiri?). Jibu ni jepesi, kama unataka kua tajiri lazima upende na uwe tayari kuajiriwa, kwa sababu suala la kuajiriwa ndilo linalozalisha matajiri!

Najua nawachanganya watu. Unajua kwa nini? Mtume Paulo anasema, nilipokua mtoto nalinena kama mtoto, sasa nimekua nimeacha utoto.(1KOR 13:11) Kuna utoto wa aina nyingi, ukiwemo utoto wa kiuchumi.

Ukiwa na utoto wa kiuchumi ni rahisi sana kukandia walioajiriwa, na kuwaona kama hawana akili na wazembe. Utoto ukishakutoka, kwanza utawaomba msamaha lakini pili utawaheshimu na kuwatia moyo waendelee kuajiriwa! Hata mie kuna mambo niliandika na kuyasema enzi za utoto wangu, ila utoto ushanitoka siwezi kuyarudia!

Kuna tofauti kati ya kua tajiri na kua na hela. Hakuna tajiri mwenye utoto, hayuuuuuupoooo! Lakini kuna wenye hela wengi Wana utoto mwingi. Baadhi ya wenye hela na wanaotafuta hela Ndio utawasikia wakiponda ishu ya kuajiriwa, lakini hutakaa uwasikie matajiri, never! Uhuru wa kiuchumi hauletwi kwa mtu kua na hela bali unaletwa kwa mtu kua tajiri.

Ndio maana kitambo sana mie nilikataaga katakata kuitwa Motivation Speaker, yaani hilo neno silitaki kabisaaaa. Sio kwamba motivation speakers ni wabaya, hapana; lakini Roho ya motivation speaking ikikuvaa ni rahisi sana kuona kila kitu kinawezekana, jambo ambalo sio kweli! Kuna mambo hayawezekani, ila utaelewa hili ikiwa utakua Motivation Doer

Jaribu kua na biashara ama vitega uchumi vinavyoajiri wafanyakazi wengi katika ajira rasmi, (yaani ajira ambazo unawalipia wafanyakazi wako NSSSF, bima, TRA n.k) then uone kama utakua na ujasiri wa kuponda walioajiriwa. Ukiona mtu anaponda walioajiriwa uwe na uhakika kwamba huyu bado hajawa tajiri, Kwa sababu utajiri ni kuajiri na ukishakua tajiri kuna mambo automatic utaacha kuropoka. Hadi hapa nimeshakupa kipimo cha kuwajua matajiri na wale wasio matajiri. Mtu asie tajiri hana haki kuwaeleza wengine njia za kupata uhuru wa kiuchumi, anaelezeaje mahali asipopajua? Huo ni uhuni mkubwa!

Ukiona umeelewa nilichoeleza hapa, ujue wewe umeshatoboa ama uko karibu na kutoboa. Ukiona hujaelewa hata ukifura kwa hasira ukweli ni kwamba wewe kiuchumi baaado sana, kazana kujitafuta. Huyu ndugu yetu Robert Kiyosaki na Cash flow Quandrants zake asikuchanganye sana na wala usimeze kila kitu kwake. Kuna mambo lazima uchanganye na zako Ili usijikute unaishi kama teja wa matumaini ya kutoboa kiuchumi afu umri uwe unaenda usiambulie hata kagorofa!

Nimemaliza na nipo tayari kujibu swali lako ama hoja yako yeyote kuhusu nilichoelezea.
Kuajiriwa ni utumwa 100%.
 
Ukizingatia pia kwamba kuna watu wameajiriwa na wanaishi maisha na wana pesa safi kuliko wengine waliojiajiri na kuna waliojiajiri na wana maisha na pesa kuliko waajiriwa.

Pia , kuna walioajiriwa na wana pesa lakini hawana maisha, wako so stressed, hawana social life na wajaenjoy maisha yao na kuna walioajiajiri wana pesa kiasi lakini ni watu wenye furaha na nyuso zao zina nuru.

Hivyo, mafanikio hayana kanuni za kudumu kwamba ukiajiriwa hivi na ukijiajiri vile. Wengi walioajiriwa pia wamejiajiri pembenei na biashara zao zinafanya vizuri.

Popote ulipo, fanya kazi kwa akili (maarifa), kwa kujituma na kwa kumtegemea Mungu.​
 
Ukiambiwa Kufuga kuku inalipa, kabla hujakimbilia Kufuga lazima ujiulize, anaeongea hilo ni nani? Je, ni muuza vifaranga, ni muuza vyakula vya kuku ama ni muuza nyama za kuku?

Je, umewahi kusikia matajiri kama Mo, Bakhresaa, Bill Gates, Aliko Dangote, Mukesh Ambani na wale wa hapo mjini kwako; wakipinga, kukandia ama kuponda suala la kuajiriwa? Ukichunguza, utabaini ni nadra sana kuwasikia matajiri wakiponda kuajiriwa.

Kama kuajiriwa sio dili, na kama kujiajiri ndio mafanikio, Kwa nini waliofanikiwa hawashobokei kinachoonesha kuleta mafanikio (yaani kujiajiri?). Jibu ni jepesi, kama unataka kua tajiri lazima upende na uwe tayari kuajiriwa, kwa sababu suala la kuajiriwa ndilo linalozalisha matajiri!

Najua nawachanganya watu. Unajua kwa nini? Mtume Paulo anasema, nilipokua mtoto nalinena kama mtoto, sasa nimekua nimeacha utoto.(1KOR 13:11) Kuna utoto wa aina nyingi, ukiwemo utoto wa kiuchumi.

Ukiwa na utoto wa kiuchumi ni rahisi sana kukandia walioajiriwa, na kuwaona kama hawana akili na wazembe. Utoto ukishakutoka, kwanza utawaomba msamaha lakini pili utawaheshimu na kuwatia moyo waendelee kuajiriwa! Hata mie kuna mambo niliandika na kuyasema enzi za utoto wangu, ila utoto ushanitoka siwezi kuyarudia!

Kuna tofauti kati ya kua tajiri na kua na hela. Hakuna tajiri mwenye utoto, hayuuuuuupoooo! Lakini kuna wenye hela wengi Wana utoto mwingi. Baadhi ya wenye hela na wanaotafuta hela Ndio utawasikia wakiponda ishu ya kuajiriwa, lakini hutakaa uwasikie matajiri, never! Uhuru wa kiuchumi hauletwi kwa mtu kua na hela bali unaletwa kwa mtu kua tajiri.

Ndio maana kitambo sana mie nilikataaga katakata kuitwa Motivation Speaker, yaani hilo neno silitaki kabisaaaa. Sio kwamba motivation speakers ni wabaya, hapana; lakini Roho ya motivation speaking ikikuvaa ni rahisi sana kuona kila kitu kinawezekana, jambo ambalo sio kweli! Kuna mambo hayawezekani, ila utaelewa hili ikiwa utakua Motivation Doer

Jaribu kua na biashara ama vitega uchumi vinavyoajiri wafanyakazi wengi katika ajira rasmi, (yaani ajira ambazo unawalipia wafanyakazi wako NSSSF, bima, TRA n.k) then uone kama utakua na ujasiri wa kuponda walioajiriwa. Ukiona mtu anaponda walioajiriwa uwe na uhakika kwamba huyu bado hajawa tajiri, Kwa sababu utajiri ni kuajiri na ukishakua tajiri kuna mambo automatic utaacha kuropoka. Hadi hapa nimeshakupa kipimo cha kuwajua matajiri na wale wasio matajiri. Mtu asie tajiri hana haki kuwaeleza wengine njia za kupata uhuru wa kiuchumi, anaelezeaje mahali asipopajua? Huo ni uhuni mkubwa!

Ukiona umeelewa nilichoeleza hapa, ujue wewe umeshatoboa ama uko karibu na kutoboa. Ukiona hujaelewa hata ukifura kwa hasira ukweli ni kwamba wewe kiuchumi baaado sana, kazana kujitafuta. Huyu ndugu yetu Robert Kiyosaki na Cash flow Quandrants zake asikuchanganye sana na wala usimeze kila kitu kwake. Kuna mambo lazima uchanganye na zako Ili usijikute unaishi kama teja wa matumaini ya kutoboa kiuchumi afu umri uwe unaenda usiambulie hata kagorofa!

Nimemaliza na nipo tayari kujibu swali lako ama hoja yako yeyote kuhusu nilichoelezea.
Nakubaliana na wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom