Habari wanajamvi,
Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB
Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida.
SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
Habari za Wakati huu.
Je Wewe ni Mjasiriamali Mdogo ambaye Unazalisha na Kufungasha Bidhaa za Aina Mbalimbali?
Masoko International Company kwa kushirikiana na Wadau wetu mbalimbali tunakuletea huduma ya Kuchapisha Bar Code Sticker na Label kwa ajili ya Bidhaa zako.
Huduma hii itakuwezesha...
Jama alikuwa anadanganya sana abiria katika gari. akipaza sauti ya kuonyesha Isreal ina nguvu na kuwadanganya abiria ambao uelewa wao mdogo katika swala hili. Nilipombana kwa hoja agaeuza maneno. alajifanya hapendi vita vile. akijifanya kuongea kiengereza kama msomi vile kumbe 0. aliotuona...
Price/Bei 15.7mls
Cont:
Bmw 3 Series ECY
Year 2008
Cc 1990
Low Km 99000
Full Options✅
Sports & New Tyres
Clean Condition
0688591584
Navunja Na Gari yoyote°°
Location Dar es salaam
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma.
Ndipo waziri wa uchukuzi prof. Makame Mbarawa akasema "naomba wananchi waelewe hii treni siyo ya high speed kama zile za China na...
IPO IPHONE 14 PRO MAX COPY KWA 170,000 TU,RISITI YAKE IPO NA INA CRACK KWA NYUMA VINGINE VIPO FRESH SANA,INATUMIA ANDROID ,STORAGE 512GB
IPO USED AQUAS 701SH KWA 50,000 TU,RISITI YAKE IPO HAINA TATIZO LOLOTE ,ANDROID 10,STORAGE 32 GB,RAM 3GB
SERIOUS BUYERS CONTACT ME: 0768115667
Kwa mfano anatoka Makamu Mwenyekiti wa (Chanzo Cha Matatizo) CCM kwenea Ntwara, akifika huko anasimikwa uchifu, akija mwenyekiti wa hicho kijiwe naye anasimikwa uchifu.
Mara utasikia wazee na machifu wa Songwe wamemsimika uchifu mkuu wa mafisadi huku wakimpa sifa kem kem.
Numejiuliza, taratibu...
Naomba mwenye kujua ubora wa hizo tablets anisaidie maarifa. Zote ni TABLET PC with keyboards. Nataka nichukue moja kati ya hizo ila sina uzoefu nazo. Msaada tafadhali.
TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA:
Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina kesho, tarehe 25.01.2024.
Kila shule au kituo kinatakiwa kuchangia bila kukosa ni TSh. 100...
Kocha wa Zamani wa Yanga Nabi kwasasa anakinoa kikosi cha ASFAR Rabat ya huko Morocco.
Ligi hiyo imekamilika kwa mzunguko wa kwanza na hizi ndizo takwimu za kocha Nabi.
Amecheza mechi 15
Ana Alama 33
Magoli ya kufunga 33
Magoli ya kufungwa 13
Yupo juu ya Msimamo (Kileleni)
Nabi anaupiga...
Salaam wadau. Kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza. Nauza simu tajwa hapo juu yenye sifa zifuatazo:-
Simu bado ni mpya, imetumika kwa wiki 2 tu.
Storage 8 ni 8/256 gb.
Ina kila kitu chake tatizo Box tu ambalo kwa bahati mbaya lilitupwa.
Bei ya kuanzia ni Tsh 600,000/=
Yeyote aliye serious...
Gwala kwa wana Jf, nawapa salamu wadau wa mziki.
Lengo la uzi huu ni kuwakutanisha wadau, wapenzi na waandaaji wa Muziki kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania ambao wanatumia DAW-Digital Audio Workstation ya Fl Studio ambayo hapo awali ilikuwa ikifahamika kwa jina la Fruity Loops.
Hapa kutakuwa...
Habari!
Nauza smart keyboard cases complete na external wireless mouse yake kwa ajili ya iPad Pro 11/10.9 inch. Products ni mpya kabisa
Bei 140,000 TZS tu!
Tupigie 0712075845
Kuna addiction flani ukishiingia katika betting inakushikilia na haitakuachia hivi hivi no matter we ni tajiri kiasi gani.
Recently wacheza mpira maarufu wameanza kupigwa suspension ndefu kutokana na wao kujihusisha na betting. Mtu anaweza kuchomesha team ili tu apige kibunda.
Vijana mtaani...
Greetings wana Jamii forum,
Your Financial Advisor is here again, Naonda iphone 15 pro max imetoka. mtaani watu hawakai kwa amani mabinti wanasumbua na pia ppo want to get it chap chap, but quick question is Can u afford it. i will make an assumption that it cost 5,000,000 per 1 piece. inawez...
Je wewe ni muhanga wa ufuatiliaji (SURVEILLANCE)? Ikiwa wewe ni mtu ambaye unafuatiliwa na wahalifu au watu wengine kutokana na shughuli zake ziwe za kisiasa, kibiashara na hata kimahusiano basi njia hizi nitakazozielezea hapa ukizifuata na kuziishi zinaweza kukufanya uwe salama ikiwa upo under...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.